Na kutumika na heshima zenu kupotea ndiyo zinazidi mno. Wanwake wa leo wamekuwa wajinga kuliko ujinga wenyewe, mmekuwa kama puto, mkijazwa mnajaa.Kazi lazima tufanye
Noti lazima tusake
No way!
Njaa inataka akili na kuangalia maslahi na ufisadi.Njaa haiangalii jinsia
Siyo kweli, wapo miongoni mwenu wanamiliki kwa kurithishwa, wanamiliki mali kwa kuletewa na waume zao na mfano wa njia hizo.Ndio, ama ziko sexually transmitted?.
Nikipiga simu leo katika mtandao fulani ikiwa haipatikani au mfano wake, huwa unasikia sauti ya nani ? Jinsia ya kike au ya kiume. ? Ulishawahi kujiuliza kwanini hili limekuwa sana ? Au walio fanya hivyi wajinga hawana akili ?
Sehemu nyingi za starehe, kuna yale mambo yenu ya ofa kwa wanawake, huwa wanaita "Ladies Free" ?
Mnatumika kwenye matangazo ya biashara. Suala la ulimbwende (Umiss) kuna tija gani zaidi ya kudhalilishwa na hampigi kelele, sasa mbona mnajitia upofu hali mmepwa macho ? Mwalimu wenu aliwaona nyinyi wajinga tangu siku ya kwanza, ndiyo maana anawafanya mnavyotaka na mnaona sawa, ila tukiwaambia mrudi kwenye asili mna rauka rauka.
Nani miongoni mwa wakubwa wenu aliwahi kutoka kifua mbele na kukemea mwanamke kujiuza kama bidhai, zaidi ya watu wa Dini ?
Mwanamke hakuwahi kuwa dhalili kama kipindi hiki, mwenye akili anaona na anazingatia.
Mwanamke mtu bora sana kiasili na nafasi yake ni kubwa mno, ila siyo wanawake nyinyi ambao hamjui kipi kina wadhuru na kipi kinawanufaisha.
Ahsante.
Bibie tofauti yangu mimi na wewe, ni kuwa mimi naandika Elimu na uhalisia ila wewe unaawasilisha hisia zako.Niliposoma kichwa cha habari tu nikajisemea huyu Nyauba ana mawazo mgando
Ni udhalilishaji tena wa wazi, kwanini utu wa mwanamke uwe kivutio cha watu kupata wateha ?Kwahiyo ile sauti inayojibu namba ya mteja unayopiga haipatikani ni udhalilishaji🙄
Vipi kuhusu mashoga wanaojiuza wao hawajidhalilishi?
Na kutumika na heshima zenu kupotea ndiyo zinazidi mno. Wanwake wa leo wamekuwa wajinga kuliko ujinga wenyewe, mmekuwa kama puto, mkijazwa mnajaa.
Mwalimu wenu aliwanyima kitu kikubwa sana "Elimu" ya kujitambua na nina uhakika hata yeye hajitambui. Elimu ni jambo adhim hata mjinga mwenyewe hupenda kuambiwa ana Elimu, ila siyo hii Elimu ya kukaririshwa bali ile Elimu ya kujitambua na kufanya mambo kwa vipimo.
Ahsante.
Ni udhalilishaji tena wa wazi, kwanini utu wa mwanamke uwe kivutio cha watu kupata wateha ?
Suala la mashoga huu ni uasi na ni madhambi makubwa na huku kwetu hukumu ya Shoga ya kifo tu, na ukisoma historia ya Sodoma na Gomora na ukazingatia, hakuna watu walio pewa adhabu kali na ya kuumiza na kutisha kama watu wale, waliadhibiwa kwa mvua, wakaadhibiwa kwa mawe na mfano wa hayo.
Bibie nilikwambia hivi kulea watoto siyo kazi ya kuongoza magari au ufundi bomba bibie.Ss mtoto akiwa shule nyumbani unakaa nyumbani unalea nini?
Kuna shida kwani
mifano ni ipo wazi katafute gugol.comuMfano?
Bibie huu uzi unataka hoja siyo kulalama, maana hapa tu umeshaonyesha ya kuwa jambo limekushinda.Wewe una itikadi za waislamu siasa kali. No offence to muslims I'm a muslim too. Haya mawazo ni ya waislamu wale suruali fupi wanajiita salaf (wanawake wao bila jilbabu na niqab hawatoki nje )wanaona mwanamke kutoka nje ya nyumba yake ni kujidhalilisha. Kwa kua mawazo yako yapo deep rooted in faith basi kujaribu kubadilisha mtazamo wako ni kupoteza muda.
Je wanaume wanaotengeneza matangazo ya kibiashara wao hawajidhalilishi?
Bibie huu uzi unataka hoja siyo kulalama, maana hapa tu umeshaonyesha ya kuwa jambo limekushinda.
Ukiwa na hoja nistue.
wanawake ni wengi sana wanaotembezwa uchi,kuliko hao ma aunt.....ukiona baya unatakiwa kulisemea sio kutetea maovu wewe...hata kama sio jinsia yako.
kwa hiyo unaendelea kutembeza?Bora mwanamke kutembeza uchi kuliko mwanaume kutembeza marinda. Enzi wanawake wanakalishwa majumbani walikua wanatembeza bure saiv mnalipishwa hela mnaona mnaonewa na kuja na kila style ya kulalamika
Ma aunt wamekua wengi kuliko wanawake wanaokitembeza hapo bado kuna mario wanaosubiria kulelewa na wanawake wenye pesa zao
Bibie tofauti yangu mimi na wewe, ni kuwa mimi naandika Elimu na uhalisia ila wewe unaawasilisha hisia zako.
Wewe mpaka unakufa huwezi kuthibitisha umgando wa haya mawazo niliyo yaandika hapa, tena hata mkusanyike makumi kwa mia. Sababu tunawajua vyema.
Usilo lijua bibie ni kuwa wino umeshakauka na kalamu zimeshanyuliwa.
kwa hiyo unaendelea kutembeza?
kazi njema boss lady.😮😮