victormztz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 1,111
- 614
Achana na mambo ya kusikia, njoo uwatest mwenyewe halafu utuletee mrejesho😀Eti nasikia inshort wanaume wa dar ni walaini ...kwa kila kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na mambo ya kusikia, njoo uwatest mwenyewe halafu utuletee mrejesho😀Eti nasikia inshort wanaume wa dar ni walaini ...kwa kila kitu
Kwanini usije mwenyewe kujiridhisha, njoo uwa test kama hawana hizo nguvu😀Inavyosemekana kutokana na ubize wa maisha, stress na joto kali eti wanaume wengi sana wa dar...(sio wote ila ni % kubwa) hawana uwezo wa kuwaridhisha wanawake kimapenzi.
Tumeanza kuamka sasa wanaume wa dar... Mnasemaje nyie mijibwa ya mikoani..... Mkija huku mnatutilia aibu sana.chakula cha familia nzima wewe peke yako unafuta. . Hata mjipendekeze vipi hatuwakaribishi...mkija mnakera sana. Eti nipeleke uwanja wa Taifa ooh Mara baharini, Mara daraja lilijengwa baharini daaah tunawachoka kweli mkija huku..... Sisi tukija huko Dada zenu hata hatutongozi.wakijua tuu wa dar hahaaaaa mpk unawakimbia eti nyinyi mnanuka vikwapa halafu mnawasugua kama mnapiga mswaki... Kumbe wenzenu tunabembelaza... Kushikanashikana tuu ni masaa mawili bado mchezo wenyewe.nyie kulima tuu kama mang'ombe.... Viazi mnalima nyie cc tunavitengeza halafu mkija tunawapiga bei za maana... Wanaume wa mikoani mtaendelea kuwa wamikoani tuu... Na mtaendelea kuwa washamba tuu... Na sasa hivi mkitaka kuja huku mtakuwa mnalipia kwanza pale chalinze mnakuja mnatumalizia hewa tuu
Nimejikuta nacheka tuuuuKabla ya kuvuka pale waoge na kupiga mswaki kwanza bana, hawa wapolipoli vipi!? Na yale maviazi sijui makopa muwe mnayatupa hapo kabla ya kuingia mjini.unakuta mtu eti ikifika lunchtime anatoa bonge la boflo au li kiazi na kuanza kuwagawia walio jirani na seat yake kwenye bus, aisee yani huwa nachoka kabisa😀
Ukitaka kuamini....Ushimen usinichonganishe na habiby wangu,mwanaume wa Dar!
[emoji41] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nini tena Mkuu! hao ndo vidume wa dasaramu!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukitaka kuamini....
Nenda kwake kama hauto kuta poda, makeups, hereni, lips shine na rangi za kucha....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hatari sana....[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu ni utani wa ngumu!!!Wanapenda vya bure, kuuza sura, umbea, kuazima nguo, kusifia Bakharesa , Diamond na Ali Kiba kutwa, Sifa bila kitu mifukoni, wapenda shobo hata kama ni wakubwa, Wanapenda Pesa nyingi kwa kazi laini.
Wewe nenda pale UBUNGO tu..ukisikia wanalia ujuwe wa mikoa hao..wanauziwa sabuni..kwa kudhani simu..hao wapaka powder.. Au kujichubuwa pia mikoani kibao tu wapo..ni hulka ya mtu..na sio sababu upo darMkoa gani hasa mkuu?
Pitapita kwenye vijiwe utaonaHivi hili lina ukweli kwa kiasi gani lakini?