Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

Nakuunga mkono Mkuu...ila uhandsome siyo lazima uwe mweupe..!
ni kweli ndugu yangu
hata hao mahandsome weusi mara nyingi utaona wanapingwa na mademu wagaigai, kiufupi na uhalisia demu hampendi mwanamme aliyemzidi uzuri labda awe kesha mkamata, nje na hapo ni anamtamani kindanindani afu nje anaonyesha kumchukia, im telling from experience.
 
JamiiForums is an open forums,ukisha weka jambo hapa basi linakua sio lako tena na kila mtu anakua huru kuchangia,

Haya jibu swali langu sasa,Waarabu walikupakua? naona umewasifia hapa.
Oya hivi umeelewa lakini nlvokuambia sitaki shobo zako. Mbona unajileta leta sana? Mi mwanaume ujue, na bahati mbaya siijui hiyo michezo unayotaka nikufanyie, kaa mbali namimi
 
Oya hivi umeelewa lakini nlvokuambia sitaki shobo zako. Mbona unajileta leta sana? Mi mwanaume ujue, na bahati mbaya siijui hiyo michezo unayotaka nikufanyie, kaa mbali namimi
Jibu swali wewe acha kuuma kucha za vidole,au ulitoa siri yako bila kujijua?
 
" Black/Dark color is Satanic "....Jaan Topic et Al.
 
Back
Top Bottom