Bibie nilikwambia hivi kulea watoto siyo kazi ya kuongoza magari au ufundi bomba bibie.
Malezi huanzia wakati wote, wewe mama unatakiwa mtoto anapokuwa shule, upo nyumbani kwa ajili ya kumuandalia mazingira bora pindi akiha akute hali shwari na apokelewa kwa bashasha, na kupata upendo wa mama. Hakuna furaha aipatayo mtoto pindi anapo rudi toka shuleni anapokelewa na mama, mama ambaye anajua uchungu wake na adha alizo pitia akiwa tumboni, mama ambaye ana jali. Hii inamjengea upendo na kuimarisha afya ya akili yake.
Malezi siyo kumpikia mtoto peke yake ba kukuta chakula kwenye vyombo vya vyakula.
Bibie wewe tafuta hela na jichanganye tu, ila huko mbeleni lazima mje kufanya kazi mara mbili. Kadhalika inabidi muwe wa kweli tu, shuruba mnazo zipata kitaa ni balaa.
Nipo ....