SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

Inavyosemekana kutokana na ubize wa maisha, stress na joto kali eti wanaume wengi sana wa dar...(sio wote ila ni % kubwa) hawana uwezo wa kuwaridhisha wanawake kimapenzi.
Kwanini usije mwenyewe kujiridhisha, njoo uwa test kama hawana hizo nguvu😀
 

Kabla ya kuvuka pale waoge na kupiga mswaki kwanza bana, hawa wapolipoli vipi!? Na yale maviazi sijui makopa muwe mnayatupa hapo kabla ya kuingia mjini.unakuta mtu eti ikifika lunchtime anatoa bonge la boflo au li kiazi na kuanza kuwagawia walio jirani na seat yake kwenye bus, aisee yani huwa nachoka kabisa😀
 
Nimejikuta nacheka tuuuu
 
Wanaume wa Dar hata wale wanaoishi Jumba Jeupe pale Magogoni wanapenda kula Ubuyu!
 
Wanapenda vya bure, kuuza sura, umbea, kuazima nguo, kusifia Bakharesa , Diamond na Ali Kiba kutwa, Sifa bila kitu mifukoni, wapenda shobo hata kama ni wakubwa, Wanapenda Pesa nyingi kwa kazi laini.
Huu ni utani wa ngumu!!!
 
Wanaume wa dar wanapenda kuchepuka na wake za watu tena wakitongozwa na wanawake hawakatai wanapenda kuhongwa hao na mijimama yanaenda
 
Wanaume wa mikoani si ndio wale wanaouziwa SABUNI badala ya SIMU pale UBUNGO?au ndio wapi hao
 
Wanaume wa dar wanapenda kuchepuka na wake za watu tena wakitongozwa na wanawake hawakai wanapenda kuhongwa hao na mijimama
Hivi hili lina ukweli kwa kiasi gani lakini?
 
Mkoa gani hasa mkuu?
Wewe nenda pale UBUNGO tu..ukisikia wanalia ujuwe wa mikoa hao..wanauziwa sabuni..kwa kudhani simu..hao wapaka powder.. Au kujichubuwa pia mikoani kibao tu wapo..ni hulka ya mtu..na sio sababu upo dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…