Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

Mimi huwa nawapenda (siyo kimapenzi), wanaume weupe ama maji ya kunde, wembamba, na wenye urefu wa wastani, wengi huwa ni wazuri
 
Umemaliza vzr sna bwam alibino
 
Hili swali kila siku jamani?

Mweusi, mwembamba, mrefu kiasi sio ngongoti na akiwa na akili nyingi ni added advantage.
Ndio kaka mzuri huyo mwenyewe, ah mi niuliwe tu!
Sisi wanene na wafupi wang'avu vipi?
 
Mimi huwa nawapenda (siyo kimapenzi), wanaume weupe ama maji ya kunde, wembamba, na wenye urefu wa wastani, wengi huwa ni wazuri
Unasema kweli? Najiona mwenye bahati Jadda[emoji16]
 
Imeisha hiyoo[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Katika mahusiano kila mtu huwa anahisia zake huyu anapenda hivi huyu anapenda vile sindiyo.

sasa hebu funguka hapa, wadada hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi


#nyumayapazia
Hii vita ya warefu na wafupi siion ikiisha hiv karibun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…