Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Miguu.
Mkiwa mnajipanujasiri wote kutukana wanawake bila kujua yaliyoko nyuma ya keyboard mnaumiza nafsi za watu bila kujua.mpaka mwanamke awe hajaolewa katika umri mkubwa kunakuwa Kuna sababu.,sio wote walikua wanatumia na kuringa.

So ukikazana ooh mmetumika kaama toilet paper...mhh Kuna watu wako innocent huko nyuma ya keyboard

Imagine mtu una kifafa anytime asiyotarajia anaondoka,huyu atahitaji mwenza wa aina gnao kusimama nae Hadi afanikishe kuolewa,I mean vigingi vile sijui kutmabulishwa ukweni nk..
Huo ni mfano tu.
Ieleweni Dunia kwanza ilivo,I hope mtapunguza mihemko
Aisee. Ninaomba unisamehe sana ndugu yangu. I'm sincerely sorry for calling you some silly names and making fun of you..
 
capernaum ushauri mdogo ninaweza kukupa ni kuwa 'stop being a veeeeery good boy', wanawake wengi hawapendi 'simps', yaani usiwe na mwanamke ukamuonesha wewe ndiyo 'desperate' wa hayo mahusiano kumzidi hata yeye, utateswa mpaka uchanganyikiwe..!!

'show her that you do loves her yes, but still you can live your life fully without her in your life, be a man buddy', mwanamke ndiye awe mnyenyekevu kwako, siyo wewe uwe mnyenyekevu kwa mwanamke 'it doesn't work that way', umewahi jiuliza kwanini 'bad boys' ndiyo wanatesa wadada..??

Sababu WANAJIAMINI, na wanajua wao ni 'WANAUME'..!!
Wakwetu unauza siri ya kambi nasijui umezipata wapi?
 
Mkuu mimi sikukatishi tamaa ila tunajifunza, hizo hela zako kweli ni za Halali?

Maana Mwamke wa Sasa at her 31 yrs akipata Mwanaume mwenye pesa na nia ya kuoa. Aisee unang'oa siku hiyo hiyo

sasa wewe kuna balaa gani
Hii ni case moja tu kati ya nyingi ambazo nimeshakumbana nazo. Katika miaka 10 iliyopita nishakua kwenye mahusiano mengi sana na yamekwama kwa sababu tofauti tofauti, ingawa hii ya juzi iliniuma maana nilijitahidi kufanya kila kitu inavyotakiwa na mhusika mwenyewe pia nilijua anajitambua maana at 31 ni mtu mzima sio mtoto mdogo ni mwanamke aliepitia mengi. Mwaka umeanza nimekata tamaa kama naweza kweli na mimi siku moja kupata mke,
 
Mambo ya kawaida tu mbona.sina shida nawe hakuna tatizo kabisa.
Si umeona hapo juu mwenzio alivonijibu🤣
Moja kati ya vitu ambavyo sipendi ni kutukana, kukejeli au kubeza changamoto za maumbile ya mtu kwa maana ninaamini hakuna mtu aliyejiumba na wala hakuna anayeomba kuumbwa na changamoto za kimaumbile.

Umenisamehe??..
 
capernaum ushauri mdogo ninaweza kukupa ni kuwa 'stop being a veeeeery good boy', wanawake wengi hawapendi 'simps', yaani usiwe na mwanamke ukamuonesha wewe ndiyo 'desperate' wa hayo mahusiano kumzidi hata yeye, utateswa mpaka uchanganyikiwe..!!

'show her that you do loves her yes, but still you can live your life fully without her in your life, be a man buddy', mwanamke ndiye awe mnyenyekevu kwako, siyo wewe uwe mnyenyekevu kwa mwanamke 'it doesn't work that way', umewahi jiuliza kwanini 'bad boys' ndiyo wanatesa wadada..??

Sababu WANAJIAMINI, na wanajua wao ni 'WANAUME'..!!
Asipo elewa hapa bhas
 
Hbr wana JF,

Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu ya awali, nikasema huyu nifanye tofauti sasa na mimi niwe na familia. Mwanzo mapenzi yalikua motomoto, tukaanza kupanga mipango ya ndoa kabisa huu mwaka tuwe mume na mke.

Baada ya miezi kadhaa, akaanza kubadilika. Nakumbuka alianza kununa tukiwa vacation Zanzibar. Akawa kama ana moods hivi, ukimuuliza kuna changamoto gani hasemi. Nikaona mambo ya kike labda nitulie. Basi kuanzia hapo akawa kama anani dharau na hanijali tena kama mwanzo. Nilikua naumia ila nikawa navumilia. Lakini kwa tabia zile alizoanzisha ikanilazimisha baadhi ya mambo tulipanga kufanya - kama kwenda kujitambulisha kwao tusitishe kwanza maana sikua namuelewa, anasahau mpaka tarehe muhimu kwenye mahusiano yetu kitu ambacho sio cha kawaida. Baada ya muda nikaenda nje ya nchi kikazi, katika nchi ambayo tulikua tunapishana masaa na hapo ndio mapicha picha yakazidi akawa hapokei simu kabisa akidai yuko busy etc. Kwa muda wote niliokua nje ya nchi kama miezi miwili hatukuwahi kuongea kwenye simu, kila nikijaribu kumtafuta anasema yuko busy atanicheki lakini hafanyi hivyo. Basi nikaanza kufanya maamuzi magumu, nikaacha kumpa monthly allowance na kumnunulia zawadi kama nilivyokua nafanya mwanzo. Nilivyorudi nchini, bado nikamtafuta kujua tatizo ni nini na nakumbuka pamoja na tofauti tulizokua nazo bado nilitoka ulaya na zawadi kadhaa nimemchukulia nikampa. Kikao hakikuenda sawa, binti akaniambia hana feelings na mimi na nikitaka kuwasiliana nae lazima nifanye appointment au nitafute mwanamke mwingine wa kua nae. Aisee, kikao kiliishia hapo. To cut the story short, mahusiano yaliisha pia.

Hii ni case moja tu kati ya nyingi ambazo nimeshakumbana nazo. Katika miaka 10 iliyopita nishakua kwenye mahusiano mengi sana na yamekwama kwa sababu tofauti tofauti, ingawa hii ya juzi iliniuma maana nilijitahidi kufanya kila kitu inavyotakiwa na mhusika mwenyewe pia nilijua anajitambua maana at 31 ni mtu mzima sio mtoto mdogo ni mwanamke aliepitia mengi. Mwaka umeanza nimekata tamaa kama naweza kweli na mimi siku moja kupata mke, nikaanzisha familia na kua na watoto. Kila kitu ninacho - kazi nzuri, kipato kizuri yani ni mke tu ndio imekua changamoto. Kuna wakati najilaumu labda ningekua nakunywa pombe & mtu wa starehe huenda ingekua rahisi kwangu maana haya maisha ya kua busy na kazi muda wote nayo ni changamoto sikutani na watu ila ndio nafanyaje sasa na pesa naitaka pia.

Naomba ushauri wadau, nifanyeje?!


NB:
Niliwahi kuandika uzi humu wa kutafuta : A wife is needed
Fanya na maombi.
 
Have a very nice car like a Range Rover Autobiography, have a very nice house better than the Mangwea ghetto, and be with a very beautiful woman who will bring you happiness all the time. Be together with her and help the community around you, and this is the work of money.
Nice cars big houses all are to atract women nothing more.
Mzee tule mbususu hizi...ni zetu
 
Back
Top Bottom