Swali kwa Malegendary, hivi unapotaka kuoa mke wa pili, mke mkubwa unamuweka sawa vipi?



Imani inaruhusu? Amejikita na kuheshimu Imani ? Kama wewe ni Mkristo huwezi wela Hilo Jambo Wazi, fuga tu mchepuko
 
Hakuna raha kama ya kuwa na mke zaidi ya mmoja, kwa kweli mimi nimmejengea nyumba mbali na kwangu , yaani ukijisikia unaenda huko unapetiwaaaaaaaa hadi raha, ah ukristo umetuzingua kutunyima fursa ya kuwa na mke zaidi ya mmoja, ila hakikisha una pesa ukitaka mke zaidi ya mmoja au oa wanawake wanaojimudu mfano nurse, mwalimu, Dr, mtendaji , askari, na watumishi wote halmshauri au mfanyabiashara mdogo
 
Mpeleke moto kisawasawa kila mda mpige pumb* usimpe pumziko... Ye mwenyew atakwambia uongeze mke wa pili.
 
Zidisha mapenzi, zidisha mahaba, mpe pesa, usimfatile, usimkere, mpeleke shopping......siku muweke kikao mwambie, akianza kujiliza mkabidhi funguo ya X5......huku unamwambia ajitafakari kati ya gari nawewe kuoa atachagua Nini.....hapo unafanya muamala wa mil 5 simbanking kwendea kwenye ac yake.
Akikataa njoo nikuelekeze njia nyingine.
 
Mi mke wangu hawezi kuthubutu kufanya hivyo yaani anipe uchi kwa mgao, hapana ases vipo vya kuninyima lakini sio uchi
 
Yani unatakiwa uwe na target kama za Maulid Kitenge, yule ni kidume haswaa.
 
Suala la kuongeza mke ni maamuzi ya mwanaume na wanawake wanalifahamu hilo.
Tatazo wanaume wengi huwa tunafeli kwenye kuwaandaa kisaikolojia wake zetu juu ya suala hilo.

Sasa wewe miaka yoote umeishi na mkeo halafu wala hujawahi kuupata ujasiri wa kulizungumzia suala hilo, unadhani ujasiri huo utaupata wapi utakapotaka kuoa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…