moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Kwa yale yanayofanyika barani humu kuna wakati tunalazimika kukubaliana na ukweli huu ingawa unauma🙄🙄Kuna muda mtu Mweupe kumuona mtu mweusi kama Nyani anaye vaa nguo huwa Sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa yale yanayofanyika barani humu kuna wakati tunalazimika kukubaliana na ukweli huu ingawa unauma🙄🙄Kuna muda mtu Mweupe kumuona mtu mweusi kama Nyani anaye vaa nguo huwa Sawa.
Umeandika point sana mkuuWanabodi,
bandiko hili ni bandiko la swali kuhusu uwezo, ability,na uwezekano wa kuwezekanika,yaani capability ya umuhimu mkubwa zaidi wa Tundu Lissu ndani Chadema,ni uwezo wa uongozi kama mwenyekiti wa Chadema kuiongoza Chadema kuwa chama imara kuweza kuipumzisha CCM na kuiingiza Chadema ikulu 2025?,au an individual ability ya Tundu Lissu kuiingiza Chadema ikulu kwa Lissu kumshinda kirahisi mgombea wa CCM wa 2025 kwa sababu anajulikana?。 Iwapo CCM wataamua kubadili ngombea na kuleta chuma kingine kama Makonda,Biteko,Kitila,Bashungwa au chuma kingine chochote kati ya vyuma vyake, je Tundu Lissu atafurukuta?。
Karibuni tujadili。
1。 Tuanze na Mwenyekiti Mbowe,hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Mbowe kama Mwenyekiti wa Chadema,tatizo ni Mbowe ame overstay,hivyo kufikia point ya saturated solution,it can take no more than it can,yaani Mbowe hapo alipofika,amefikia optimum ya uwezo wake hawezi kufanya chochote zaidi ya ukinganganizi wa kung'ang'ania madaraka kwa excuse ya hakuna mwingine yoyote anayeweza,hivyo kwangu mimi ile siku Mbowe ametangaza kutetea kiti chake,that was the end of ndoto ya Lissu kuwa mwenyekiti Chadema kwasababu Mbowe ni undefitable!Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!
Paskali
Mwamba alikuwa tungi sana hadi domo linakaa upande na ndiyo gestures zake hizi akiwa amelanduka.Na huyu hapa huu si uropokaji mchana wa jua kali mtu yuko bwaxi hivi
Watanzania kwa RAMLI tu, hatuwezekaniki! Naona umeshajikatia tamaa.Tundu Lisu hawezi kufurukuta maana hakuna uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Huu uzi wako ungekuwa na maana kama kuna uchaguzi wa kweli, na sio huo uhuni wa kipuuzi uitwao uchaguzi.
Mmmh !Habari ndani ya Habari...
Nadhani hii ni habari kubwa sana, na tunaokujua hiki kitu ni cha kuchukuliwa kwa umakini.
Anyways, hakuna mgombea wa Upinzani wa kupambana kias cha kuitoa CCM madarakani.
Angalao FAM kazuia siasa za watu kuuwawa kwa mamia kwa sababu ya uchaguzi... Tusipoliona hilo, dark days ahead
Na hivyo ndivyo inavyokwenda kuwa ! 🙏3。 Kama Chadema wapo wapo tuu ili kuendelea kupiga pesa ya Ma Abduli na kuvuta ruzuku,then mtu wa kwenda nae ni Mbowe Kuelekea 2025 - Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila...
P
Usichanganye kukata tamaa na kupuuza boss.Watanzania kwa RAMLI tu, hatuwezekaniki! Naona umeshajikatia tamaa.
Mbona unadharau katiba mkuu? Unamuitaje rais wa sasa ni mmserereko?1。 Tuanze na Mwenyekiti Mbowe,hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Mbowe kama Mwenyekiti wa Chadema,tatizo ni Mbowe ame overstay,hivyo kufikia point ya saturated solution,it can take no more than it can,yaani Mbowe hapo alipofika,amefikia optimum ya uwezo wake hawezi kufanya chochote zaidi ya ukinganganizi wa kung'ang'ania madaraka kwa excuse ya hakuna mwingine yoyote anayeweza,hivyo kwangu mimi ile siku Mbowe ametangaza kutetea kiti chake,that was the end of ndoto ya Lissu kuwa mwenyekiti Chadema kwasababu Mbowe ni undefitable!Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!
P
Mkuu Mpala,@mpalakugenda, usitake kunisingizia na kunichonganisha,sijamuita popote rais Samia ni mama mserereko,nilichosema ni mgombea wa CCM kwa 2025 atapatikana kwa utaratibu wa mserereko wa CCM,ambao lengo lake ni kuondoa duplicity ya usaili,asuming rais hiyo aliisha sailiwa awamu ya kwanza,lakini Rais Samia hakuwahi kusailiwa kwa urais,hivyo mserereko wake ni mserereko wa mtelezo kwa kuteleza tuu na kudumbukia chubwi!。Mbona unadharau katiba mkuu? Unamuitaje rais wa sasa ni mmserereko?
Umeyachanganya mafaili Mzee !!5。Kwa vile thamani kuu ya Tundu Lissu ndani ya Chadema sio uenyekiti wa Chadema,bali ni uwezo wake kuiingiza Chadema ikulu 2025,then its possible kwa Chadema,to eat its cake and have it,kwa Lissu kujitoa kugombea uenyekiti kwa Lissu kusema ameamua kumpisha Mbowe,na Mbowe akaamua kumpisha Lissu kwenye kugombea urais,2025, ikawa wote ni washindi,Chadema haimegeki,Lissu hashindwi, wote wanakuwa ni winners,Mbowe Mwenyekiti,Lissu mgombea urais anayeiingiza Chadema Ikulu, Mbowe atakuwa PM,na Chadema itakuwa supper, ila hili litokee ni iwapo mgombea wa CCM 2025 ni huyu wa mserereko,kama CCM wataamua kugeuza kibao,wakamsimamishia Lissu chuma,Lissu inakula kwake,Chadema inapigwa chini jumla!。
P
ukinielimisha nimechanganya vipi mafaili nitakushukuru!。Umeyachanganya mafaili Mzee !!
🤣🤣😅
Kwanini na wewe usiropoke?kuropoka tu ndicho anachoweza....wenye akili ndogo wanamuona anafaa, mbona hajamtoa Slaa mahabusu ...si alisema sasa ni siasa za harakati/mshikemshike.
Kwanza kabisa naanza na msemo ule unaoaminika kwamba Locuta causa finita ! Kwa mintarafu hiyo basi lile neno Mserereko linapoteza nguvu kabisa !Umeyachanganya mafaili Mzee !!
🤣🤣😅
One down, two to go!.Wanabodi,
Karibuni tujadili。
2。Tukija Tundu Lissu ,Lissu ni mwanaharakati, kwa uwezo wa uongozi na karama ya uongozi Lissu hana,ila kutokana na kuchusa kwa Mbowe,Lissu anaonekana ni afadhali,lakini Lissu kama Lissu,uenyekiti wa Chedema,Lissu hauwezi,ila awekewe ma teknocrats wazuri chini yake kama JJ Mnyika,Mbowe abaki mshauri。
Thamani kubwa ya Lissu ni uwezo wake wa kumbwaga mgombea wa CCM, mapema tuu asubuhi,hivyo kama Chadema,wanaitaka ikulu,2025,provided mgombea wa CCM ni huyu wa mserereko,then mtu wa kwenda nae ni TAL Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
The choice is theirs!。
Paskali