Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kimapenzi unawapenda wapi?Mimi huwa nawapenda (siyo kimapenzi), wanaume weupe ama maji ya kunde, wembamba, na wenye urefu wa wastani, wengi huwa ni wazuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimapenzi unawapenda wapi?Mimi huwa nawapenda (siyo kimapenzi), wanaume weupe ama maji ya kunde, wembamba, na wenye urefu wa wastani, wengi huwa ni wazuri
Sio tu kuambulia patupu, hutakiwi hata kuni-imagine[emoji23]
Kikubwa uwe mstaarabu kimo chako si hoja Mkuu.Jikubali
Kiuhalisia ni nadra sana mwanamke kumpenda mwanaume mweupe.
Yaani unakuta mwanaume ana rangi ya mtume inawakawaka kuliko mwanamke, hawezi akampenda ataonyesha kumchukia kwa sababu anaona mwanaume kabarikiwa vitu ambavyo yeye mwanamke ndo anatamani angekuwa navyo hapo lazima aonyeshe chuki inayochangiwa na wivu.
We jiulize kwa nini wanapishana kwenye maduka ya vipodozi wanatumia gharama kuutafuta muonekana ambao mwanaume mweupe anao bure, lazima kuwe na bifu hapo, wataishia oooh nataka mwanaume mweusi mreu, ila wanapenda watoto wawe weupe, mwanamke akiwa na mtoto mweusi huwezi ukaona anapiga nae picha nakuuza sura mtandaoni.
Demu anakutana na mwanaume mweupe handsome ana nuru ya sura yaani kiufupi mwanaume mzuri kuliko demu afu unategemea demu ampende, mademu wenyewe wao kwa wao huwa wanaoneana wivu akikutana na wanawake wenye mvuto zaidi yake ndo maana utawaona wanapotembea huwa ni kimagrupu, grupu hili sura za wajomba, hawa sura za baba, hawa wenye unafuu, na pisi kali nao huwa wanajitenga wenye mvuto unaofanana kuepusha jealous na bifu kwa wale mvutoless.
Kwa experience yangu wanawake wenye pigo za napenda mwanaume mweusi mrefu, wengi wao huwa hawana mvuto afu wana trauma ya kutotongozwa, ama kusimamishwa njiani kuombwa namba na mahandsome enzi za usichana wao, hivyo wanapsychological effect inayopelekea chuki kwa mahandsome mawaiti wanawaita mabishoo si unajua mabishoo wanapendaga pisi za kwenda afu huwa hazipingi.
YeaHahahaha hapo ktk inategemea ndio kipengele
HakunaKimapenzi unawapenda wapi?
Makini mkuuHakuna
Ufupi ni ufupi , sie wengine ni wafupi tuYea
Sbb ufupi nao uko tofauti tofauti!
DahUfupi ni udumavu wa lishe, case of Njombe, Iringa, wote vijeba.
Mbona hela haujawekaYeyote yule tu mwenye heshima,upendo na kujali
Unajua Kwa mfanoUfupi ni ufupi , sie wengine ni wafupi tu
Ameuliza weusi na weupeMbona hela haujaweka
Au sioHili swali kila siku jamani?
Mweusi, mwembamba, mrefu kiasi sio ngongoti na akiwa na akili nyingi ni added advantage.
Ndio kaka mzuri huyo mwenyewe, ah mi niuliwe tu!
Watu hupenda watoto weupe.. wanawake wengi hupenda watoto weupe...Ubaguzi unaanzaga hivi. Coz hata nikiwa vijiweni na washikaji hawaishi kuniponda, mara we jamaa mweupe sana. Watu weusi wana wana shida. Kwa nini?
Nimegundua
1. Watu weusi wakiona watu weupe wanawaponda sana. Watu weupe they don't care about black people
2. Watu wafupi wakiona watu warefu wanawaponda sana, too bad tall people don't care
3. Watu wembamba wakiona watu wakened utasikia unakula sana. Watu wanene hawajali kuhusu watu wembamba
Nifupishe: ukiwa mweupe, mnene, mrefu basi kwa kuwa wa tofauti katika society nyingi za kiafrila jua lazima utaandamwa kwa namna moja au nyingine. Mtazamo wangu
Back to the topic
Week iliuopita nilikuwa natuma mzigo posta. Demu mmoja akawa anazungumza kuwa " wanawake tunapenda wanaume weusi warefu"
Baadae katika mazumgumzo akaropoka " napenda kuwa na watoto weupe"
Ilibidi nibaki njia panda, anapenda wanaume weusi warefu cha ajabu anataka watoto weupe.
Wanawake hawajui wanachokotaka.
Mwanangu umekisa Dr lini? HahaWatu hupenda watoto weupe.. wanawake wengi hupenda watoto weupe...
Mimi pia ni bonge la handsome mweupe..ngozi yenye mvuto sura ya mama mwili na urefu wa baba...
Baba mkwe wangu alimwambiaga wife kua mlinde mmeo ni mzuri utaibiwa....
NB:
Ikiitajika kuthibitishwa itathibitishwa
😔😔😅😅😅😁😁😄😄😊😊☺️☺️🤓🤓🤓
Mshamba ,Massawe mbona povu tena?
Mkeo si anakupenda?
Haya ni mambo 'superficial' hakuna tafiti zozote nyuma yake.
Mvuto ni suala mtambuka sana.