Hapa unabishaje. Jua na mwez hivyo hapo vinaizunguka dunia Usiku na Mchana unapatikana kama hivyo uonavyo.Kasome geography upya
Vinginevyo kusingekuwepo usiku na mchana kama dunia haizunguki
Usiku jua lisipokuwepo wewe saa yako hiyo ya kibwege waweza jua saa ngapi? Hiyo saa yako tegemea jua?
kama dunia ni tambarare na jua ndo linazunguka, basi jua lokizama dunia nzima kungekua giza na likichomoza dunia nzima kungekua mwanga,Dunia haizunguki, dunia ni tambarare.
Maji hayapindi, maji hufuata level iliyo nyooka, pia asilimia 75 ya uso wa dunia ni maji.
Jua linazunguka kutoka mashariki kwenda magharibi.
Binadamu akiruka haendi mbali au nje ya nguvu ya uvutano asilia ya duniaNadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?
Bado atakubishia maana mapema kabisa ameonyesha kutoamini yatakayoandikwaMaswali yako yote yanajibiwa na Nguvu ya Uvutano (Force of Gravity) Nguvu hii ipo katika mgandamizo wa hewa unaozunguka Dunia..( Atmosphere) Mgandamizo huu ndio unaoshikilia kila kilichopo kwenye uso wa Dunia.. Ndege na Helicopters nazo pia zinaporuka huwa hazitoki katika mgandamizo huu.. Ndio sababu inabidi zitembee kwa kuwa bado zinashikiliwa na Gravity.. Ila Endapo zitatoka katika Mgandamizo huu na kwenda nje ya Atmosphere yetu basi hazitaxunguka pamoja na Dunia.. Rockets za anga za mbali huweza kutoka nje ya Atmosphere na kusimama sehemu moja huku zikiiangalia dunia inavyozunguka na inawezekana pia zikasetiwa katika kasi sawa na ya dunia ili ziweze kutoa taarifa ya sehemu moja tu ya dunia iliyolengwa.
Swali fikirishi je kuna dunia bila anga"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"
Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?
Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubunis
Kasome Tena hii kitu."Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"
Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?
Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
Kwa sababu atmosphere ndege inagotembea nayo huzunguka sawa na spidi ya dunia (ground)"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"
Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?
Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
GoodLinazunhuka Kama hivi.. tunapata uziku na mvhana.
Unakaribia kuwa kichaa.Hayo mafuta utalipia?Dunia inajizungusha kwa muda gani kila longitudo/latitudo moja?"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"
Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?
Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
Ili ndege waweze kuelea, wanagandamiza hewa chini kwenye denge kiasi cha uzito sawa sawa na uzito wao. Ambapo uzito huo unaendelea kubebwa/ku-act kwenye ndege hivyo, ndege itaendelea kubeba uzito uleule uliokuwepo mwanzo.Nje ya mada.
Nakumbuka niliwahi kuchapwa na mwalimu wangu wa physics kwasababu ya kuuliza maswali ya design hii.
Niliwahi kuuliza swali hili; assume una njiwa (ndege) wenye jumla ya uzito wa kilograms 1000 kisha ukawapakia ndani ya ndege (aeroplane) na hao njiwa wakawa wanaruka (wanapaa) pasipo kutua ndani ya hiyo aeroplane, swali; Je, ndege (aeroplane) hiyo itakuwa imebeba uzito kiasi gani? Kwanini?
Mshale wa saa ya mshale ukiuwekea Taa inayomulika chini katka ile point yake, je mwanga utamulika sawa katika namba zote?kama dunia ni tambarare na jua ndo linazunguka, basi jua lokizama dunia nzima kungekua giza na likichomoza dunia nzima kungekua mwanga,
lakini kwanini tunatofautiana sehemu nyingine ni mchana na nyingine ni usiku ?
Nyuzi moja dakika 4Unakaribia kuwa kichaa.Hayo mafuta utalipia?Dunia inajizungusha kwa muda gani kila longitudo/latitudo moja?
Kwa hiyo kama natokea hapa Matimila Songea au Kipalapala/Kwihara Tabora naelekea Japan,nitaganda angani muda gani ili Japan inikute nitue?Nyuzi moja dakika 4
Ahsante sana kwa swali, lakini tambua kwanza kwamba dunia inaanzia kwenye kiini hadi kwenye ngazi zoooote za angahewa. Haiishii kwenye gamba tu."Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"
Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?
Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"
Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?
Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
Daaaaah! Aseee ulikuwa kajiniazi.Nje ya mada.
Nakumbuka niliwahi kuchapwa na mwalimu wangu wa physics kwasababu ya kuuliza maswali ya design hii.
Niliwahi kuuliza swali hili; assume una njiwa (ndege) wenye jumla ya uzito wa kilograms 1000 kisha ukawapakia ndani ya ndege (aeroplane) na hao njiwa wakawa wanaruka (wanapaa) pasipo kutua ndani ya hiyo aeroplane, swali; Je, ndege (aeroplane) hiyo itakuwa imebeba uzito kiasi gani? Kwanini?
umewah kujalibu mkuu au unaongea kwa kuambiwa? Vp una gar hapo?nadharia: Dunia inazunguka pamoja ya anga lake. mfano upande gari labda canter ukakaa kwenye body, likatembea labda 80km/h, ukiruka usawa wa body, huwezi tua sehemu nyingine sababu bado upo kwenye eneo la gari. labda uruke juu zaidi utoke nje ya atmosphere niseme ya gari ndo utatua point nyingine.
Ukiwa kwenye daladala, IPO kwenye mwendo, ukaruka nje, wakati unashuka, kinachotokea, unavutwa mbele, bado upo kwenye motion kama gari, utasimama tu pale ambapo ukinzani, wa ardhi utakapo dhidi mvuto wa mwendo wa gari"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"
Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?
Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
Btw, read between the linesumewah kujalibu mkuu au unaongea kwa kuambiwa? Vp una gar hapo?