Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Hahahaha nmejaribu lkn naona kama nawahi kuchoka,wacha nikazane
Kazana dada mambo haya yanahitaji ujipangeee ukitoka nduki nyumaaa unaacha vumbiii unatoka kasi vuuuuuuuup break mpaka home
 
Mkuu ukaach vumbi tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]na manyoyaaa why?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asee ni mnenee huyo af mim kadogo assume kipind Aslay ameimba naenda kusema kwa mama(nlikuwa kadogo hivo) af na Isha Mashauz au Khadija Kopa hivi si angeniona mwanae[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ooh. Usiseme huwezi. Kwani wenzio waliwezaje
Mim naamini wote ni sawa tu,uwe tukunyema,kimbaumbau,mimi naona sawa tu,ndio maana kukawa na kuonana sio kwamba ndio mtakuwa wapenz hapan[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unakaa na mwenzio unamfariji vizuri tu,,ukitoka hapo ndio changes ataziona
 
Hv vitu bado vinatookea mpaka kipindi hiki????.... Ckuhizi kila mtu ana smart phone... So video call ndio solution... Siwez kutana na mtu bila kumpiigia video call kwanza
Wewe wengine wanakupa uongee na shoga ake. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona Mkuu mvua imekuvuruga , maaana jibu lako hata sijalielewa hvi ,na mwisho kabisaa nlisema labda wao huwa wanakimbia na hapa swali ni je hujawahi kumkimbia mtu? huko kwingine ni wapi tena leta huo uzi
Nimeku tag ww kimakosa lkn hilo lilikuwa rafiq yako Demiss

Samahani kwa usumbufu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseeeeeh mwenzenu huwa nakimbia naacha vumbiii tu
Mm nahisi hujiamini kama ni mzuri ndio sababu huwa unakimbia,ktk thread zako zote hujawahi sema umekimbiwa,unajihami mapemaa
 
Sitosahau kipindi nasoma advance lyamungo secondary. Kuna mwana mmoja akapata manzi fb dem kapost picha kali ajabu. Jamaa karusha sound mtoto kaelewa. Ikawa siku moja tumekuja kishule moshi town maeneo ya hindu mandal kuchangia damu salama. Jamaa akasema ngoja nimchek yule demu tumekaa upande wapili wa barabara dem akasema nakuja tukasubiri alipofika jamaa anataka kukimbia demu akaita kwa nguvu wee nimeshakuona subiri nivuke. Aisee alikuwa mnene ajabu halafu mrefu so akawa kipande cha mtu. Dem kamganda jamaa ajab had akakubali kwenda kuchangia damu. Ajabu ni kwamba alifungwa mikono yote hakuonekana mshipa wakampa soda na biskuti wakamwambia tunashukuru maana ulikuwa na nia ya kuchangia ila afya imekataa[emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwaakakakakkaka dadekiiii jamaaa akaonekana anduje kwa demu hakiii ulimponza mwenziooo
 
Mim kuna mtu alikoseaga namba ikaja kwangu kupokea sauti nzuriii mweee ,tukawa tunaongea tu ,tunawasiliana tu nikawa namuwazia atakuwa bonge la handsomee ,,siku naenda kuonana naee kidogo nizimieee limtu kama Li lemutuz halaf mi kadogoo nikamsalimia shikamooo baba ,wakati kwenye simu nilikuaga simsalimiii ,nikamuambia nimepita tu tutaonana baadaee [emoji23][emoji23],,nikivyotoka hapooo nilibadili na laini na ya simu maana kidogo nizimiee
Mnatunyanyasa mabonge sio[emoji23] [emoji23]
 
Mim naamini wote ni sawa tu,uwe tukunyema,kimbaumbau,mimi naona sawa tu,ndio maana kukawa na kuonana sio kwamba ndio mtakuwa wapenz hapan[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unakaa na mwenzio unamfariji vizuri tu,,ukitoka hapo ndio changes ataziona
Wewe wengine unaona hata urafiki haiwezekani. Hata na namba yako sisave kwanza. Unakaa na mtu unaona unaboreka. Hata huenjoy kukaa nae. Mimi napenda kuonana na watu kwa ajili ya urafiki. Kufarijiana iwe kabla ila baaada sitaweza
 
Mim kuna mtu alikoseaga namba ikaja kwangu kupokea sauti nzuriii mweee ,tukawa tunaongea tu ,tunawasiliana tu nikawa namuwazia atakuwa bonge la handsomee ,,siku naenda kuonana naee kidogo nizimieee limtu kama Li lemutuz halaf mi kadogoo nikamsalimia shikamooo baba ,wakati kwenye simu nilikuaga simsalimiii ,nikamuambia nimepita tu tutaonana baadaee [emoji23][emoji23],,nikivyotoka hapooo nilibadili na laini na ya simu maana kidogo nizimiee
Shenzi veve[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom