Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Kwa kiasi flani wanafanikiwa kung'oa wadada wa nguvu! Ila sasa taabu inaanza kama kwenye 6*6 wako poor! Ila kama na huko wako vizuri ndoa inatulia tu!

hao wadada wanaong'olewa kwa sababu ya urefu na rangi ya mwanaume hatuwezi kuwaita wadada wa nguvu bali ni wadada wepesi/laini.
 
Wana jukwaa jumapili njema Swali langu kwa wadada na wataalam wengine wa mambo ya mahusiano,wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada tofauti na wanaume wengine? Nimepata kuwauliza wadada wengi,ambao nimekutana nao maeneo tofauti wangependa waolewe au wawe na mahusiano na wanaume wa aina gani,wengi na karibu sehem kubwa hujibu kua wanapenda wanaume warefu ,weusi. Mi naomba kujua wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada hadi wapendelewe hivyo? Karibuni sana.
Hebu fafanua vizuri. Wanataka weusi mpaka chini kama yule wa Miss Chagga, Evelyn Salt au?
 
Ha ha haaaaa mbona unaanza kubana sasa kwani kuna mtu kakosa seat???!!!!

Hahahaaa sasa itabidi tubanane kwa hao wachache! Hybrids wako wachache mno! Waache wengine wapende pesa, sijui dushe, nk!
 
Kwa kiasi flani wanafanikiwa kung'oa wadada wa nguvu! Ila sasa taabu inaanza kama kwenye 6*6 wako poor! Ila kama na huko wako vizuri ndoa inatulia tu!

mdada wa nguvu ndio anakuwaje huyo............

wao wanachukulia pesa kama silaha ya kulinda mahusiano,,,
 
mdada wa nguvu ndio anakuwaje huyo............

wao wanachukulia pesa kama silaha ya kulinda mahusiano,,,

Wazuri wa sura na shape! Kama mwanaume hana silaha nyingine unadhani silaha gani wanatumia kulinda mahusiano? Ni fedha!
Chukulia Bwana Machache na wengine wa aina yake!
 
[/B]
Na naamini hujajuta wii wa mimi.
Tusimsifu sana maana nimemuona mitaa hii,tembo asilitie maji bure!!

sijajuta wii
si unajua brother always wish the best for her lil sisy
huu mda mko hum ndoa mnaidumisha saa ngapi lol
 
Wazuri wa sura na shape! Kama mwanaume hana silaha nyingine unadhani silaha gani wanatumia kulinda mahusiano? Ni fedha!
Chukulia Bwana Machache na wengine wa aina yake!

yule mbebs wake anachapwa na njemba moja.........
mzee yuko busy kutwa akirudi kamoja analala yule bidada dam bado inamchemka
 
Back
Top Bottom