Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Tatizo lako ni kwamba tayari una indelible mark ya kuhani mtenda dhambi mashuhuri nchini Tanzania. Hata ukitubu sisi tunaendelea kuona hiyo alama ya kishetani isiyofutika!

 
Ulisoma wapi Teolojia wewe?
 
Wakatoliki hukataa kumzika mtu aliyekuwa anaabudu madhehebu tofauti.

Vivyo hivyo, hawapaswi kumwombea mtu anayekataa Ukatoliki kama anavyofanya Mbowe ambaye ni muumini wa KKKT mpaka leo.
Kumbe Chifu Hangaya ni Mkatoliki? Nilikuwa sijui maana anaombewa sana na maaskofu wakatoliki.
 
Hahahahah

Kama umeshindwa kumtaja huyo Mungu Basi nadhani Sasa umekua na umeelewa nilichokuwa nakufundisha.

Mungu ni Mmoja.
 
Hahahahah

Kama umeshindwa kumtaja huyo Mungu Basi nadhani Sasa umekua na umeelewa nilichokuwa nakufundisha.

Mungu ni Mmoja.
Time for false indoctrination has passed.
In fact, your question had to be which Jesus?
The Jesus one mentions specifies a given God.
The Catholic Jesus is not identical to the Orthodoxy Jesus.
The Lutheran Jesus is not identical to the Jesus as conceived by foloowers of Witnesses of Jehova.
Accordingly, Catholic God, Lutheran God, Orthodoxy God, the God of WoJ are different Gods!
Pure and simple!
 
Njia za Mungu si kama za wanadamu yeye ndiye muhukumu wa haki hapangiwi na kiumbe chochote alichokiumba.
 
Usilete mboyoyo..

Uliulizwa hivi
Yesu ni Mungu au siyo Mungu?
Ukajibu hivi
Yesu ni mwana wa Mungu
Mimi nikauliza hivi
Hahahahahah, hujanitag.

"Yesu ni mwana wa Mungu".. Mungu yupi?
Sasa tunaomba jibu.. Yesu ni Mwana wa Mungu (Wewe ndiye umesema, baada ya kuulizwa kama Yesu ni Mungu au Sio Mungu)...

Tuambie Sasa, Yesu ni Mwana wa Mungu, Mungu yupi? Mungu yupi ambaye ni baba wa yesu?

Then Huyo Mungu utakaye msema nitakuambia kwa mara ya tatu juu ya jibu la swali letu😀😀
 
Tuambie Sasa, Yesu ni Mwana wa Mungu, Mungu yupi? Mungu yupi ambaye ni baba wa yesu?
Naina hata hujaelewa hoja.
NImesema: YESU NI MWANA WA MUNGU.
Maneno YESU na Mungu yana maana nyingi.
Kuna Yesu wa Kanisa la Magharibu, Yesu wa Kanisa la Mashariki, Yesu Mlutheri, etc
Pia kuna Mungu wa Kanisa la Magharibu, Mungu wa Kanisa la Mashariki, Mungu wa Mlutheri, etc
Ukifanya substitutions unapata jibu.
Usinipotezee muda.
Nafanya mambo muhimu kuliko hilo swali lako.
Kwa heri
 
Yesu Mwana wa Mungu.. (Wewe ndiye umesema)

Mungu yupi.. (Mimi nimeuliza)

Ooh.. mashariki, mara sio mashariki magharibi, mara juu pembezoni mwa bahari ya shamu..

Usilete utani tuna kazi za kufanya Kumpendeza Mungu wetu, wewe unaleta utumbo wako eti "Mungu yupi?" Hahahahahah..

Mungu baba wa yote, muumba wa mbingu na ardhi, aliyekuumba wewe na amon.

Good night, usisahau kuni-tag kwenye Uzi mpya (Ila uwe wenye akili).
 
Unahamisha magoli sasa, kwahiyo kuna Yesu wa JF na kuna Yesu wa Mama Amon!!

Shukuru unaongea hizi pumba kwa sababu christian wana tolerance kwa wajinga kama wewe, fanya hivi kwa waislamu uone watakavyokukeketa bila ganzi.

Good morning.....
 
Anajambajamba tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…