Swali: Hivi kwa sisi wazazi ukisikia mtoto wako wa kiume anavuta sigara, unamkanyaje?

Dr Matola PhD mimi hapa labda naweza kukupa mtazamo tofauti, naweza nikawa rika na mwanao, ndo namalizia teens zangu.....

kiufupi huwezi kumzuia kabisa.... huwezi.... you can just give him the facts kwamba sigara zinadhuru afya, unaweza ukampiga, ukamgombeza, ukamfukuza nyumbani.... lakini hatoacha.... labda ataogopa kutumia akiwa karibu yako ila hatoacha.

nasema hivi kwasababu ninafahamiana na vijana wa hali kama ya wakwako, wanatumia kwa siri, ila hawaachi.... inahitaji aamue mwenyewe, sasa sijui utamsaidiaje hapo...

afu unajua wengi wanasemaje; 'wazazi wana double standards'.... mzazi unakuta ni mlevi, anajua pombe ina madhara ila ananilazimisha niache kusmoke...

mimi sivuti wa sinywi ila sio kwsababu eti ya madhara, au kuogopa mzazi.... nimeona watu wengi wa karibu wakipoteza maisha kwasababu ya hizi vices, naamini hii kwangu ni sababu kubwa ilionifanya niamue.... narudia tena addictive substances kuacha anaamua mtu mwenyewe.... zile zinacheza na receptorszako, ni ngumu sana kujizuia mpaka mtu apate sababu ya msingi sana itakayoact kama wake up call...

utanisamehe hapo naona nimeandika andika tu ila i hope utapata kitu...
 
Nilimgundua mimi mwenyewe kwamba ameanza kuvuta sigara.

Nikamwita nikakaa nae kistaarabu kabisa nikamuuliza sigara mpaka uikimbilie unapata faida gani?.

Nikamuuliza mimi navuta sigara. Akasema hapana. Vipi babaako mdogo umewahi kuona anavuta?. Akakataa pia. Nikamuuliza vipi ktk familia yote yangu kuna mtu umewahi kumuona anavuta? Akakataa.

Nikamwambia basi ujue yapo mambo ya kuiga na yapo mambo lazima uone yakupite hasa ukiangalia sisi tuliokutangulia. Kama unaona tume-fail mahala ktk kuwaendeleza nyinyi kuanzia kuvaa,kula,kusoma n.k basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara. Ila kama unaona tumefauru kwa kila hatua kuhusiana na nyie wote basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara na pombe pia.

Leo nimekuambia kistaarabu. Siku nyingine haitakuwa kistaarabu kama hivi. Hutanishinda wewe. Kwa hiyo jua umeanzisha vita na mara zote tukuanza ligi mimi na wewe sikubali kushindwa. Kama una hamu na sigara ksbb umeona unakupa faida utavuta ukiwa kwako. Sio ukiwa kwangu. Jiulize mara mbili.

Sikuwahi kumuona tena na hicho kitu
Maneno ya kishujaa sana haya
 
Mkanye haswa .na umwambie madhara yake..ingawa najua ni ngumu kukusikiliza ..na marafiki zake wa mtaa mpige biti kuwa nao muda mwingi mayb itasaidia na arudi home mapema mwisho saa12 ...
 
Hutoweza kumzuia ila unaweza kumkataza kuvuta mbele yako na ukiwa harsh ndo iko atachofanya, chamsingi kua nae karibu ongea nae mambo ya busara ikibidi itskikao cha wanaume wenzako mfano baba mdogo na kiongozi wa dini mkalisheni chini mumpe maneno yenye busara juu ya anachokifanya na kitampeleka wapi.

Mi nakumbuka nilikoswa koswa kuvuta bangi secondary baada yakuona masomo yanakua magumu kila nikiamka kusoma usiku mambo hayakai na kulikua na mwenzetu mmoja ye a avuta bangi sana na alikua na grade nzuri tuu matokeo yakitoka icho kitu kilitaka kunifanya pia nijaribu bangi kama itanisaidia katila masomo ila niliogopa kuja kufukuzwa shureni nitapogundulika nikaacha.

Huwezi kujua ni nini hasa kinampelekea kuvuta, ila ukimuweka karibu na wewe na ndugu zake wanaojielewa na wamefanikiwa maisha yao trust me ataacha.
 
Pole sana aisee
Kuna mchizi wangu nae anapiga fegi na gambe. Kwenye gambe tuko pamoja na familia zetu zinajua sisi ni watu wa gambe tukuka ila hawaipendi sigara, bangi na mambo kama hayo.

Ila jamaa yangu yeye anapiga sana fegi aisee na ashakua addicted na hiyo kitu. Alianzia advance huko, na huko ndo vijana wengi nowdays wanapiga fegi na pombe kali. Familia yake haijui, anawaza sana siku maza ake akijua anapuliza itakuaje na mazaa atajiskiaje.

Bora yako umejua mapema, ongea nae kabla hajakubuhu. Kwa sasa kama anasoma shule inambana basi havuti sana ila akimaliza na akakaa mtaani hata miez 2 mfululizo, huyo hataacha labda apende mwenyewe.
 
Mno yaani sijui kwanini...mimi nimekuja gundua mwanangu wa kiume anang'ang'an alale na dada wa kazi na analala huko mie sijui...! Naskia anamhoji mambo kibao ya mahusiano...shenzi kweli yule ..
Bora huyo analala na dada wa kazi, huyo ni rijali japo siyo tabia njema. Ungesikia analala na kijana mwenziye ungezimia
 
Dr Matola PhD mimi hapa labda naweza kukupa mtazamo tofauti, naweza nikawa rika na mwanao, ndo namalizia teens zangu.....

kiufupi huwezi kumzuia kabisa.... huwezi.... you can just give him the facts kwamba sigara zinadhuru afya, unaweza ukampiga, ukamgombeza, ukamfukuza nyumbani.... lakini hatoacha.... labda ataogopa kutumia akiwa karibu yako ila hatoacha.

nasema hivi kwasababu ninafahamiana na vijana wa hali kama ya wakwako, wanatumia kwa siri, ila hawaachi.... inahitaji aamue mwenyewe, sasa sijui utamsaidiaje hapo...

afu unajua wengi wanasemaje; 'wazazi wana double standards'.... mzazi unakuta ni mlevi, anajua pombe ina madhara ila ananilazimisha niache kusmoke...

mimi sivuti wa sinywi ila sio kwsababu eti ya madhara, au kuogopa mzazi.... nimeona watu wengi wa karibu wakipoteza maisha kwasababu ya hizi vices, naamini hii kwangu ni sababu kubwa ilionifanya niamue.... narudia tena addictive substances kuacha anaamua mtu mwenyewe.... zile zinacheza na receptorszako, ni ngumu sana kujizuia mpaka mtu apate sababu ya msingi sana itakayoact kama wake up call...

utanisamehe hapo naona nimeandika andika tu ila i hope utapata kitu...
Kwanza naomba nieleweke sina tatizo lolote na mtu yeyote anayevuta sigara.

Tatizo langu ukiwa bado dependant kwangu siwezi kufurahi kuona unavuta sigara bado upo shule na hauna kazi yoyote.

Mtoto akishatoka kwenye utegemezi wangu, amemaliza Chuo, amehama kwangu, ana maisha yake huyo ni ruksa kuvuta sigara, kunywa pombe kwakuwa tayari ni adult na ana maamuzi yake, siwezi kumuingilia.
 
umeeleweka mkuu.....

ila hutoweza kumzuia, huu ndo ukweli
 
Nilimgundua mimi mwenyewe kwamba ameanza kuvuta sigara.

Nikamwita nikakaa nae kistaarabu kabisa nikamuuliza sigara mpaka uikimbilie unapata faida gani?.

Nikamuuliza mimi navuta sigara. Akasema hapana. Vipi babaako mdogo umewahi kuona anavuta?. Akakataa pia. Nikamuuliza vipi ktk familia yote yangu kuna mtu umewahi kumuona anavuta? Akakataa.

Nikamwambia basi ujue yapo mambo ya kuiga na yapo mambo lazima uone yakupite hasa ukiangalia sisi tuliokutangulia. Kama unaona tume-fail mahala ktk kuwaendeleza nyinyi kuanzia kuvaa,kula,kusoma n.k basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara. Ila kama unaona tumefauru kwa kila hatua kuhusiana na nyie wote basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara na pombe pia.

Leo nimekuambia kistaarabu. Siku nyingine haitakuwa kistaarabu kama hivi. Hutanishinda wewe. Kwa hiyo jua umeanzisha vita na mara zote tukuanza ligi mimi na wewe sikubali kushindwa. Kama una hamu na sigara ksbb umeona unakupa faida utavuta ukiwa kwako. Sio ukiwa kwangu. Jiulize mara mbili.

Sikuwahi kumuona tena na hicho kitu
Maninaaaa
Yaan umeonz ki rafiki afu umemalizia ki putin[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nahitaji kufahamu umri wa huyo mtoto plz.
 
Wazazi wangu hawakuwahi nishauri chochote kuhusu ngono,pombe, sigara

Ila kwa sehemu kubwa nilikwepa marafiki ambao ni wakorofi, walevi,wavutaji

Toka nimezaliwa sijawahi vuta au kunywa.

Namshukuru Mungu sana

Marafiki
Marafiki
Marafiki

SABATO NJEMA
 
Nilimgundua mimi mwenyewe kwamba ameanza kuvuta sigara.

Nikamwita nikakaa nae kistaarabu kabisa nikamuuliza sigara mpaka uikimbilie unapata faida gani?.

Nikamuuliza mimi navuta sigara. Akasema hapana. Vipi babaako mdogo umewahi kuona anavuta?. Akakataa pia. Nikamuuliza vipi ktk familia yote yangu kuna mtu umewahi kumuona anavuta? Akakataa.

Nikamwambia basi ujue yapo mambo ya kuiga na yapo mambo lazima uone yakupite hasa ukiangalia sisi tuliokutangulia. Kama unaona tume-fail mahala ktk kuwaendeleza nyinyi kuanzia kuvaa,kula,kusoma n.k basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara. Ila kama unaona tumefauru kwa kila hatua kuhusiana na nyie wote basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara na pombe pia.

Leo nimekuambia kistaarabu. Siku nyingine haitakuwa kistaarabu kama hivi. Hutanishinda wewe. Kwa hiyo jua umeanzisha vita na mara zote tukuanza ligi mimi na wewe sikubali kushindwa. Kama una hamu na sigara ksbb umeona unakupa faida utavuta ukiwa kwako. Sio ukiwa kwangu. Jiulize mara mbili.

Sikuwahi kumuona tena na hicho kitu
Uliongea taratibu lakini Kwa msimamo yakamkolea.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom