Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Kwenda makazini ndio kumesababisha mmomonyoko wa maadili?Sasa ulitakiwa ujue haya yametokea wapi ?
Basi soma historia na uwaulize wakubwa katika wale unao waamini je ni ipi tofauti kati ya miaka hii na miaka iliyopita ? Kama zama hizi tunasema ndiyo zimestaaribika iweje mmomonyoko wa maadili umekuwa mkubwa sana ?
Hivi nawe umesoma nilichokujibu?Huja soma nilichokiandika mzee, ungesoma nilichokiandika na kuelewa uzuri, usingeuliza hilo swali.
ππππ€£π€£Kwenda makazini ndio kumesababisha mmomonyoko wa maadili?
Kasome hicho kitabu kisha uje kuuliza hayo maswali.Sawa,ninaomba hints Tafadhali..Author wake!
Kwa hiyo mtoto wa kike,na young woman Kama huyu wife wangu ili aijue hedhi yake Ni lazima akisome hicho?!!
Ni miongoni mwa sababu hizo.Kwenda makazini ndio kumesababisha mmomonyoko wa maadili?
Let me laugh....Kasome hicho kitabu kisha uje kuuliza hayo maswali.
Muandishi Uthaymeen.
Ndiyo maana nashangaa.Hivi nawe umesoma nilichokujibu?
[emoji23][emoji23][emoji23]watu wanaopenda kulaumu wengine ni shidaKwenda makazini ndio kumesababisha mmomonyoko wa maadili?
Umeelewaje?Ndiyo maana nashangaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Let me laugh....
So Uthaymeen Ndiye ajuaye HEDHI za kinamama kwa ubora zaidi Yao?!!
Nimecheka sana, unaposoma ninachokiandika hutakiwi ujidai unasoma bali usome hasa, nilikuandikia kwa kuanzia, pili unauliza maswali ya kitoto yenye kupoteza muda, jambo ambalo la msingi ulitaka kitabu, na jina la muandishi, badala ukasome unauliza maswali ya kijinga, sasa unapoelekea utauliza muandishi ni mzungu au muafrika au ni nani na anaishi wapi, maswali ya kitoto yasiyo kuwa na tija.Let me laugh....
So Uthaymeen Ndiye ajuaye HEDHI za kinamama kwa ubora zaidi Yao?!!
They Call Themselves TRADITIONALISTSπππ[emoji23][emoji23][emoji23]watu wanaopenda kulaumu wengine ni shida
Wahafidhina Hawa wasiotaka kubadilika kila Jambo kutusingizia wanawake tu as if wao ni angels, si ajabu mleta mada hapeleki watoto shule,hivi kwanini serikali isianze na yeye kumchukulia hatua.They Call Themselves TRADITIONALISTS[emoji16][emoji16][emoji16]
Let me tell you sthn...Nimecheka sana, unaposoma ninachokiandika hutakiwi ujidai unasoma bali usome hasa, nilikuandikia kwa kuanzia, pili unauliza maswali ya kitoto yenye kupoteza muda, jambo ambalo la msingi ulitaka kitabu, na jina la muandishi, badala ukasome unauliza maswali ya kijinga, sasa unapoelekea utauliza muandishi ni mzungu au muafrika au ni nani na anaishi wapi, maswali ya kitoto yasiyo kuwa na tija.
Sasa wewe kama msomaji kasome hicho kitabu.
Ahsante.
πππππWahafidhina Hawa wasiotaka kubadilika kila Jambo kutusingizia wanawake tu as if wao ni angels, si ajabu mleta mada hapeleki watoto shule,hivi kwanini serikali isianze na yeye kumchukulia hatua.
Kinachofanya uhisi sijasoma?Unataka tuzunguke mbuyu nini ?
Soma mada uelewe.
Jurjan Ni mbishi hafu hajui anachosimamia kwa kweli, Yani wanawake tuna muumiza Sana kichwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sure....Jurjani bnaa loooh