Swali kwenu nyie wanawake? Wanaume tunakaribisha kwa ajili ya kusoma comments

Kuvaa? Watu tunakaa kabisa uchi wa mnyama na tunazunguka zunguka na unakuta wapo watano[emoji23][emoji23] au zaidi.
Mimi kipindi nipo hostel nilikuwa natoka na chupi tu hadi room nyingine kunyoosha nguo halafu wewe unauliza kuvaa?
Hamchekani kwamba huyu ni flat screen, chogo, kitambi, mitindi etc??
 
Ungesema lesboo tyuuh, gay ni maana nyingne kabisaa, na hakukuwa na ulazima wa kutaja hilo, mbna ungeeleweka vizuri tyuuh. Lol
 
Kwahiyo hata nisingesema ungejua tu natembeaga uchi[emoji23][emoji23]?
Kipaji kinauilizwaga..πŸ˜‚
Yote tisa,kumi hilo komwe huwa unaliacha wanaliona pia..?πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…