Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

Hili swali kila siku jamani?

Mweusi, mwembamba, mrefu kiasi sio ngongoti na akiwa na akili nyingi ni added advantage.
Ndio kaka mzuri huyo mwenyewe, ah mi niuliwe tu!
Kwahiyo mamii ukimpata mwanaume tofauti na hizo sifa unazohitaji ina maana utakuwa haujampenda
 
Kuna wanawake hawataki weusi ili wasizae watoto weusi. Yaani ni hapana kabisaaa..

Huwa wananishangaza naonaga kama labda wapo weusi ndio wangekuwa wao wa furaha milele..

Nimesema tu hayanihusu...
 
Back
Top Bottom