Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

Katika mahusiano kila mtu huwa anahisia zake huyu anapenda hivi huyu anapenda vile sindiyo.

sasa hebu funguka hapa, wadada hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi

#nyumayapazia
Mwenye masculine energy ya kutosha[emoji3059]...yaani yule ambaye atanituliza nyumbani anitoe kwenye stress za kushindana na wanaume kazini na kwenye biashara...aniweke ndani nimtunzie nyumba yake nimzalie vitoto vyake nimpikie chakula kizuri asubuhi mchana na jioni kila siku nimpokee akitoka kazini nimfulie nguo zake na kumnyooshea...aninunulie magauni anizuie kuvaa suruali...nimuombe kabisa asifanye kazi yoyote ya nyumbani...nimtunzie akiba ya pesa zake nzuri na nimtii siku zote na nihakikishe anakuwa mwepesi evereday huyu atakayeniruhusu kuwa hivi ndo ananivutia
Kuhusu rangi atajuana na DNA ya kwao huko!!...[emoji1696]
 
Noma sana,

#nyumayapazia
 
Back
Top Bottom