Kwa kiasi flani wanafanikiwa kung'oa wadada wa nguvu! Ila sasa taabu inaanza kama kwenye 6*6 wako poor! Ila kama na huko wako vizuri ndoa inatulia tu!
Haya we ulikolea na sauti tu!!!!
wala urefu.......its more than that
best hivi ulifanikiwaga kwenye ile ishu
Hebu fafanua vizuri. Wanataka weusi mpaka chini kama yule wa Miss Chagga, Evelyn Salt au?Wana jukwaa jumapili njema Swali langu kwa wadada na wataalam wengine wa mambo ya mahusiano,wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada tofauti na wanaume wengine? Nimepata kuwauliza wadada wengi,ambao nimekutana nao maeneo tofauti wangependa waolewe au wawe na mahusiano na wanaume wa aina gani,wengi na karibu sehem kubwa hujibu kua wanapenda wanaume warefu ,weusi. Mi naomba kujua wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada hadi wapendelewe hivyo? Karibuni sana.
Ha ha haaaaa mbona unaanza kubana sasa kwani kuna mtu kakosa seat???!!!!
hapo umesema awe na nyama kidogo za kushika ,....mmmmh so yummy
Kwa kiasi flani wanafanikiwa kung'oa wadada wa nguvu! Ila sasa taabu inaanza kama kwenye 6*6 wako poor! Ila kama na huko wako vizuri ndoa inatulia tu!
hao wadada wanaong'olewa kwa sababu ya urefu na rangi ya mwanaume hatuwezi kuwaita wadada wa nguvu bali ni wadada wepesi/laini.
luqmand .....akikuskia....Ntakumbuka care aisee ananijali kwa mambo mengi ila tunashindana wivu na ujuaji yan yeye uwa akosei lol kanichosha uwiii
It feels good kusoma comment kama hii.
thats my wii
my brother is lucky to have u
ye ndio alinibadilisha huu msimamo wangu ujue
hahahahaha!!!! mwenzio nilikuwa nachangamsha baraza bana. lol. siri yako eeeh.
mdada wa nguvu ndio anakuwaje huyo............
wao wanachukulia pesa kama silaha ya kulinda mahusiano,,,
[/B]
Na naamini hujajuta wii wa mimi.
Tusimsifu sana maana nimemuona mitaa hii,tembo asilitie maji bure!!
Heaven on Earth njoo umchagulie adhabuHaya we ulikolea na sauti tu!!!!
Wazuri wa sura na shape! Kama mwanaume hana silaha nyingine unadhani silaha gani wanatumia kulinda mahusiano? Ni fedha!
Chukulia Bwana Machache na wengine wa aina yake!
Hahahaaa hajui kwamba tunahesabiwa humu tunaopenda warefu! Mkuu idadi imevuka lengo dah!