Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Kuna jamaa mmoja ni mfupi tunaishi nae jirani siku moja mtoto akawa analia ilibidi niende kumuamsha yule jamaa mfupi ili acheze naeHahahaha,dah hizi dharau mkuu , kwa sie wafupi ujue ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa mmoja ni mfupi tunaishi nae jirani siku moja mtoto akawa analia ilibidi niende kumuamsha yule jamaa mfupi ili acheze naeHahahaha,dah hizi dharau mkuu , kwa sie wafupi ujue ...
Hahahaha, dah , haya bhanaKuna jamaa mmoja ni mfupi tunaishi nae jirani siku moja mtoto akawa analia ilibidi niende kumuamsha yule jamaa mfupi ili acheze nae
Hizo sifa zote sina sijui nitakuwa mgeni wa nani mieMwenye akili na upendo anatosha.
😄😄Eee bn Hela ndo iwe kigezo, sema anko hlo lako la ufupi ni kipengele nyie inabidi mpeleke muswaada wa kuheshimika bungeniWalau kigezo cha hela ..kina solvika..hata wafupi tunakua nazo ila vigezo vingine hivyo dah..ni uonevu
Ukidhamiria na ukiwa serious huwezi ukamkosa,, ukimpata Sasa ndo inabidi umuonyeshe maufundi hawezi kuchomoka☺️😌Hahahahaha, katika hizo sifa mlizotaja hilo halipo ujue ..hapa ni muonekano wa nje mnao upenda..hilo lingine si mpk ubahatike kukubaliwa ?
Nipige busuCha muhimu mfukon awe njema na kichwan tu.Hizo rangi na kimo having hata umuhim kwangu.
Kwamba sijiamini au?Black men look more masculine but weupe mbona hamna shida hataa. Jiamini
Muone 😃😂😂waaaaaooooo fantastik
Na ufupi huu atakua na muda hata wa kunisikilza ? Unaenda seriously mwenyewe..unapewa jibu ..eeh hebu niondolee balaa lako hapa ..😅😅😅Ukidhamiria na ukiwa serious huwezi ukamkosa,, ukimpata Sasa ndo inabidi umuonyeshe maufundi hawezi kuchomoka☺️😌
Mod mshamba_hachekwi unazingua.Massawe mbona povu tena?
Mkeo si anakupenda?
Haya ni mambo 'superficial' hakuna tafiti zozote nyuma yake.
Mvuto ni suala mtambuka sana.
Usinirushe roho basi[emoji24][emoji24][emoji24]Mweusi mwenye akili, na sio nataka… ninaye tayari.
Ufupi kipengele kweli mkuu , hutambi popote😄😄Eee bn Hela ndo iwe kigezo, sema anko hlo lako la ufupi ni kipengele nyie inabidi mpeleke muswaada wa kuheshimika bungeni
Shobo ipi ewe mkosa rinda??Punguza shobo namm
Tatizo lenu ndo Hilo, inferiority complex.. Au unataka nikuelekeze Hadi jinsi ya kuwafata😃😃Na ufupi huu atakua na muda hata wa kunisikilza ? Unaenda seriously mwenyewe..unapewa jibu ..eeh hebu niondolee balaa lako hapa ..😅😅😅
Ananirusha roho hana huruma huyuHahahaha
😁😁😁Huu ufupi na weusi..shida tupu
😂😂😂😂Sema unajikubali kibingwa tu! Ukikutana na mtoto mzur Kwa mara ya kwanza usishuke kwenye gari... inatakiwa aone kimo chako siku anaenda kutumikiaUfupi kipengele kweli mkuu , hutambi popote
Hahahaha, hapana nimeomba niletewe toka kijijini kwetu .sasa akija mjini akawaona warefu imekula kwanguTatizo lenu ndo Hilo, inferiority complex.. Au unataka nikuelekeze Hadi jinsi ya kuwafata😃😃
Inabidi uhakikishe anakaa ndani tu geti Kali, hakuna kutokaHahahaha, hapana nimeomba niletewe toka kijijini kwetu .sasa akija mjini akawaona warefu imekula kwangu
Hahahaha, sasa uwe na gari , ila walivyo na mbinu atakushusha ili rafiki watoe points, hapo ndio unapopata zeroo😂😂😂😂Sema unajikubali kibingwa tu! Ukikutana na mtoto mzur Kwa mara ya kwanza usishuke kwenye gari... inatakiwa aone kimo chako siku anaenda kutumikia