Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto?

 

uliwainterview NEC bado tunasubiri Interview yako na opposition parties ili tubalance story then tutakujibu kama kususa ni "kike au kitoto"
 
Kinana alivyosema Ukawa imebaki ukiwa baada ya Dr.Slaa na Prof.Lipumba kuondoka...hii ilikuwa siku Dr.Magufuli anaenda kuchukuwa fomu NEC...inahitaji uwe na uwezo mkubwa ili uelewe haya.
we endelea kumnukuu kinana ila lililowazi ni kuwa upinzani utakuwepo bila kujali nani yuko upinzani usijidanganje kwa kuwa hata MUNGU alipata upinzani na wala hakuutokomeza na ndivyo ilitakavyokuwa kwenu ntajitahidi lakini hamtaweza kuzuia UHALISIA WA DUNIA
 
iNA MAANA HATA MAMA YAKO ANA TABIA YA KUSUSA,INA MAANA HATA MKULU NAYE ANA TABIA YA KIKE KUSUSA KWENDA NJE YA AFRICA,KAMA ULIDHANI UNAANDIKA POST HII ILI UPEWE UKUU WA WILAYA UNAZIDI KUJIHARIBIA TABIA ZA KUSUSA NI ZA KIKE ILA TABIA ZA KINAFIKI KAMA ZAKO NI ZA WACHAWI OVER AND OUT!
 
kWA MTAZAMO WAKO UNADHANI TANZANIA TUNAFANYA UCHAGUZI WA VYAMA VINGI KWA SASA AU NI UCHAGUZI WA CCM NA KURA ZAO ZA NDIO/HAPANA???? KUNA JAMBO LINAHITAJI KUSAHIHISHWA KWANZA KABLA YA KUINGIA KATIKA UCHAGUZI.
Pande zote mbili Hata wapiga kura ni tatizo (Njaa,umaskini na kuto jitambua) Nilitaka kusahau hata Viongozi wetu ambao hawana msimamo ni chanzo kipya cha sinto fahamu
 
Naku buku mambo yako pascal. " kuzira ni Tabia za ki toto au za kike ?"
Jamaa angaliA akili zako au huna mtoto au mtoto wako anatabia ya kuzira ?
Au huna mama? Au mama yako anatabia ya ku zira?
Mind your language.
 
Naona mambo ya kususa yanarudi!.
Watu wakisusa, wengine twala!.

Ila uamuzi huu wa Chadema ni wa busara, kwa chaguzi zote za maradio, nashauri sio tuu Chadema wajitoe, bali vyama vyote wajitoe ili CCM ipite bila kupingwa tuokoe muda, fedha, rasilimali za taifa na kitu kikubwa zaidi, tuokoe machozi, jasho na damu zenye roho za Watanzania.

P.
 
Paschal yaonekana nawe uko pamoja na Prince Makonda na Mapolisi wake wanaofurahia 'USHINDI'.
Hivi huoni kuwa CDM wakisusa ndio mtafaidi ushindi pasi kelele za mpinzani wenu ambae hata hivyo, hakuwa na uwezo wa kurusha hata teke kwa vile kafungwa mikono na miguu yote akiwa katika pambano? WALA Hamtahitaji tena kushangilia mkiwa na slilaha kiunoni kwani hatokuwepo.
Ana haja gani kuwepo wakati kuna maagizo rasmi ya Mfalme Jiwe kuhusu anaetakiwa kutangazwa kuwa 'mshindi'?
Ndg yangu ukiwa umeishaanza kulewa 'mafanikio' ya huko jitahidi basi japo kuacha kutoa ushauri wa kichawi. Eti wakatoe hoja kwa Mfalme Jiwe asiejaribiwa, kushauriwa wala kupangiwa? Siamini kama unategemea kutiliwa maanani. Angekuwa ni yule Paschal wa kabla ya kuitwa na kuhojiwa na mhimili ulopokwa mamlaka yake, labda pangekuwa na busara kidogo kukusikiliza. Amen.
 

Mkuu nina kaswali kadogo, unamaanisha "tabia za kike na utoto" ni vitu sawasawa?
 

Mkuu Paskali, nawezekana kweli huna bei ya kununuliwa kwa fedha lakini umenunuliwa kwa kujazwa hofu na kuogopa kukemea uzandiki unaofanywa na CCM na utawala wa JPM kwa ujumla. Ndo maana hata unao ujasiri na hata wa kupongeza kile kinachoitwa eti ni ushindi mtamu. SERIOUSLY, mtu asiye na price tag anaweza kupongeza ushenzi uliofanyika Ukonga na Monduli na hata katika hizo kata zingine? Paschal kwa kweli bado maandiko yako hayana hata asilimia ndogo ya objectivity, bali yamelalia upande mmoja kwa uwazi kabisa.

Nije kwenye hoja yako ya kususa, KUSUSIA shughuli yoyote ambayo ina washiriki mbalimbali hasa inayosimamiwa na mamlaka inayopaswa kuwa impartial (kutokuwa na upande) kunalenga kuinyima uhalali shughuli hiyo. Na kwa mamlaka inayojitambua hujitafakari na kuja mezani kusikiliza upande wenye malalamiko. Ila katika siasa za Afrika, na hasa kwa Tanzania ambapo kumejaa ushamba wa madaraka, na viongozi kutawala kwa maslahi yao badala ya maslahi ya watu linaweza kuonekana halina maana na kuitwa majina yoyote mabaya, kama utoto, tabia ya kike na mengine. Lakini sio kweli hata kidogo, katika mazingira ambapo kuna utawala bora na mamlaka ziko huru tusingefikia huku hata kidogo.
 
Mkuu nina kaswali kadogo, unamaanisha "tabia za kike na utoto" ni vitu sawasawa?
Nimeeleza kuna kususa kwa utoto, kuzira lengo ni attention seeking.
Kuna kususa kwa wanawake ambao ni kunyima huduma ili kukomoa, na huisha kwa kubembelezwa na kupoozwa.
Kuna kugoma rasmi ambapo unatanguliza madai, yasipotekelezwa, ukigoma mgomo huo unaleta athari.
Ukisusia kitu ambacho kususa huko hakuna athari yoyote, ni sawa na kumsusia ngedere shamba la mahindi.
Ili kususa kuwe na maana, lazima kususa huko kuwkuwara na malengo ambayo umepanga to achieve.
P
 

We Paskali, acha hizo hakuna ushindi mtamu kama wa uwanjani lakini wa mezani hata huwezi kujitapa nao kama vile mngepambana uwanjani na adui yako na ukamshinda.
 
Kipindi cha kutafuta UDC ila sasa umekua ila ukweli kama auna nyenzo ya kumfanya anayekuonea aache kukuonea na kila siku anakwambia tupo sawa ni bora kuacha kushirikiana naye.Kwahi hakuna hoja kuwa kususa kuzira ni tabia za kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…