Swali Kuhusu Thamani Kuu ya Tundu Lissu Ndani ya Chadema ni Ipi Kati ya Uwezo wa Uenyekiti wa Chadema au Uwezo wa Kuiingiza Chadema Ikulu 2025 ?

Umeandika point sana mkuu
 
2。Tukija Tundu Lissu ,Lissu ni mwanaharakati, kwa uwezo wa uongozi na karama ya uongozi Lissu hana,ila kutokana na kuchusa kwa Mbowe,Lissu anaonekana ni afadhali,lakini Lissu kama Lissu,uenyekiti wa Chedema,Lissu hauwezi,ila awekewe ma teknocrats wazuri chini yake kama JJ Mnyika,Mbowe abaki mshauri。

Thamani kubwa ya Lissu ni uwezo wake wa kumbwaga mgombea wa CCM, mapema tuu asubuhi,hivyo kama Chadema,wanaitaka ikulu,2025,provided mgombea wa CCM ni huyu wa mserereko,then mtu wa kwenda nae ni TAL Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
P
 
Tundu Lisu hawezi kufurukuta maana hakuna uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Huu uzi wako ungekuwa na maana kama kuna uchaguzi wa kweli, na sio huo uhuni wa kipuuzi uitwao uchaguzi.
Watanzania kwa RAMLI tu, hatuwezekaniki! Naona umeshajikatia tamaa.
 
H
Mmmh !
Free and fair elections ??!
Kushney ???!
🤣🤣
It’s enough for the people to know there was an election ………………. !
 
4。 The situation ya Chadema ama imchague Lissu iimarike na kuingia ikulu,au imchague Mbowe ibaki hivyo hovyo ilivyo kuendelea kupiga pesa,ni sawa na ule msemo wa kizungu,“you can't eat your cake and have it”, you either eat your cake and its gone,or dont eat it and have it, ukimchagua Mbowe,una mpoteza Lissu na hakuna kwenda ikulu,ukimchagua Lissu unampoteza Mbowe kwenye uenyekiti,lakini Chadema kinaingia Ikulu,Mbowe anakuwa PM!, kipi bora?。
P
 
Na hivyo ndivyo inavyokwenda kuwa ! 🙏
Tuliosomea Cuba tulisha waambia watu humu kwamba hata huo ugomvi ni ugomvi fake tu !
Lissu vs Mbowe ni janja janja tu wale ni wamoja kwa kila kitu !
Time will tell !
 
5。Kwa vile thamani kuu ya Tundu Lissu ndani ya Chadema sio uenyekiti wa Chadema,bali ni uwezo wake kuiingiza Chadema ikulu 2025,then its possible kwa Chadema,to eat its cake and have it,kwa Lissu kujitoa kugombea uenyekiti kwa Lissu kusema ameamua kumpisha Mbowe,na Mbowe akaamua kumpisha Lissu kwenye kugombea urais,2025, ikawa wote ni washindi,Chadema haimegeki,Lissu hashindwi, wote wanakuwa ni winners,Mbowe Mwenyekiti,Lissu mgombea urais anayeiingiza Chadema Ikulu, Mbowe atakuwa PM,na Chadema itakuwa supper, ila hili litokee ni iwapo mgombea wa CCM 2025 ni huyu wa mserereko,kama CCM wataamua kugeuza kibao,wakamsimamishia Lissu chuma,Lissu inakula kwake,Chadema inapigwa chini jumla!。
P
 
Mbona unadharau katiba mkuu? Unamuitaje rais wa sasa ni mmserereko?
 
Mbona unadharau katiba mkuu? Unamuitaje rais wa sasa ni mmserereko?
Mkuu Mpala,@mpalakugenda, usitake kunisingizia na kunichonganisha,sijamuita popote rais Samia ni mama mserereko,nilichosema ni mgombea wa CCM kwa 2025 atapatikana kwa utaratibu wa mserereko wa CCM,ambao lengo lake ni kuondoa duplicity ya usaili,asuming rais hiyo aliisha sailiwa awamu ya kwanza,lakini Rais Samia hakuwahi kusailiwa kwa urais,hivyo mserereko wake ni mserereko wa mtelezo kwa kuteleza tuu na kudumbukia chubwi!。

Naomba kuwapa angalizo muhimu, kama ujumbe wa kwenye HII kitu umemfikia na ameukubali,atakiarifu chama na CCM itafanya usaili na sio tena ile fomu moja ya mserereko!。
P
 
Umeyachanganya mafaili Mzee !!
🤣🤣😅
 
Umeyachanganya mafaili Mzee !!
🤣🤣😅
Kwanza kabisa naanza na msemo ule unaoaminika kwamba Locuta causa finita ! Kwa mintarafu hiyo basi lile neno Mserereko linapoteza nguvu kabisa !
Pili bado naikumbuka ile katuni inayomuonesha Lissu akipiga ngoma na jamaa fulani wakicheza mpaka wanabinuka !
Naamini ndani ya Lissu na Mbowe hakuna ugomvi au kutoelewana kokote kule ! Ni janja janja tu kuzuga wapinzani wao wakuu !
It’s a set-up !
Ngoja Tusubiri tuone. !
 
One down, two to go!.
October 2025 ule mbuyu unakwenda chini!.
Usikute Lissu ni mpango wa Mungu kwa Tanzania post '25.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!.
Hongera Sana Tundu Lissu!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…