Swali kwa wasomi wa Jiografia na Fizikia wenye akili zao, kama ulienda shule kukariri pita mbali

Kasome geography upya
Vinginevyo kusingekuwepo usiku na mchana kama dunia haizunguki

Usiku jua lisipokuwepo wewe saa yako hiyo ya kibwege waweza jua saa ngapi? Hiyo saa yako tegemea jua?
Hapa unabishaje. Jua na mwez hivyo hapo vinaizunguka dunia Usiku na Mchana unapatikana kama hivyo uonavyo.
 
Maswali yako yote yanajibiwa na Nguvu ya Uvutano (Force of Gravity) Nguvu hii ipo katika mgandamizo wa hewa unaozunguka Dunia..( Atmosphere) Mgandamizo huu ndio unaoshikilia kila kilichopo kwenye uso wa Dunia.. Ndege na Helicopters nazo pia zinaporuka huwa hazitoki katika mgandamizo huu.. Ndio sababu inabidi zitembee kwa kuwa bado zinashikiliwa na Gravity.. Ila Endapo zitatoka katika Mgandamizo huu na kwenda nje ya Atmosphere yetu basi hazitaxunguka pamoja na Dunia.. Rockets za anga za mbali huweza kutoka nje ya Atmosphere na kusimama sehemu moja huku zikiiangalia dunia inavyozunguka na inawezekana pia zikasetiwa katika kasi sawa na ya dunia ili ziweze kutoa taarifa ya sehemu moja tu ya dunia iliyolengwa.
 
Dunia haizunguki, dunia ni tambarare.

Maji hayapindi, maji hufuata level iliyo nyooka, pia asilimia 75 ya uso wa dunia ni maji.

Jua linazunguka kutoka mashariki kwenda magharibi.
kama dunia ni tambarare na jua ndo linazunguka, basi jua lokizama dunia nzima kungekua giza na likichomoza dunia nzima kungekua mwanga,

lakini kwanini tunatofautiana sehemu nyingine ni mchana na nyingine ni usiku ?
 
Maswali yako yote yanajibiwa na Nguvu ya Uvutano (Force of Gravity) Nguvu hii ipo katika mgandamizo wa hewa unaozunguka Dunia..( Atmosphere) Mgandamizo huu ndio unaoshikilia kila kilichopo kwenye uso wa Dunia.. Ndege na Helicopters nazo pia zinaporuka huwa hazitoki katika mgandamizo huu.. Ndio sababu inabidi zitembee kwa kuwa bado zinashikiliwa na Gravity.. Ila Endapo zitatoka katika Mgandamizo huu na kwenda nje ya Atmosphere yetu basi hazitaxunguka pamoja na Dunia.. Rockets za anga za mbali huweza kutoka nje ya Atmosphere na kusimama sehemu moja huku zikiiangalia dunia inavyozunguka na inawezekana pia zikasetiwa katika kasi sawa na ya dunia ili ziweze kutoa taarifa ya sehemu moja tu ya dunia iliyolengwa.
Bado atakubishia maana mapema kabisa ameonyesha kutoamini yatakayoandikwa
 
"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"

Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?

Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubunis
Swali fikirishi je kuna dunia bila anga
 
"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"

Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?

Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
Kasome Tena hii kitu.

Ila sitakuacha hivihivi;

Dunia inalizunguka jua, hii inamaanisha popote ulipo unazungushwa. Ndio maana unaona usiku na mchana. Kwa vile sisi na vitu vyetu tuko ndani ya Dunia, hatawezi kusogezwa kwenda sehemu yeyote Ile ndani ya Dunia. Ila kwa usawa wa jua tutaweza kubadili majira ya usiku na mchana.
 
"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"

Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?

Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
Kwa sababu atmosphere ndege inagotembea nayo huzunguka sawa na spidi ya dunia (ground)
 
"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"

Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?

Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
Unakaribia kuwa kichaa.Hayo mafuta utalipia?Dunia inajizungusha kwa muda gani kila longitudo/latitudo moja?
 
Nje ya mada.

Nakumbuka niliwahi kuchapwa na mwalimu wangu wa physics kwasababu ya kuuliza maswali ya design hii.

Niliwahi kuuliza swali hili; assume una njiwa (ndege) wenye jumla ya uzito wa kilograms 1000 kisha ukawapakia ndani ya ndege (aeroplane) na hao njiwa wakawa wanaruka (wanapaa) pasipo kutua ndani ya hiyo aeroplane, swali; Je, ndege (aeroplane) hiyo itakuwa imebeba uzito kiasi gani? Kwanini?
Ili ndege waweze kuelea, wanagandamiza hewa chini kwenye denge kiasi cha uzito sawa sawa na uzito wao. Ambapo uzito huo unaendelea kubebwa/ku-act kwenye ndege hivyo, ndege itaendelea kubeba uzito uleule uliokuwepo mwanzo.

Utaweza kubadili matokeo kwa njia ya kutengeneza vacuum kwenye ndege au ndege kutoka kwenye eneo lenye gravitational force.
 
kama dunia ni tambarare na jua ndo linazunguka, basi jua lokizama dunia nzima kungekua giza na likichomoza dunia nzima kungekua mwanga,

lakini kwanini tunatofautiana sehemu nyingine ni mchana na nyingine ni usiku ?
Mshale wa saa ya mshale ukiuwekea Taa inayomulika chini katka ile point yake, je mwanga utamulika sawa katika namba zote?
 
"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"

Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?

Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
Ahsante sana kwa swali, lakini tambua kwanza kwamba dunia inaanzia kwenye kiini hadi kwenye ngazi zoooote za angahewa. Haiishii kwenye gamba tu.

Kwa hivyo hadi hewa nayo inazunguka na dunia. Ndege helikopta ikisimama juu inakwenda na hewa. Na wewe ukiruka ndo kabisaaaa 😅😅😅

SIsi na hewa ni moja ni dunia hiyohiyo. Huu mzunguko kiuhusiano (relatively) tunauona ni ziro. Labda utoke nje ya dunia ndio utaona kama inazunguka. Ahsante. Nisome reply za watu sasa
 
"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"

Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?

Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni

Dunia inazunguka na vyote vilivyo kwenye dunia. Kabla ya kufikiria suala la ndege, wewe binafsi ruka juu uone kama utatua eneo tofauti la dunia zaid ya pale uliporuka kwenda juu.

Unaweza kupata matokeo tofauti ukienda/ukiruka nje ya chombo husika. Mfano: ndege husika iende nje ya universe/iende kwenye space, gharama za kwenda huko, tahadhali na utajishikiliaje ni suala lingine tena.
 
Nje ya mada.

Nakumbuka niliwahi kuchapwa na mwalimu wangu wa physics kwasababu ya kuuliza maswali ya design hii.

Niliwahi kuuliza swali hili; assume una njiwa (ndege) wenye jumla ya uzito wa kilograms 1000 kisha ukawapakia ndani ya ndege (aeroplane) na hao njiwa wakawa wanaruka (wanapaa) pasipo kutua ndani ya hiyo aeroplane, swali; Je, ndege (aeroplane) hiyo itakuwa imebeba uzito kiasi gani? Kwanini?
Daaaaah! Aseee ulikuwa kajiniazi.

Wazo langu ni hiyo ndege itakuwa imebeba 1000kg maana njiwa watakuwa wanapuliza mabawa yao kwenda chini katika angahewa la ndegeni humohumo. Hiyo ni kwa ndege yenye hewa yake ndani kwa ndani tu.

Lakini kama ni helikopta na milango wamefungua hapo hesabu inabidi ifanywe. Usito utapungua maana kuna hewa wanaipuliza inatoka nje na nyingine inaingia ndani 😅😅😄😄😄😄
 
nadharia: Dunia inazunguka pamoja ya anga lake. mfano upande gari labda canter ukakaa kwenye body, likatembea labda 80km/h, ukiruka usawa wa body, huwezi tua sehemu nyingine sababu bado upo kwenye eneo la gari. labda uruke juu zaidi utoke nje ya atmosphere niseme ya gari ndo utatua point nyingine.
umewah kujalibu mkuu au unaongea kwa kuambiwa? Vp una gar hapo?
 
"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"

Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?

Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
Ukiwa kwenye daladala, IPO kwenye mwendo, ukaruka nje, wakati unashuka, kinachotokea, unavutwa mbele, bado upo kwenye motion kama gari, utasimama tu pale ambapo ukinzani, wa ardhi utakapo dhidi mvuto wa mwendo wa gari
 
Back
Top Bottom