Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?


Nakuunga mkono Mkuu...ila uhandsome siyo lazima uwe mweupe..!
 
Ufupi ni ufupi , sie wengine ni wafupi tu
Unajua Kwa mfano
Mwanaume naweza kuwa nae sawa ,sio issue

Lkn Kwa mwingine akaonekana mrefu,kw amrefu sms akaonekana mfupi.

Basi tafuta demu mnae endana au mfupi
 
Watu tuliangalia colour mixing..wtt watoke wakyutiiii...sasa jilazimishe black wakati ww mkaa mtoe chungu....
 
Hili swali kila siku jamani?

Mweusi, mwembamba, mrefu kiasi sio ngongoti na akiwa na akili nyingi ni added advantage.
Ndio kaka mzuri huyo mwenyewe, ah mi niuliwe tu!
Au sio
 
Nilipo kuwa na date msabato mmoja hivi hakuwahi kumpost status mtu wake before mana alikuwa mweusi (nilikuj jua badae huko)
Nkaja mimi mana nili mtongoza ki matani matani akakubali mana alikuwa ananiita majina ya mahaba kimatani sana.( Tulikuwa marafiki wa kawaida tu)

Hakuna picha isiyo acha postiwa kwa status ilikuwa n vurugu sana mastatus yamejaa sura yangu.

Note: Hakuwa mweupe yeye.
 
Itakuja kufika wakati mdada Yale machaguo yako yote sijui mweupe au mweusi hutayapata bali utajibananisha kwa yeyote ilimradj anapumua ili tu msogeze siku...Huwa nawaelewa sana wale wanaosema bora mwanaume awe na akili timamu zinazoonyesha kujitambua tu basi inatosha hii naona au nadhani inaonesha maturity kwa mwanamke Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya hii chagua chagua ya mweupe au mweusi au mrefu nk ni Kwa wale wanawake wanaojitafuta kimahusiano yaani labda Bado hajapata mwenza wa kudumu yaani ndoa au mahusiano yake pasua kichwa, maybe alishaumizwa sana au ndio anaanza mahusiano kwahiyo Kuna imagination nyingi ambapo kimsingi kwenye field mambo ni tofauti hayo mawazo baadae yatapotea, by the way Mimi ni nani Hadi niwachagulie wanawake cha kusema, it's just my view.
 
Watu hupenda watoto weupe.. wanawake wengi hupenda watoto weupe...

Mimi pia ni bonge la handsome mweupe..ngozi yenye mvuto sura ya mama mwili na urefu wa baba...

Baba mkwe wangu alimwambiaga wife kua mlinde mmeo ni mzuri utaibiwa....

NB:

Ikiitajika kuthibitishwa itathibitishwa

πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ŠπŸ˜Šβ˜ΊοΈβ˜ΊοΈπŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Mwanangu umekisa Dr lini? Haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…