Swali kuhusu Bomu la atomic Hiroshima

Swali kuhusu Bomu la atomic Hiroshima

1gb usihofu nyama inakuja muda si mrefu utajua tu kilichowakuta wajapani wa hiroshima na nagasaki
 
ni kweli BIGURUBE kama mwaka 1945 ulikuwa na miaka 17 unastahili kuitwa babu heshima yako babu
 
Mmarekani alilipua mabomu ya atomic na nuclear (little boy na fatman) ni baada ya mjapani kuvamia visiwa vya hawai huko marekani.. Basi unaambiwa hilo bomu la atomic lina hewa ambayo ilikuwa inawakausha watu kama ulikuwa umekaa unabakii hivyo hivyo kama umenyoosha mikono juu unabaki hivyo hivyo na lile la nuclear watu na vitu viligeuka majivu
 
hiroshima+nagasaki ndo maangamizi yalifanyika
 
Habari wakuu leo ni kumbukumbu ya miaka sabini tangu kuangushwa bomu la atomic huko Iroshima Japan na kuuwa watu wengi na kuacha madhara kwa baadhi ya vizazi. R i p waliopoteza maisha



Nakumbuka kipindi kile ndio namaliza tuu, Middle school nikajikuta nachaguliwakwenda vitani...
 
Ooh!wakati huo mimi niko bulma huko india kama kibarua kwenye mashamba ya mpunga,wajukuu zangu😀
 
Kipindi kile ndio na balehe nilikua nasoma Malangali middle school Iringa. Kipindi kile ilikua kupata demu si mchezo hata changudoa ulitakiwa umtongoze kama wiki mbili hadi mwezi ndio uone ndani. Du vita ilikua ishaisha tar 30.04,45 wajerumani waliposarenda lkn wajapani chini ya mfalme wao waliomlinganisha na mungu walisema mpaka kieleweke.

Ndio rais Truman aliyeshika USA BAADA YA KIFO cha FDR akamuita rubani mmoja aliyeitwa Paul Eliot Jr akadondoshe hicho kitu cha siri walichoita LITTLE BOY au mvulana mtundu. na kweli jamaa alitokea kwenye cambi ya jeshi inaitwa WHITEMAN akaenda na msaidizi wake kumdondosha little boy mjini Hiroshima. Lilipotua ardhini kuliwaka mwanga mara mia zaidi ya mwanga wa jua, kukawa na kishindo kisichoelezeka ndio moto, kwa muda wa sekunde nusu Mji wa Hiroshima (zaidi ya Kariakoo ) ukawa haupo tena, watu walikua wanaungua kama kuni kuanzia kwenye vidole kuelekea mwilini.

Waliokufa pale pale lilipotua ni watu 140,000. yaani kama wakazi wote wa Mbeya na viunga vyake. waliokua mbali kidogo kama Kimara walikua ni nyama tupu hakuna mwenye ngozi. waliopelekwa hospitalini ilikua balaa, watu wa tiba hawakutosha, walioungua walikua wanatoa mafunza na harufu ilikua balaa. baada ya siku tatu Truman akaagiza kitu ingine ikashushwe Nagasaki hili waliliita Fatman , liliua watu 80,000 elfu pale pale yaani zaidi ya wakazi woote wa Singida na viunga vyake.

Baada ya hilo mfalme Hirohito akakubali yaishe. Truman aliamini kupiga bomu la atomic kutaokoa maisha ya wengi. kwani vita ingeisha mapema. Ikumbukwe kabla mabomu haya hayajapigwa ndege za Marekani zilidondosha vikaratasi kuwaomba wajapani wa sarende lkn wajapani walisema watu wazima hawatishiwi nyau.
 
Kipindi kile ndio na balehe nilikua nasoma Malangali middle school Iringa. Kipindi kile ilikua kupata demu si mchezo hata changudoa ulitakiwa umtongoze kama wiki mbili hadi mwezi ndio uone ndani. Du vita ilikua ishaisha tar 30.04,45 wajerumani waliposarenda lkn wajapani chini ya mfalme wao waliomlinganisha na mungu walisema mpaka kieleweke. Ndio rais Truman aliyeshika USA BAADA YA KIFO cha FDR akamuita rubani mmoja aliyeitwa Paul Eliot Jr akadondoshe hicho kitu cha siri walichoita LITTLE BOY au mvulana mtundu. na kweli jamaa alitokea kwenye cambi ya jeshi inaitwa WHITEMAN akaenda na msaidizi wake kumdondosha little boy mjini Hiroshima. Lilipotua ardhini kuliwaka mwanga mara mia zaidi ya mwanga wa jua, kukawa na kishindo kisichoelezeka ndio moto, kwa muda wa sekunde nusu Mji wa Hiroshima (zaidi ya Kariakoo ) ukawa haupo tena, watu walikua wanaungua kama kuni kuanzia kwenye vidole kuelekea mwilini. Waliokufa pale pale lilipotua ni watu 140,000. yaani kama wakazi wote wa Mbeya na viunga vyake. waliokua mbali kidogo kama Kimara walikua ni nyama tupu hakuna mwenye ngozi. waliopelekwa hospitalini ilikua balaa, watu wa tiba hawakutosha, walioungua walikua wanatoa mafunza na harufu ilikua balaa. baada ya siku tatu Truman akaagiza kitu ingine ikashushwe Nagasaki hili waliliita Fatman , liliua watu 80,000 elfu pale pale yaani zaidi ya wakazi woote wa Singida na viunga vyake. Baada ya hilo mfalme Hirohito akakubali yaishe. Truman aliamini kupiga bomu la atomic kutaokoa maisha ya wengi. kwani vita ingeisha mapema. Ikumbukwe kabla mabomu haya hayajapigwa ndege za Marekani zilidondosha vikaratasi kuwaomba wajapani wa sarende lkn wajapani walisema watu wazima hawatishiwi nyau.

Dah... Wajapan walikuwa na roho ngumu kiasi hiko kwanin? Yaan pamoja na mabomu yote hayo hawakusurrender???
 
Baada ya mabomu hayo walisurrender na vita ikaishia hapo. Hadi leo wamarekani wanajuta kupiga mabomu hayo, hawakujua yangepelekea madhara makubwa hayo kwa vizazi hadi vizazi.
Dah... Wajapan walikuwa na roho ngumu kiasi hiko kwanin? Yaan pamoja na mabomu yote hayo hawakusurrender???
 
Babu ulipigana upande gani? Na mambo gani ulijifunza katika vita ile?

I was against Germany, yapo mengi sana niliyojifunza ila kubwa zaidi ni pale nilipokuwa Mwafrica wa kwanza kushika na kutumia silaha ya AK 47 mara tu baada ya kugunduliwa!

Wakati bomu la Hiroshima lilipotupwa mm nilikuwa UK na tuliletewa taarifa tukiwa kwny maandalizi ya kwenda kuishambuliwa nchi ya Burma!
 
Kama nilivoeleza hapo juu, nilikuwa na 17, ila bado niko fit na bibi yenu bado namhudumia😛

Hata mim naona, mim kipindi hicho nilikuwa na miaka 22 na watoto 4, aisee ilikuwa mbaya! mbaya! mweee!!!
 
Back
Top Bottom