Swali kwa wanaume: mwanaume mwenzio akipitiwa na usingizi kwenye usafiri akakuegemea begani, utamuacha?

Ataambulia kipeps amabcho kitapoteza usingizi wote...
 
Me siwezi kuzaliwa na dume ntamfokea hajarudia
 
Huyu mwana Mada zake ni kipengere sana 😢 sijui ndo anapenda wanaume au ni vipi yaan.
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya hivyo. Ila gay kwa kuwa wana nati ya kukaza hufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…