Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Hapo wapo zao uhamishon kule Burundi π€£π€£πDaah miaka 39 ijayo Wana hadithia wajukuu zao kuwa nchi iliuzwa na wao walichoambulia ni puche na waliridhika kwel πππ
Hebu tushauriane namna ya kufanya,hiwezekani tukashindwa kabisa.Kinachofanyika ni kundi dogo la watu kumiliki njia zote kuu za uchumi kisha kuweka kila kitu chini ya himaya yao! Kuanzia viongozi mpaka vyombo vya ulinzi kishapo wanakuwa na kauli ya mwisho kwenye kila jambo
Hatutashindwa Ila kuna kipindi kigumu tutapitiaHebu tushauriane namna ya kufanya,hiwezekani tukashindwa kabisa.
Unakua na JESHI lako unawa twanga,bendela huwa haisimami kizembe MPAKA mtwangane kidogoMhh wakongo wakiona maendeleo lazma warudi tena kwa njia ya vita
Ndio mkuuAanh kwahiyo ni kura zetu ndio zinaamua hili jambo litokee
Amen,hili litakwisha. Na likipita hili tukazanie kwenye sheria na katiba ili kuwa raisi,waziri,au bunge iwe ni sawa na kusaini death wish kwa mtu asiyejua anachokwenda kukifanya.Hatutashindwa Ila kuna kipindi kigumu tutapitia
Kurudi utumwani ni kuuzwa na zaidi.Habari wanajf
Kumekuwa na kauli nyingi za wananchi inapotokea mambo yasiyoeleweka kufanyika nchini,Moja ya kauli hizo ni "BORA NCHI IUZWE KILA MTU APEWE CHAKE"
Hili limenifanya nifikirie sana je Kuna uwezekano wa nchi yoyote ile duniani labda tutoe Mfano Wananchi wa Tanzania tunapiga kura kwa pamoja kukubali au kukataa nchi iuzwe na waliopiga kura kukubali wanashinda na hivyo nchi inapigwa mnada na hela iliyopatikana inagawanywa kwa idadi ya wananchi na hapo watu wanatafuta sehemu za kwenda kuishi na kutumia hela zao
Member wenzangu wa JF naomba mnisaidie je huu uwezekano upo???
ASANTENi
TAjiri niko hapa na suburi kuinunuaAchana na hii ya kuuzwa bandari au maeneo yaani ipigwe mnada kiujumla
Hamna sheria ina favour jambo hili . Ila unaweza kupeleka private member bill(muswada) jengoni dodoma kujadili nchi iuziwe highest bidderπMkuu hili suala linaongelewa sana na watu ndio maana nimeuliza kiongozi labda Kuna Sheria Ina ifavour jambo hili
Wasilisha mswada wako kwa mbunge wa jimbo lako ambaye atauwasilisha bungeni mkikubaliana hoja ya kuuza nchi πAina hiyo ya muswada inaweza kupelekwa na raia wa kawaida
Sitaki udalali nahitaji kuwasiliana moja kwa moja na kamati ya mauzo.Una Bei gan tajir tuanze kupromote biashara πππ
Pole saanaKwani iliuzwa lini na vip ulipata mgao mkuu
Ndugai tu ndio alisema tutauzwa. Amekufa ndio mnarudisha madaMkuu hili suala linaongelewa sana na watu ndio maana nimeuliza kiongozi labda Kuna Sheria Ina ifavour jambo hili