Swali kwa Ayubu Rioba: Siku hizi sera ya Taifa inaruhusu taasisi za kidini kunufaika na fedha za walipa kodi kupitia TBC?

Naona MTU anapractice sheria

Kazi IPO

Hasa ukiwa biased na extreme imani

Self righteousness haijawahi kuacha MTU salama

Be a learner maana hoja yako imeshakua MTU
You have surrendered your argument!
Thank you.
 
Nashauri tufikiri pamoja kwa mujibu wa kanuni ya jurisprudence ifuatayo:
  1. Katiba inakataza tendo X;
  2. Kitendo hiki hapa Y ni sawa na kitendo X kinachokata zwa na katiba;
  3. Kwa hiyo, kitendo hiki Y ni batili kikatiba.
Hapo tutazungushana tu njia ya rahisi ni serikali kutotambua imani za dini,hapo ndio itaweza kujiepusha kikamilifu na mambo kama hayo.
 
Akili kubwa sana imeandika usingejisumbua kujibu akili yako na muandikaji ni mbingu na ardhi
 
mwacheni mchumia tumbo mdini mbaguzi mchonganishi mjinga hajielewi chuki dhidi ya waislamu
 
You have surrendered your argument!
Thank you.
So kulikua na argument na sio swali

I said it before

Hakuna swali hapa.... Ni egocentric, selfish person trying to justify hate against Islam and Muslims wote
 
So kulikua na argument na sio swali

I said it before

Hakuna swali hapa.... Ni egocentric, selfish person trying to justify hate against Islam and Muslims wote
Readers who are conversant with arguments analysis, evaluation and design will laugh at you for your unwarranted conclusion that my thread is an effort of an "egocentric, selfish person trying to justify hate against Islam and Muslims." Think again.
 
Readers who are conversant with arguments analysis, evaluation and design will laugh at you for your unwarranted conclusion that my thread is an effort of an "egocentric, selfish person trying to justify hate against Islam and Muslims." Think again.
Here we go again

Nadharia, nadharia, nadharia

You picked a right topic ya nadharia yako lakini your hate is vivid

Tulia Tu... Maana watu Aina yenu huwa mnapata tabu Sana uraiani kwasababu hamna social skills

You think everything is academic , ilivyoandikwa and kukariri

Sad story ya baadhi ya 'wajuvi' wetu
 
Hutaki kukubali kosa. Kwani, social skills unazoziongelea ndio zile za kuweka mihadhara ya kilokole kwenye vituo vya mabasi na ndani ya dala dala? Na haya mahubiri ya kilokole ninayoyapinga katika bandiko hili nayo ni Uislamu? Kunywa maji, tuliza kichwa, soma hoja tena. Usipoelewa maana yake topiki iliyo mezani inakuzidi kimo. Usichangie kitu.
 
Tulia punguza mihemko soma tena. Kuna tofauti kati ya ibada na makongamano jamaa kaeleza vzr sana. Shida kuna watu ukigusa dini yao tu hata km una hoja ya msingi wao ni kujaa upepo tu!!
Sina muhemko wowote wala kujaa upepo...kama walifuata taratibu wana haki ya kutangaza makongamano yao kupitia kituo hicho ca luninga!
 
Kukubali kosa lipi?
 
Basi hatujaelewana maana hata wewe hujaelewa nilichokisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…