Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,718
- 15,347
Mtani nkikukamata lazima nkupige faini ya kutosha, hivi naanzaje mfano kukukimbia ww mtani wangu mieMtani nawe si ulinikimbia au?
Q
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani nkikukamata lazima nkupige faini ya kutosha, hivi naanzaje mfano kukukimbia ww mtani wangu mieMtani nawe si ulinikimbia au?
Q
Labda unikimbie wewe maana na mimi nishakimbiwa mara 2. Mi sitakukimbia ila utaona mabadiliko tuMzigua90 natamani nikuone, au nawe utanikimbia?
AMIGO NIPO TU MAMBO MENGILong time no see Amigo.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asee ni mnenee huyo af mim kadogo assume kipind Aslay ameimba naenda kusema kwa mama(nlikuwa kadogo hivo) af na Isha Mashauz au Khadija Kopa hivi si angeniona mwanae[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu ukaach vumbi tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]na manyoyaaa why?
Mim naamini wote ni sawa tu,uwe tukunyema,kimbaumbau,mimi naona sawa tu,ndio maana kukawa na kuonana sio kwamba ndio mtakuwa wapenz hapan[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unakaa na mwenzio unamfariji vizuri tu,,ukitoka hapo ndio changes atazionaOoh. Usiseme huwezi. Kwani wenzio waliwezaje
Nazitafuta tunguli za kukukamata, ukiniona tu unapi ganzi hapo hapoNitakukimbiaaa nakwambia wewe jiandae na mazoezi ya kunikamata kunirudisha tehteh teh
Wewe wengine wanakupa uongee na shoga ake. [emoji23][emoji23][emoji23]Hv vitu bado vinatookea mpaka kipindi hiki????.... Ckuhizi kila mtu ana smart phone... So video call ndio solution... Siwez kutana na mtu bila kumpiigia video call kwanza
Pambana Comrade, maana hali inazidi kuwa tete hakiAMIGO NIPO TU MAMBO MENGI
Nimeku tag ww kimakosa lkn hilo lilikuwa rafiq yako DemissNaona Mkuu mvua imekuvuruga , maaana jibu lako hata sijalielewa hvi ,na mwisho kabisaa nlisema labda wao huwa wanakimbia na hapa swali ni je hujawahi kumkimbia mtu? huko kwingine ni wapi tena leta huo uzi
Nazitafuta tunguli za kukukamata, ukiona tu unapigwa ganzi hapo hapoNitakukimbiaaa nakwambia wewe jiandae na mazoezi ya kunikamata kunirudisha tehteh teh
Mm nahisi hujiamini kama ni mzuri ndio sababu huwa unakimbia,ktk thread zako zote hujawahi sema umekimbiwa,unajihami mapemaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseeeeeh mwenzenu huwa nakimbia naacha vumbiii tu
Una maanisha utakosa amani au[emoji12]Labda unikimbie wewe maana na mimi nishakimbiwa mara 2. Mi sitakukimbia ila utaona mabadiliko tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwaakakakakkaka dadekiiii jamaaa akaonekana anduje kwa demu hakiii ulimponza mwenzioooSitosahau kipindi nasoma advance lyamungo secondary. Kuna mwana mmoja akapata manzi fb dem kapost picha kali ajabu. Jamaa karusha sound mtoto kaelewa. Ikawa siku moja tumekuja kishule moshi town maeneo ya hindu mandal kuchangia damu salama. Jamaa akasema ngoja nimchek yule demu tumekaa upande wapili wa barabara dem akasema nakuja tukasubiri alipofika jamaa anataka kukimbia demu akaita kwa nguvu wee nimeshakuona subiri nivuke. Aisee alikuwa mnene ajabu halafu mrefu so akawa kipande cha mtu. Dem kamganda jamaa ajab had akakubali kwenda kuchangia damu. Ajabu ni kwamba alifungwa mikono yote hakuonekana mshipa wakampa soda na biskuti wakamwambia tunashukuru maana ulikuwa na nia ya kuchangia ila afya imekataa[emoji23]
Mnatunyanyasa mabonge sio[emoji23] [emoji23]Mim kuna mtu alikoseaga namba ikaja kwangu kupokea sauti nzuriii mweee ,tukawa tunaongea tu ,tunawasiliana tu nikawa namuwazia atakuwa bonge la handsomee ,,siku naenda kuonana naee kidogo nizimieee limtu kama Li lemutuz halaf mi kadogoo nikamsalimia shikamooo baba ,wakati kwenye simu nilikuaga simsalimiii ,nikamuambia nimepita tu tutaonana baadaee [emoji23][emoji23],,nikivyotoka hapooo nilibadili na laini na ya simu maana kidogo nizimiee
Wewe wengine unaona hata urafiki haiwezekani. Hata na namba yako sisave kwanza. Unakaa na mtu unaona unaboreka. Hata huenjoy kukaa nae. Mimi napenda kuonana na watu kwa ajili ya urafiki. Kufarijiana iwe kabla ila baaada sitawezaMim naamini wote ni sawa tu,uwe tukunyema,kimbaumbau,mimi naona sawa tu,ndio maana kukawa na kuonana sio kwamba ndio mtakuwa wapenz hapan[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unakaa na mwenzio unamfariji vizuri tu,,ukitoka hapo ndio changes ataziona
YEAH COMRADEPambana Comrade, maana hali inazidi kuwa tete haki
Shenzi veve[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mim kuna mtu alikoseaga namba ikaja kwangu kupokea sauti nzuriii mweee ,tukawa tunaongea tu ,tunawasiliana tu nikawa namuwazia atakuwa bonge la handsomee ,,siku naenda kuonana naee kidogo nizimieee limtu kama Li lemutuz halaf mi kadogoo nikamsalimia shikamooo baba ,wakati kwenye simu nilikuaga simsalimiii ,nikamuambia nimepita tu tutaonana baadaee [emoji23][emoji23],,nikivyotoka hapooo nilibadili na laini na ya simu maana kidogo nizimiee