Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
Ah kubabake amlalie nan? Atakula ngeta bila kujua
Acha kiherehere ht ndani ya ndege anaweza kukulalia, we unasafiri na nini, watu wengine bwanaa,Duuh sijawahi safiri kwa bus, na kikawaida ni ngumu ikitokea unamwambia oyaah Babu vipi !!!
Kweli mkuu na wewe ikitokea umemwegamia mwanaume mwenzako mfano umemuigamia bichwaDuuh sijawahi safiri kwa bus, na kikawaida ni ngumu ikitokea unamwambia oyaah Babu vipi !!!
Sina ulalaji wa hivyoKweli mkuu na wewe ikitokea umemwegamia mwanaume mwenzako mfano umemuigamia bichwa
Kunikalia kivip sasa?? Tena kwenye ndege,Acha kiherehere ht ndani ya ndege anaweza kukulalia, we unasafiri na nini, watu wengine bwanaa,
Mmmmh mwongo wwSina ulalaji wa hivyo
OkMmmmh mwongo ww
Kipepsi kinamhusuNajua wanaume wengi hutulia hata kufurahia wakiegemewa na mwanamke kwenye usafiri wa umma, ila je ikiwa ni mwanaume mwenzio, utamuacha?
View attachment 3445516
Umekasirika
GoodUmekasirika
UmenimaimdiGood