Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Yes. Watu wa mkoani wanapenda sana hili swaliNilipo toka dar kuja mkoani kwetu
Watu wana niuliza vipi wasaanii hua unaonana nao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes. Watu wa mkoani wanapenda sana hili swaliNilipo toka dar kuja mkoani kwetu
Watu wana niuliza vipi wasaanii hua unaonana nao?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kabla sijaja Dar miaka ya nyuma nilikuwa nikiambiwa Dar wanawake wote wanajiuza na ni Malaya, siku natoka kijijini babu alinionya sana kwamba Dar wanawake wote wana ukimwi. Dah jamaa mmoja aliyekuja kijijini akaniambia yaani wewe ukitaka mwanamke unamuita tu unamwambia ukamtie anakubali hakuna anaekataa! Doh nilimvamia Dada moja mitaa ya Sinza miaka hiyo ya nyuma sana nikamwambia we Dada twende nikakut.o.m.b.e kilichonikuta nakijua mwenyewe!
Sent using kidole gumba
Ulikuwa unasalimia kariakoo??[emoji1787][emoji1787][emoji28]Mara ya kwanza kufika Dar nilikuwa STD 2.Nimefika nilikuwa nashangaa magorofa tuu,na watu walivyokuwa wengi,,,magari msululu.Asikwambie mtu lami sasa nilikwenda kuigusa peku kabisa.
Kwa mara ya kwanza naingia Kariakoo purukushani hatari kila mtu namsalimia (mpaka mwenyeji wangu akasema_utachoka kusalimia piga kimya tuu Kariakoo hapa kila mtu na lake).
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa haaa Mkuu walikuwa wawili nilichezea makofi na matusi juu! Nilivyopata upenyo nduki mpaka nyumbani!Mkuu naomba umalizie kilikukuta nn baada ya kumwambia huyo dada ukamt...e
Babu aliniuza Mkuu![emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sipati picha hicho kichambo chake
Babu alikuingiza cha kike
Sent using Jamii Forums mobile app
jambo la kushukuru sio mpenzi wa bluebanda, maana angenimalizia na mtaji wangu wa blueband.
Nyumba yenyewe imewekwa wavu tuu hakuna viooMi nilishangaa uchakavu wa nyumba na maisha magum watu wanashinda njaa mtu akijenga kajumba akaweka fensi eti wa Kishua wakati kijijini kwetu vijana kwa wazee ni full msauth fence umeme na kausafi changamoto ni maji kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]Haaa haaa Mkuu walikuwa wawili nilichezea makofi na matusi juu! Nilivyopata upenyo nduki mpaka nyumbani!
Sent using kidole gumba
Hahahahaha umenichekesha Sana hapo kwenye bonge la mtenki wenye kutu kutuYote tisa kumi sasa boarding sasa watoto wa Dar walikua wanajiona wametoka sijui Beverly Hills dadeq kulikua na kundi la watoto wa Tabata basi maskini sisi wa mkoa tunajua Tabata is the place to be... afu mi nlijuaga tanki bovu kuna booooonge la mtenki umekaa pale una mikutu sijui 🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahaha umenichekesha Sana hapo kwenye bonge la mtenki wenye kutu kutu