respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,842
Duuuh Jf ya leo...!!
Maombi ya kila mja huwa kwa kile anachokiamini. Mpokea maombi siku zote huwa hausiani na imani ya yule anaemuombea.. Ndiomaana si ajabu kwa Mkristu kwa Imani yake kumuombea Muisilamu na akapona bila kuzingatia imani yake kwa aliyemuombea.
Yule anaomba ndie anaemlilia Muumba kwa imani yake kwake kwaajili ya chochote au yeyote bila kuzingatia imani ya kile kinachoombewa kuamini ktk imani ya muimbaji.. Neno dogo kama hili ni gumu kulielewa akilini mwako??
Mwalimu Nyerere ktk harakati zake za kudai Uhuru wa Tanganyika, alipata kuombewa na Wakristu, Waislam, Machifu ama waaguzi wa kipindi hicho wote kwa imani zao walitia maombi kwa Mungu wao waliekuwa wakimlilia kwaajili ya kumfanikishia mja wake kufanikisha kile alichokuwa akikipigania.
Unataka kuniambia Nyerere alikuwa na imani zote za wale waliokuwa wakimuombea ili kufanikisha jambo lake?
Mbona ni jambo dogo kulijua kwako kunaugumu gani?? Anyway, salam Mama Amon
BACK TANGANYIKA