Swali kwa Ayubu Rioba: Siku hizi sera ya Taifa inaruhusu taasisi za kidini kunufaika na fedha za walipa kodi kupitia TBC?

Hivi vipindi vinarushwa bure au Tibisii wanafanya biashara.
 
Hoja yako ni nini?
Maandishi ya Madrasa kupita kwenye utepe wa screen umeathiri nini kwenye ulichokuwa unakitazama?
Uvaaji wa hijaab mashuleni unakuathiri vipi, unatambua kuwa kuna Masister wa kikatoliki wanavaa vilemba mashuleni na vyuoni?
Hoja Ni kwamba serikali ya Tanzania Haina dini so haipswi kwa vyombo vyake vyake vyote ikiwemo vya habari visihusike kwa namna yoyote ile kutangaza kwa maana ya kueneza dini. Mambo kama ibada ya jumapili, ijumaa, mkesha wa pasaka , Baraza la idd, kipaimara, mkutano wa injiri, mashindano ya koroani, kusimikwa kwa askofu nk hayapaswi kutangazwa na vyombo vya habari vya Taifa.
Kuhusu mavazi ya kidini katika tasisi za Umma Hilo Ni sawa maana huo ndo Uhuru wa kuabudu na hilo linahusu Imani ya mtu binafsi
 
Naona uzi huu umeishawagawa watu 'WENYE IMANI ZAO' 😅
UDINI KATIKA SIASA NI DALILI YA KUFILISIKA KISIASA .............. MWALIMU!
NB: 1) HILI NI JUKWAA LA SIASA!
2) KUNA TUKUNDI FULANI TUNAONA NI MUDA MUAFAKA WA KUTUGAWA KIDINI ILI SIASA ZAO ZIWAENDEE UNONO ... WATCH OUT, YOU HAVE A LOT TO LOSE THIS WAY! ... THE WORLD IS TOO AWAKE FOR YOUR NONSENSE!

💀💀☠️💥
 
Kaza hapo hapo unapoabudu
 
Hoja hapa ni fupi: ni kwa vipi taasisi za umma kama vile RTD, shule na TBC zinaweza kuwa nyenzo ya kujenga utaifa. Utaratibu wa sasa una dosari. Just my fair opinion
Utaifa haujengwi kwa kulazimisha kufanana kila kitu, bali kwa kukubaliana kuishi na tofauti zetu ZINAZOKUBALIKA! ... hebu jaribu tu kufanya uniform za shule ziwe sare za watawa wa kikatoliki uone moto wake!
 
Siku hizi vyombo vya srikali vinalipisha hela ukivitumia - kama matangazo! Ukituma tangazo TBC unalipwa. Pili lugha ya kiarabu unaweza ukajifunza ukaijua hata wewe kama siyo mwisilam. In fact, wakristo wengi lugha yao ya kwanza na wengine lugha yao ya pekee ni kiarabu! Tatu, uislamu ni dini kubwa na imeota mizizi kiasi kwamba chuki yako haiwezi ikauyumbisha. Yameshindwa mataifa makubwa sembuse wewe!
 
BBC ni shirika la habari la Uingereza. BBC limekuwa likiaminiwa kwa kutoa habari makini tena kwa wakati, yaani mfano tukio likitokea Simiyu, BBC itarippti kwa kina na umakini kuliko TBC au kituo chochote kilichopo Simiyu, jambo hili la kutoa taarifa kwa kina limeifanya BBC kuwa moja ya vyombo vya habari vya kuaminika duniani.

Sasa TBC hadhi yake kishirika ni sawa kabisa na BBC, yote ni mashirika ya habari ya nchi (umma). Kama BBC imejitengenezea kuaminiwa duniani, TBC ina uwezo huo pia. Shirika la Serikali linaweza kuwa kubwa litakavyo sababu lina kila rasilimali linayoihitaji. Sasa kwa nini isiige kutoka BBC?? Unaweza kuona vipindi vya sala za kufungua na kufunga siku BBC au DW? Wananchi wa Uingereza au Ujerumani hawana dini?
 
Unaposema litania nyingi una maanisha zipi?! Kilatin walikuwa wakitumia wakatoliki ila siku hiz hamna tena. Kama unaangalia tv nakuona kipindi hukipendi, wewe hama stesheni angalia ingine.
 
Wewe Mtawadhaji acha kurukaruka na kubwatuka kama upo kwenye Dhikri, TBC sio radio Imaan au Nur ya kwachangisha wafuasi wa Mwamedi

Tuliza kende. TBC inaongozwa kwa kodi ya wahindu, Maatheist na Mapagani pia

Una uelewa?
 
Hayo wenye dini ndio walipa kodi.Kwa hiyo wanapeweka vipindi vya dini ndio kodi yenyewe hiyo,wanayotumia walipa kodi kwa manufaa yao.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Wahindi wote walio wahindu, Mapagani na Matheist hawalipi kodi?

Mnaanza tarawee enyi Bin Mudi eeh?
 
Mtoa mada upo sahihi, watu wanaotawadha kila Mara wanatawadha mpaka ubongo na kuondoa akili kidogo waliyo nayo na kubaki tupu kama Mwamedi.

Mwisho hawataweza kukuelewa.

Wabillah Tawfiq,
 
Huu uzi mzuri sana, sadly unahitaji certain level of thinking not any one can, esp. wenye mahaba na dini zao, unahitaji free minded people, mleta mada una kichwa kizuri sana.
 
Serikali haina dini ila watu wake wana dini, huwezi kuwazuia kupata neno la Mungu kupitia chombo chao cha habari, na ndiyo maana utakuta utoaji wa huduma za jamii kama vile afya vina ushirika wa serikali na mashirika ya dini, kuna hospitali za mashirika ya dini zina watumishi wa serikali, kinachoangaliwa ni huduma kwa jamii.
 
Kaza hapo hapo unapoabudu
Na ndio imani ilivyo ila sio kushikilia imani et kisa ya mababu zako kipi spesho walichokuwa nacho hao mababu? wao waliamini imani zao kwa kipindi chao na ndio maana kuna imani zao zengine tunaita ni imani potofu sasa hivi, kwahiyo kama mtu anaamini hizo imani za mababu aamini kwa hiari kwa kuona ndio imani yenye kufaa na sio kwa sababu et ni za mababu zake.
 
Kwanza hizo sehemu zinazotumika kiarabu mbona ni sehemu chache sana nashangaa kwanini hii nayo ni hoja humu!
 
Hata asiye na dini,vipi vipindi vinavyomuhusu,kuna vipindi vya dansi,mziki,ngoma,makala za biashara,kilimo,ujasiriamali,nk.Na hao wasio na dini,hawajazuia kuwakilisha vipindi vyao,wenzao wenye dini wanawasilisha vipindi vyao.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…