- Thread starter
- #701
Sahihi kabisa unajifaragua, na ukajenga kwayo kwa uchachefu wako wa maarifa.Kusema nimesoma secular tena waona najifaragua mkuu?
Hakuna aliyesema kusoma secular ni haramu, bali wanazuoni wetu wamefika mbali wakasema kama kuna sehemu kuna haja ya mtu kuwa na taaluma ya utabibu au uhandisi au mfano wake katika elimu za mazingira, na watu wa eneo wasisome elimu hiyo, watu hao hupata madhambi.Sasa kama kusoma secular sio haramu basi jua pia na huo udaktari sio haramu ati kwa sababu kuna baadhi ya mambo yanapingana na itikadi ya uislamu.
Gogoro linakuja katika mazingira ya upatikanaji wa hizo elimu na mfumo wake, sababu katika viwili hivyo kuna mafsada makubwa kuliko manufaa. Sasa elewa maneno ili usiwe unarudia kuandika vitu ambavyo havina msingi.