Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakusaidia nn?
wanamvuto sana hata mimi wanaume warefu penda sana wafupi maneno mengi na wanajifanya wanajua kila kitu.
Hahahahaahaa kwa kweli hiyo sio feature ya future husband nimtakayee, akiwa na career yake tu itakayofanya tukashare majukum nice kwangu ila asiwe short hahahaa kwasababu atakuwa stubborn
Hah hah hah carrier ni fundi mchundo, na ni mweusi kama kiwi pamoja na six parks will u marry me pls....!?
still looking?
Uwiiiii kama ulikuwepo wanaume wafupi wanamaneno mengi mpaka kero jamani I have my short boyfriend yan nipo mbioni kumpa kibuni ananiudhi na is too much muongeaji
Hahahahaahaa kwa kweli hiyo sio feature ya future husband nimtakayee, akiwa na career yake tu itakayofanya tukashare majukum nice kwangu ila asiwe short hahahaa kwasababu atakuwa stubborn
Na wivuu kupitiliza!
hahahahaahaaa kama kiwii uwiiiiii ngoja nitafakari
kati ya mfupi mwenye pesa na mrefu hana kitu utachagua yupi? je, uko tayari kuishi na mwanaume hata kama unamlisha mradi tu ni mrefu?
Here we go!!+ account inayoeleweka! Tunahitaji kuishi pazuri, kula vizuri, huduma bora za afya, nk.
Mrefu....what I need someone I can feel love for him... na mfupi nimpende tu kwa kuwa ana pesa, na jua kama ntakua nimefata pesa kwake not love siku akifirisika ntachapa rapa... I can't do that mkuu
jamani jamani wadada. wafupi hawakujiumba acheni hizo bana ndio mnasababisha wajione inferior
dada. ni kitu gani unakikosa ukiwa na mwanaume mfupi lakini unakipata ukiwa na mwanaume mrefu?
na kwanini hupendi wanaume waongeaji sana? wanakuboa au nini sababu