Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Fala sana ww
Ungana na huyo mzabazab wako kuendelea kutukana wanawake kisa umri.
Ndo sifa mojawapo ya immaturity.mkikua mtaacha
Nyie mkiwa around early 20s mnajionaga dunia yote yenu, ila jua likianza kuzama, 30+ yaani full kung'ang'ania wanaume.

Na mkija, tunawakanga na kuwatupilia mbali kama toilet paper..
 
Aisee. Ninaomba unisamehe sana ndugu yangu. I'm sincerely sorry for calling you some silly names and making fun of you..
 
Wakwetu unauza siri ya kambi nasijui umezipata wapi?
 
Mkuu mimi sikukatishi tamaa ila tunajifunza, hizo hela zako kweli ni za Halali?

Maana Mwamke wa Sasa at her 31 yrs akipata Mwanaume mwenye pesa na nia ya kuoa. Aisee unang'oa siku hiyo hiyo

sasa wewe kuna balaa gani
 
Mambo ya kawaida tu mbona.sina shida nawe hakuna tatizo kabisa.
Si umeona hapo juu mwenzio alivonijibu🤣
Moja kati ya vitu ambavyo sipendi ni kutukana, kukejeli au kubeza changamoto za maumbile ya mtu kwa maana ninaamini hakuna mtu aliyejiumba na wala hakuna anayeomba kuumbwa na changamoto za kimaumbile.

Umenisamehe??..
 
Asipo elewa hapa bhas
 
Fanya na maombi.
 
Nice cars big houses all are to atract women nothing more.
Mzee tule mbususu hizi...ni zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…