mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Dr Matola PhD mimi hapa labda naweza kukupa mtazamo tofauti, naweza nikawa rika na mwanao, ndo namalizia teens zangu.....
kiufupi huwezi kumzuia kabisa.... huwezi.... you can just give him the facts kwamba sigara zinadhuru afya, unaweza ukampiga, ukamgombeza, ukamfukuza nyumbani.... lakini hatoacha.... labda ataogopa kutumia akiwa karibu yako ila hatoacha.
nasema hivi kwasababu ninafahamiana na vijana wa hali kama ya wakwako, wanatumia kwa siri, ila hawaachi.... inahitaji aamue mwenyewe, sasa sijui utamsaidiaje hapo...
afu unajua wengi wanasemaje; 'wazazi wana double standards'.... mzazi unakuta ni mlevi, anajua pombe ina madhara ila ananilazimisha niache kusmoke...
mimi sivuti wa sinywi ila sio kwsababu eti ya madhara, au kuogopa mzazi.... nimeona watu wengi wa karibu wakipoteza maisha kwasababu ya hizi vices, naamini hii kwangu ni sababu kubwa ilionifanya niamue.... narudia tena addictive substances kuacha anaamua mtu mwenyewe.... zile zinacheza na receptorszako, ni ngumu sana kujizuia mpaka mtu apate sababu ya msingi sana itakayoact kama wake up call...
utanisamehe hapo naona nimeandika andika tu ila i hope utapata kitu...