Swali kwa wadada, hivi mnaweza kuwa na mahusiano au ndoa na mwanaume ambaye hana hela?

Wanawadharau kwa sababu hata nyie mkizipata huwa mnaenda kutumbua na wanawake wengine.
Kha! Yamekuwa hayo tena! Anyways ni kweli tukipata hela tunaenda kupata totoz nyingine na hiyo ni katika kuonyesha kuwa wanaume tuna moyo wakipekee uliojaa upendo na hivyo sio vyema hela zote zilaenda sehemu moja wakati wapo wanawake wazuri wenye uhitaji wa rasimali tulizokuwa nazo.

Unlike them, when they have money they wana get rid of u if not completely elimate u from the surface of thos earth. Thats the difference.
Selfish creatures i tell u. Sympathize not with their plight.
 

Duuuh , tutafute pesa fr [emoji52]
 

Tuzijue tabia hizo🫀
 
Tuzijue tabia hizo🫀
Anaweza akawa na trait zingine zozote kama binadamu, But kuwa insecure ni trait specifically inatokana na kukosa pesa. Halafu hakuna kitu kibaya kama kuwa na ME ambaye ana trait hii and it gets the best of him.

Sikatai, yamkini kila mtu ana insecurities zake, wengine hujitahidi kuzifunika na kibunda, sababu kibunda kinaleta confidence.

Kama ulivyosema tutafute pesa, si kwaajili ya mapenzi tu.
 
Kwakweli kila mwanaume na awe na hela

Bila hela anakua mnyonge sana
 
Umeongea kwa uchungu sana ndugu yangu
 
What shows kwamba the dude is insecure
 
Hebu sema ukweli wako, hivi wadada mnaweza kuwa na mahusiano au ndoa na mwanaume ambaye hana hela?


#nyumayapazia
 
Unaposema Hana Hela maana yake hafanyi kazi yoyote hajishughulishi ndo maana Hana Hela,sio Tu Hilo la kutokuwa na pesa mvivu pia mtu WA hivyo WA nini sasa wakati hata vitabu vya dini vimeandika mwanaume utakula Kwa jasho lako yy alikuwa anategemea ale Kwa jasho la nani!?
 
Tofauti kumbe kuna sisi ambao tukiwa na pesa ndio tunaendekeza wivu na mapenzi maana ukishakuwa na hela hakuna kitu kingine cha ziada cha kufanya dunian zaidi ya hizi starehe za mapenzi, tukikosa pesa ndio tunakuwa hatujali kabisa hata ukichiti hilo utajua mwenyewe maana tunajua tatizo ni pesa hivyo hatushughuliki na mapenz zaidi zaidi tunabaki bize kusaka hela.

Na hivyo ndivyo matajiri walivyo, katongoze mke wa tajiri uone, siku3 hutoboi, kama huyo mwanamke wake hayuko makini kwenye simu , utakamatika tu.

Yaanu nikununulie aifoni fotini na nisikuchunguze? Au kukagua simu?, nikununulie kibebi walker(ist) alafu nisikupangie pakwenda? We ulisikia wapi?

Tofautisheni wivu wa mapenzi na upumbavu wa kukosa hela,

Ule upuuzi wanaofanya wanaume.wakikosa pesa huwezi kuuita ni wivu bali upumbavu, kujistukia kila muda na kuona mwanamke wako anakudharau huo ni upumbavu, lkn kumuhisi vibaya mwanamke wako kuwa anachiti si vibaya kama kweli ana hizo chembechembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…