Mtumaini Mungu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 879
- 1,084
NIMEKUAMBIAKwa hiyo, leo Mungu anaweza kuamua kwamba kuiba sio kosa la kimaadili na ikawa hivyo? Never! Bado wewe ni mtumwa wa divine command theory wakati tayari imetupwa kapuni miaka mingi iliyopita. Unakurupuka sana wewe shogist!
Zaburi 89:34
"Mimi sitalihalifu agano langu,
Sitalibadili neno lililotoka midomoni mwangu."
Mungu kupitia amri zake alisha sema USIIBE, na hapo juu Amesema HATOBADILI NENO lake, Hivyo hawezi libadili.. KUMBE HATA KUELEWA NI SHIDA? "Mtindio wa Ubongo"
Hivyo pia Mungu hawezi leo akasema tumia kingamimba, afu kesho aje aseme usitumie kingamimba never... WANAOWEZA KUSEMA HAYO NI WANADAMU.
Mungu HABADILIKI, HAGAWANYIKI.. Huo utofauti kati ya dini na dini SIO UTOFAUTI WA MUNGU (MUNGU NI MMOJA TU) Hizo tofauti ni "perception" za WALE ULIO WAITA VIONGOZI WA ROHO YAKO.