GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,541
- 6,020
wanawake ni wengi sana wanaotembezwa uchi,kuliko hao ma aunt.....ukiona baya unatakiwa kulisemea sio kutetea maovu wewe...hata kama sio jinsia yako.Hapa ndipo nawashangaa ina maana wanaume hamuoni siku hizi mnakimbilia kwa wingi kuitwa ma aunt. Ama kweli kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Hawa mashoga waliojaa mijini ni vyombo vya starehe pia na vivutio.
Kila jinsia ipambane na hali yake