Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Yani hata huoni haya, Toka MUNGU kaumba ulimwengu.. mwaka 1938 ndo aje aruhusu kinga mimba... Au 1962 ndo akataze.
HUna habari na time-indexed properties?
HUjui world-indexed properties?
Tofauti zinazotokana na time-indexed properties pamoja na world-indexed properties ni ushahidi kuwa, kadiri suala la Mungu linavyosika, Mungu wa 1932 na Mungu wa 1968 sio Mungu yule yule!
Hawa ni Miungu wawili tofauti
Kwa hiyo, MUngu wa Waanglikana na Mungu wa Wakatoliki sio sawa.
Can you think loudly?
 
Idiot!
Kuna dini bila Mungu?
Hahahahaha.. kwa hili swali lako umehakikisha huna pa kujitetea na pepo dini amekukamata haswa..

Kwahiyo kuna Mungu wangapi?
Je, wakatoliki waliumbwa na Mungu wa dini ya kikatoliki?
Kwanini mkatoliki anabadili dini anakuwa Msabato na Mungu aliyemuumba hachukui uhai wake?

Nipe UTHIBITISHO kuwa mwanzo Mungu alivyoumba ulimwengu na kuumba watu wa kwanza aliwapa na dini fulani.. inaitwaje hiyo dini?
 
Unafichua ujinga wako tena. There are specific differences regarding the various conceptions of God by different faith groups. And these conceptions as overtly uttered by respective followers are what we can reasonably grasp. As to which conception is right and which is wrong we cannot tell for sure! Acha kupayuka.
Hahahaha..
Hoja yako inakosa mashiko.. HAKUNA MUNGU WA DINI FULANI (yaani hakuna Mungu yupi..) Labda useme miungu.. ILA MUNGU NI MMOJA TU.

MUNGU NI MMOJA TU, religious groups hazifanyi Mungu agawanyike (Kwamba Mungu yupi)

Mungu ni mmoja, Anaabudiwa na Myunani, na mgalatia, na mmakonde, na mhadizabe, na Mimi pia.
 
HUna habari na time-indexed properties?
HUjui world-indexed properties?
Tofauti zinazotokana na time-indexed properties pamoja na world-indexed properties ni ushahidi kuwa, kadiri suala la Mungu linavyosika, Mungu wa 1932 na Mungu wa 1968 sio Mungu yule yule!
Hawa ni Miungu wawili tofauti
Can you think loudly?
Hebu soma hapa chini..

Zaburi 89:34
"Mimi sitalihalifu agano langu,
Sitalibadili neno lililotoka midomoni mwangu."

Kwa kizungu cha kigali, rwanda.
"My covenant will I not break, nor alter the thing that is gone out of my lips."

Je, unazani Mungu hubadili neno lake mwaka 1938 kuja 1962?

Jibu ni HAPANA, MUNGU Habadili Neno lake.. ILA Wanadamu kwa sababu ya tamaa zao ndio hubadili Neno la Mungu.

NB, NENO hili katika zaburi lilikuja miaka zaidi ya elfu mbili kabla ya hizo ambali za mtumie/msitumie kinga mimba.
 
Uko wapi, muite na huyo shoga ako "niwagonge wote".

Mkiamka mpate akili ya kumtafuta, kumuabudu na kumtumikia Mungu Aliye Hai.

NAWATAFUNA.
 
Dini ni utaratibu/taratibu zote alizoweka mwanadamu ili amwabudu Mungu.

Dini SIO MUNGU.. (Mungu ana kanuni zake, KAZIWEKA WAZI KUPITIA NENO LAKE)
Umejibu vema kwa 33% pekee. Ukweli wote ni huu hapa:

"Dini ni [IMANI KUHUSU MUNGU, VIUMBE, UHUSIANO ULIOPO KATI YA PANDE HIZI MBILI NA] utaratibu/taratibu za ibada alizoweka mwanadamu [Mungu]. Dini SIO MUNGU. [Lakini, Mungu ni sehemu ya dini na bila imani kuhusu Mungu hakuna dini.]"

Soma zaidi hapa: In every form of religion is implied the conviction that the mysterious, supernatural Being (or beings) has control over the lives and destinies of men.
 
Hebu soma hapa chini..

Zaburi 89:34
"Mimi sitalihalifu agano langu,
Sitalibadili neno lililotoka midomoni mwangu."

Kwa kizungu cha kigali, rwanda.
"My covenant will I not break, nor alter the thing that is gone out of my lips."

Je, unazani Mungu hubadili neno lake mwaka 1938 kuja 1962?

Jibu ni HAPANA, MUNGU Habadili Neno lake.. ILA Wanadamu kwa sababu ya tamaa zao ndio hubadili Neno la Mungu.

NB, NENO hili katika zaburi lilikuja miaka zaidi ya elfu mbili kabla ya hizo ambali za mtumie/msitumie kinga mimba.
Tofauti kati ya Agano la Kale na Agano Jipya ni nini? Unakariri sana. Agano jipya ni addendum contract. Kikanuni addendum contract hurekebisha original contract. Kwa hiyo kuna mambo katika agano la Kale yamebadilishwa kupitia Agano Jipya. Na hivyo, Zaburi 89:34 ("Mimi sitalihalifu agano langu, Sitalibadili neno lililotoka midomoni mwangu.") ni batili. Acha kukariri kama roboti. Au huyu shogist wako anakuzingua?

1631215309528.png
 
Hahahaha..
Hoja yako inakosa mashiko.. HAKUNA MUNGU WA DINI FULANI (yaani hakuna Mungu yupi..) Labda useme miungu.. ILA MUNGU NI MMOJA TU.

MUNGU NI MMOJA TU, religious groups hazifanyi Mungu agawanyike (Kwamba Mungu yupi)

Mungu ni mmoja, Anaabudiwa na Myunani, na mgalatia, na mmakonde, na mhadizabe, na Mimi pia.
Absolute gibberish!
 
View attachment 1897959
Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema

Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu yupi.

Kuna wanaopeleka matoleo kwenye parokia za Kanisa Katoliki. Wengine wanapepeleka makanisa ya KKKT. Na baadhi wanasali novena barabarani.

Kama mambo haya yangefanyika kabla ya Matengenezo ya Kiprotestanti (Reformation) yaliyoendeshwa na Martin Luther wa Ujerumani, yangeweza kuingia akilini. Wakati huo Kanisa la Kikristo lilikuwa moja. Lakini hali sio hivyo leo. Ukweli wa leo ukom hivi:

  1. Kwa mujibu wa kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika kwa kutumia vigezo vya lazima na vyenye kutosheleza utambulisho wa kitu katika upekee wake, kila mahali penye utofauti katika idadi ya sifa za utambulisho wa vitu vilivyo mbele ya mtazamaji kutakuwa na vitu vingi, na kila mahali pasipo na tofauti katika idadi ya sifa za utambulisho wa vitu vilivyo mbele ya mtazamaji kutakuwa na kitu kimoja.
  2. Kuna utofauti katika idadi ya sifa za utambulisho wa Mungu wa Wakatoliki, Mungu wa Walutheri, Mungu wa Waislamu, MUngu wa Wasabato, na kila muungu baki.
  3. Kwa hiyo, Mungu wa Wakatoliki, Mungu wa Walutheri, Mungu wa Waislamu, MUngu wa Wasabato, na kila muungu baki, ni Mungu tofauti, na uwepo wa kila Mungu aliyetajwa unakubaliwa kwa vitendo na wafuasi wa Mungu huyo na kukanwa kwa vitendo na watu wasio wafuasi wa Mungu huyo.
That is:
  1. According to the principle of necessary and sufficient conditions for the individuality of an entity, wherever there is property difference between two entities there is numeric diversity and that wherever there is absolute property similarity between two entities there is numerical identity.
  2. There are property differences between Catholic God, Lutheran God, Islamic God, SDA God , etc
  3. Thus, Catholic God, Lutheran God, Islamic God, SDA God, and so on, are distinct Gods, where the existence of each God is practically asserted by its followers and practically denied by its non-followers.
Accordingly:
  • For a catholic X, a Lutheran God is not.
  • A believer in the non-existence of a given God is called an atheist.
  • Thus, with respect to a Lutheran God, X is an atheist.
Again:
  • For a Lutheran Y, a Catholic God is not.
  • A believer in the non-existence of a given God is called an atheist.
  • Thus, with respect to a catholic God, Y is an atheist.
In effect:
  • We may pray for atheists so that they may be converted from unbelief status to belief status and not otherwise.
  • For these reasons, all Lutherans including Mbowe are atheists with respect to Catholic God.
  • And all Catholics, including Pope Francis, are atheists with respect to Lutheran God.
Finally:
  • The god of the Old Testament whose third person is disincarnated is not identical with the god of the New Testament whose third person is incarnated ;
  • A contraceptophobic god of the Catholic Church is not identical with a contraceptophilic god of the Lutheran Church;
  • A god whose third person comes from the father and the son, as taught by the Western Christian Churches, is not identical with a god whose third person comes from the father alone as taught by the Eastern Christian Churches.
  • A god who prefers to be worshipped on Sunday is not identical with a god who prefers to be worshipped on Saturday;
  • A god who prefers to be worshipped in Friday is not identical with a god who prefers to be worshipped in another day;
  • A god who prohibits his followers to eat pork is not identical with a god who allows his followers to eat pork;
This is what the elementary metaphysical principle of individuation, properly understood, teaches us.

Sasa swali kuu na majibu yangu

Kwa hiyo basi, ninawaalika Viongozi wa Chadema kujiuliza na kujibu swali lifuatalo: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Kwa kuzingatia matakwa yakanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika kwa kutumia vigezo vya lazima na vyenye kutosheleza utambulisho wa kitu katika upekee wake, kama ilivyofafanuliwa hapo juu, binafsi napendekeza yafuatayo:
  • Kwamba, Mungu wa KKKT anayeabudiwa na Mbowe ni tofauti na Mungu wa Wakatoliki anayeabudiwa na wafuasi wa Mbowe ambao ni Wakatoliki;
  • Kwamba, Mbowe amekuwa anamkana kwa mawazo, kwa maneno na kwa vitendo Mungu wa Wakatoliki.
  • Na kwamba, kwa sababu hiyo, Mbowe hana haki ya kuombewa na wafuasi wake kupitia kwa Mungu asiyemwamini.
Mbowe hamtambui Mungu wa Wakatoliki tangu siku alipobatizwa chini ya madhehebu ya KKKT, na hadi leo hajatwambia kama amemkana Mungu wa KKKT na kumkubali Mungu wa Wakatoliki.

Kwa hiyo, Mungu wa Wakatoliki hawezi kusikiliza wala kupokea matoleo yanayopelekwa ndani ya Kanisa Katoliki kwa ajili ya kumwomba Mungu wa Wakatoliki amtetee Mbowe, mpaka hapo Mbowe atakapomkiri kwamba yeye pekee ndiye Mungu wa kweli.

Hivyo, viongozi wa Chadema wanapaswa kuacha maigizo kama yale ya "mitano kwanza" na "mitano tena" tuliyoshuhudia mwaka jana.

Vinginevyo watayafikisha makanisa mahali ambapo kanisa lile lile moja linapokea matoleo ya kuomba mbowe atiwe hatiani na kuyabariki leo; halafu kesho yake, kanisa hilo hilo linapokea matoleo ya kuomba mbowe asitiwe hatiani na kuyabariki.

Dini zitadhalilika sana kwa njia hii.

Nijuavyo mimi, ukweli ni kwamba: Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe atiwe hatiani na Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe asitiwe hatiani ni Miungu wawili tofauti!

Lakini, tunafundishwa kuwa Mungu wa kweli habadiliki wala kubadilisha mawazo yake.

Kwa hiyo, mmojawapo kati ya miungu hawa wawili atakuwa ni Mungu feki, yaani Mungu wa kuchonga (constructed God), wakati mwingine ni Mungu wa kweli (essential God).

Kanuni nne za kuongoza mjadala:

Kusudi, viongozi wa Chadema waweze kuelewa msingi wa swali langu hapo juu na kulitendea haki, hapa chini nafafanua kanuni NNE zinazopaswa kuongoza mjadala huu. Kanuni hizo ni:
  • kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti (principle of identity),
  • kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika (principle of difference), na
  • kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu.
  • kanuni ya sifa za lazima katika utambulisho wa kitu (principle of necessity)
  • Kanuni ya sifa zenye kutosheleza utambulisho wa kitu (principle of sufficiency).
Kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti

Mosi, ni kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti, yaani the principle of the Identity of indescernibles.

Kwa mujibu wa kanuni hii, kunapokuwa na majina mawili yanayorejea kitu kimoja kile kile, hiyo maana yake ni kwamba, kila sifa iliyofungamana na kitu chenye jina la kwanza pia imefungamana na kitu chenye jina la pili, na kinyume chake ni kweli.

Yaani, kwa kila jozi ya vitu, kimoja kikiwa na jina X na na kingine kikiwa jina Y, jina X litakuwa linamaanisha kitu kile kile kitu kinachorejewa na jina Y, endapo na endapo tu:

Kwa pamoja, sentensi kwamba:

(1) kila sifa iliyofungamana na kitu X pia imefungamana na kitu Y;

na sentensi kwamba:

(2) kila sifa iliyofungamana na kitu Y pia imefungamana na kitu X.

ni za kweli.

Kwa mfano,
  • Julius ni jina linalorejea mtu yule yule anayeitwa Nyerere. Yaani, Julius na Nyerere ni majina ya kitu kimoja.
  • Na, DOG ni jina linalorejea kitu kile kile kinachoitwa MBWA. Yaani, DOG na MBWA ni majina ya kitu kimoja.
Kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika

Pili, ni kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika, yaani the principle of dissimilarity of the diverse.

Kwa mujibu wa kanuni hii, kunapokuwa na majina mawili yanayorejea vitu tofauti kwa mujibu wa utaratibu wa kuhesabu, basi, hiyo maana yake ni kwamba, sio kila sifa iliyofungamana na kitu chenye jina la kwanza pia imefungamana na kitu chenye jina la pili, na kinyume chake ni kweli.

Yaani, kwa kila jozi ya vitu, kimoja kikiwa na jina X na na kingine kikiwa jina Y, jina X litakuwa linamaanisha kitu tofauti na kile kitu kinachorejewa na jina Y, endapo na endapo tu:

Ama:

(1) katika seti ya sifa za kitu X angalau kuna sifa moja P, ambayo haipatikani kwenye seti ya sifa za kitu Y,

Au:

(2) katika seti ya sifa za kitu Y angalau kuna sifa moja Q, ambayo haipatikani kwenye seti ya sifa za kitu X.

Kwa mfano:
  • Mipira miwili ya tufe, iliyowekwa mezani, na ambayo inafanana kwa kila kitu, bado tunaitambua kuwa ni mipira miwili tofauti kwa kuwa, kila mpira unayo anwani yake ya kijiografia. Hata watoto mapacha sisisi tunawatofautisha kwa njia hiyo.
  • Vivyo hivyo, Miungu inayependa kuabudiwa Ijumaa (Miungu ya Waislamu) na Miungu inayependa kuabudiwa Jumapili (Miungu ya Wakristo) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Kadhalika, Miungu inayependa kuabudiwa Jumamosi (Miungu ya Wasabato) na Miungu inayependa kuabudiwa Jumapili (Miungu ya Wakristo bado) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Aidha, Miungu inayoruhusu waamini kutumia kondomu (Miungu ya Waanglikana) na Miungu inayokataza kondomu (Miungu ya Wakatoliki) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Vile vile, Miungu inayokataza makuhani kuoa (Miungu ya Wakatoliki) na Miungu inayoruhusu makuhani kuoa (Miungu ya Waanglikana na Walutheri) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe atiwe hatiani na Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe asitiwe hatiani ni Miungu wawili tofauti!
  • Na mifano inaendelea kama inavyothibitishwa na utitiri wa usajili wa taasisis za kidini katika ofisi ya Wizara ya Mambo ya Ndani.
Kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu

Na tatu, ni kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu. Yaani necessary and sufficient definitions.

Ukitaka kukitambulisha kitu kama vile kitu chenye umbo mraba, kwa namna ambayo inatofautisha umbo mraba na vitu baki, lazima kutaja vigezo vinavyomwezesha msikilizaji kufanya mambo mawili.

Mosi, ni kutambua mraba ni kitu gani. Na pili ni kutambua mraba sio kitu gani.

Kazi hizi mbili zinafanyika kwa njia ya kutaja vigezo ambavyo ni vya lazima na vyenye kutosheleza utambulisho wa kitu kinachoongelewa.

Kuhusu vigezo vya lazima, tuchukue mfano wa fasili ya kitu chenye umbe la mraba. Ni lazima kila mraba uwe na pande nne.

Lakini, sifa hii haitoshi kuutofautisha mraba na maumbo baki kama vile mstatili ambayo pia yanazo pande nne.

Na kwa upande mwingine, kuna vigezo ambavyo vinatosheleza kukitambulisha kitu, lakini sio vya lazima kwa ajili ya utambulisho huo.

Mfano, katika mazingira ya shule mwanafunzi anayepata alama ya A anapasi kozi.

Lakini, alama ya A sio alama ya lazima ili kumfanya wanafunzi huyo apasi kozi. Anaweza kupasi kwa kupata alama ya B, C au hata alama D.

Hivyo, kupata alama ya A ni kigezo cha lazima katika kupasi kozi, lakini sio kigezo kinachotosheleza matakawa ya kumpa mwanafunzi sifa ya kuhesabiwa amepasi mtihani, kwani hata wale wanaopata B, C na D hupasi pia.

Kwa sababu hii, kwa ajili ya kueleza mraba ni kitu gani na sio kitu gani kwa mpigo, tunahitaji mambo mawili:

(1) kutaja kigezo kimoja kimoja ambacho ni lazima kihusike katika kutambulisha mraba.

Na (2) kutaja seti ya vigezo vyote ambavyo kwa pamoja vitatosheleza kutofautisha mraba na maumbo baki yenye pande nne.

Kwa hakika, kila mraba lazima uwe na sifa zifuatazo kwa mpigo: pande nne, pande zilizo nyooka, pande zinazolingana, pande zilizoungana katika ncha zake, pale zilizo katika ubapa mmoja, na lazima uwe na kona nne zenye nyuzo 90 kila moja.

Kanuni hizi tatu zilizotajwa hapo juu, zinapaswa kutumika katika kutambua na kutambulisha kitu chochote kama vile mbuzi, kondoo, mti, mtu, miungu, na kadhalika.

Hivyo basi:

Ukweli ndio huo, na hayo ndiyo madhara yasiyotarajiwa yaliyoletwa na Matengenezo ya Kiprotestanti (Reformation) yaliyoaasisiwa na Matrin Luther wa Ujerumani.

Kwa uelewa zaidi soma kitabu: The Unintended Reformation: How a Religious Revolution Secularized Society by Brad S. Gregory (Attached).
Mkuu logic yako iko wapi .mbona hakuna uhusiano baina ya Tittle na context

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Tofauti kati ya Agano la Kale na Agano Jipya ni nini? Unakariri sana. Agano jipya ni addendum contract. Kikanuni addendum contract hurekebisha original contract. Kwa hiyo kuna mambo katika agano la Kale yamebadilishwa kupitia Agano Jipya. Na hivyo, Zaburi 89:34 ("Mimi sitalihalifu agano langu, Sitalibadili neno lililotoka midomoni mwangu.") ni batili. Acha kukariri kama roboti.
Nipe sehemu ambayo imeandikwa ni BATILI.

Usilete kanuni za DINI kwenye KANUNI/NENO LA MUNGU... ila unaweza kuleta KANUNI/NENO LA MUNGU ndani ya kanuni za dini.

Hakuna dini ya kubadili neno la Mungu, ila Mungu anao uwezo wa kufanya chochote juu ya dini au kikundi fulani cha imani.

Ukiacha hayo makatekisimu, mitaguso na miongozo ya hayo madhehebu unalijua vizuri NENO LA MUNGU??...

Tuanzie hapa, UNA LIJUA VIZURI NENO LA MUNGU??
 
Absolute gibberish!
Huna unalolijua ewe "dada wa kujitakia"

Muulize mama yako akupe ushahidi kuwa kuna Mungu wa kilutheri au wa kiislamu.

Kwahiyo, Huyo Mungu wa Kilutheri kabla hajaanza kuwa Mungu wa walutheri alikuwa Mungu wa nani? Na alikuwa anafanya nini?

Maana ulutheri ulitoka kwenye ukatoliki.. Je, Mungu wa kikatoliki alijagawa ndio nusu alikuwa mlutheri na nusu mkatoliki?

Dini inakupeleka pabaya.. Mungu mmoja, ila kutokana na MAPUNGUFU ambayo watu waliyaona kwenye vikundi vyao vya imani wakajitoa na kuanzisha kikundi kipya chini ya Mungu yuleyule aliye mkamilifu na mkuu sana.
 
Umejibu vema kwa 50%. Ukweli ni huu hapa:

"Dini ni [IMANI KUHUSU MUNGU, VIUMBE, UHUSIANO ULIOPO KATI YA PANDE HIZI MBILI NA] utaratibu/taratibu zote alizoweka mwanadamu ili amwabudu Mungu. Dini SIO MUNGU. [Lakini, Mungu ni sehemu ya dini na bila imani kuhusu Mungu hakuna dini.]"
Hujui kitu, umeandika "ushudu" kama si "ushuzi".

Mungu Akurehemu ewe dada wa kujitolea.
 
Dini inakupeleka pabaya.. Mungu mmoja, ila kutokana na MAPUNGUFU ambayo watu waliyaona kwenye vikundi vyao vya imani wakajitoa na kuanzisha kikundi kipya chini ya Mungu yuleyule aliye mkamilifu na mkuu sana.
Unijichanganya!
Kusudi uwe Mlutheri inabidi umkane MUngu wa Wakatoliki and vice versa.
Kusudi uwe Mkristo inabidi umkane MUngu wa Waislamu and vice versa.
Huweza ukamkubali Mungu wa dini mojawapo halafu ukaendelea kuwa Muumini wa dini nyingine!
Unakwama wapi?
 
Hakuna dini ya kubadili neno la Mungu, ila Mungu anao uwezo wa kufanya chochote juu ya dini au kikundi fulani cha imani.
Kwa hiyo, leo Mungu anaweza kuamua kwamba kuiba sio kosa la kimaadili na ikawa hivyo? Never! Bado wewe ni mtumwa wa divine command theory wakati tayari imetupwa kapuni miaka mingi iliyopita. Unakurupuka sana wewe shogist!
 
Unijichanganya!
Kusudi uwe Mlutheri inabidi umkane MUngu wa Wakatoliki and vice versa.
Kusudi uwe Mkristo inabidi umkane MUngu wa Waislamu and vice versa.
Huweza ukamkubali Mungu wa dini mojawapo halafu ukaendelea kuwa Muumini wa dini nyingine!
Unakwama wapi?
Kwani Mungu wa kikatoliki si ndio Mungu wa IBRAHIM, Mungu wa Isaka na Yakobo? Na Mungu wa Kilutheri sio Mungu wa IBRAHIM, Isaka na Yakobo?

Je, Inakuaje unasema Mungu wa kikatoliki ni tofauti na Mungu wa Kilutheri?

Hakuna tofauti ya Mungu, IPO Tofauti ya taratibu za kumuabudu huyo Mungu (Kulingana na Uelewa wa NENO LA MUNGU)... Kuna wanaoamini Mungu aliweka Jumamosi Kuabudiwa, Kuna wanaoamini Mungu aliweka Jumapili Kuabudiwa, kuna wanao amini Mungu ANASTAHILI KUABUDIWA KILA SAA, KILA DAKIKA.

Hizo tofauti ZILIZOPO sio TOFAUTI za Mungu, ni tofauti za UELEWA WA WANADAMU JUU YA MUNGU na Neno Lake..

Hebu nijibu hapa chini...
"MUNGU WAKATI ANAUMBA WANADAMU WA KWANZA ALIWAPA DINI/DHEHEBU GANI??"
 
Back
Top Bottom