Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza vzr sna bwam alibinoUbaguzi unaanzaga hivi. Coz hata nikiwa vijiweni na washikaji hawaishi kuniponda, mara we jamaa mweupe sana. Watu weusi wana wana shida. Kwa nini?
Nimegundua
1. Watu weusi wakiona watu weupe wanawaponda sana. Watu weupe they don't care about black people
2. Watu wafupi wakiona watu warefu wanawaponda sana, too bad tall people don't care
3. Watu wembamba wakiona watu wakened utasikia unakula sana. Watu wanene hawajali kuhusu watu wembamba
Nifupishe: ukiwa mweupe, mnene, mrefu basi kwa kuwa wa tofauti katika society nyingi za kiafrila jua lazima utaandamwa kwa namna moja au nyingine. Mtazamo wangu
Back to the topic
Week iliuopita nilikuwa natuma mzigo posta. Demu mmoja akawa anazungumza kuwa " wanawake tunapenda wanaume weusi warefu"
Baadae katika mazumgumzo akaropoka " napenda kuwa na watoto weupe"
Ilibidi nibaki njia panda, anapenda wanaume weusi warefu cha ajabu anataka watoto weupe.
Wanawake hawajui wanachokotaka.
Sisi wanene na wafupi wang'avu vipi?Hili swali kila siku jamani?
Mweusi, mwembamba, mrefu kiasi sio ngongoti na akiwa na akili nyingi ni added advantage.
Ndio kaka mzuri huyo mwenyewe, ah mi niuliwe tu!
Unasema kweli? Najiona mwenye bahati Jadda[emoji16]Mimi huwa nawapenda (siyo kimapenzi), wanaume weupe ama maji ya kunde, wembamba, na wenye urefu wa wastani, wengi huwa ni wazuri
🤣Weupe ila wawe waarab ndio fresh
Kumbe tupo wengi 🙌🙌mweusi bhana
Kama sio ww vileeeYeyote yule tu mwenye heshima,upendo na kujali
Kaka mweusi km mc gara b🙌😅Huu ufupi na weusi..shida tupu
Unatoa backdoor? 🙈Weupe ila wawe waarab ndio fresh
Hii vita ya warefu na wafupi siion ikiisha hiv karibunKatika mahusiano kila mtu huwa anahisia zake huyu anapenda hivi huyu anapenda vile sindiyo.
sasa hebu funguka hapa, wadada hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi
#nyumayapazia
Hahahaha,mfupi na mweusi ..Kaka mweusi km mc gara b🙌😅
Weupe no,labda awe mzungu nijue moja
🤣WafupiHahahaha,mfupi na mweusi ..
Hahahaha hapo ktk inategemea ndio kipengele🤣Wafupi
Inategemea
SistaYeyote yule tu mwenye heshima,upendo na kujali
yaaniKumbe tupo wengi 🙌🙌
Una rinda lakini au umeisha barikiwa?
Fala aliekuzaaNjoo nikuonyoshe namna wanavyobarikiwa fala ww