Swali kwa wadada, hivi mnaweza kuwa na mahusiano au ndoa na mwanaume ambaye hana hela?

Hana hela? Yan hanaje hela?
Hana hela za kufanya hizo fancy shits au hana hela ya kufanya basic needs za mtanzania asiye fisadi?
Ushawai kusikia wanawake wakisema simtaki mwanaume asiye na hela?


#nyumayapazia
 
Sasa mwanaume anakosa je pesaπŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
Swali kwa wadada🦻
 
Fafanua kwanza kutokuwa na hela kukoje?

1.hajawahi kuwa na hela 2. ameishiwa? 3. ana hela kidogo amezidiwa na KE?

Namba 3 Inawezekana, 1&2 Mwanamke ajiaandae kuna mambo atadeal nayo hadi atakinai mwenyewe; insecurities, attitudes, anaweza kuwa violent, anaweza kuwa unmotivated, controlling, nagging etc.

Si kwa ubaya, mwanaume asipokuwa na hela anakuwa anadeal na mambo mengi sana kichwani yanayomfanya iwe ngumu sana kuishi na mwenza.

Kwa kuongezea: huwezi ijui tabia halisi ya Mwanaume asiyekuwa na hela.

Anyways, tuwaombee wanaume wapate pesa kwasababu nadhani ni kitu kigumu sana kwao. (Nimeongea kama dada wa mtu)
 
Tatizo lenu nyie wengi wenu kidume akipigia changamoto kidogo ya ndalama ndio haoooo mnachepuka dharau kama zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…