Wewe sio mpole wala sio mkorofi bali wewe ni kauzu tena zaidi ya dagaa.Hivi mie ni mkorofi ama mpole?
Manake sina ubavu wa kukaa uchi mbele ya kiumbe chochote duniani
Nahisi hata akiwekwa mtoto mchanga hapo nibaki nae room moja nitavaa kwa kujificha
Kubet ni starehe kama anayekunywa pombeMpole anabeti..π€£
We ni mkorofi sema aibu zimekuzidi vipi sasa ukiwa na nyonga mkalia ini huwa inakuwaje..?
Kuoga na kujisugua kabisaa tena mwanduuu!!wanawake hatuna habari!!!Kuvaa? Watu tunakaa kabisa uchi wa mnyama na tunazunguka zunguka na unakuta wapo watano[emoji23][emoji23] au zaidi.
Mimi kipindi nipo hostel nilikuwa natoka na chupi tu hadi room nyingine kunyoosha nguo halafu wewe unauliza kuvaa?
Wewe sio mpole wala sio mkorofi bali wewe ni kauzu tena zaidi ya dagaa.
Ila hua naikubali sana misimamo yako.
Afu mimi sijazoea mambo ya kujibana nikishinda nyumbani nafunga khanga siku mzima. Mtu akigonga mlango nasikilizia kama wa kiume ndo naenda kuvaa kama wa kike siangaiki aingie tu.Tena na kuoga tunaoga wote...[emoji1]hostel/boarding nyingi kuna bafu za cube(private) na za hall....ss we unachagua wapi unataka[emoji3]
Pale kwenye hall sasa ndo mnajikuta weengii kila mtu na ndoo yake mnapigaa story ...mnachekaaa....mnajitawaza,.yn no one cares...na mnaweza mkawa km mtu 10
Once nilivyoingia hostel niliona tabu na aibu..ila khaaa kumbe kila kitu ni mazoea tu..just in fewdays nika adapt.....
Wenye wezele
Wenye viflat
Wenye saa 6,
Wenye ndala...
Wenye makovu..
No one cares[emoji850][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Orodgesha vitu unavyovipenda Kama vitano hivi nitajua hulka ya upole au ukali uliyonayo.Kubet ni starehe kama anayekunywa pombe
Kwa sasa mie nabet mara chache for fun...napenda mpira ndio mana nabet
Hahahah kwenye aibu kweli zimenizidi
Nyonga mkalia ini anaelewa situesheni yangu
Lindi sehemu gani nduguyangu?Kuoga na kujisugua kabisaa tena mwanduuu!!wanawake hatuna habari!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Orodgesha vitu unavyovipenda Kama vitano hivi nitajua hulka ya upole au ukali uliyonayo.
NB viwe ni tabia.
[emoji23][emoji23][emoji23]mnashinda vichupichupi mpk Leo nyumbani kuvaa nguo nzito siwezi may be niwe na wageniTena na kuoga tunaoga wote...[emoji1]hostel/boarding nyingi kuna bafu za cube(private) na za hall....ss we unachagua wapi unataka[emoji3]
Pale kwenye hall sasa ndo mnajikuta weengii kila mtu na ndoo yake mnapigaa story ...mnachekaaa....mnajitawaza,.yn no one cares...na mnaweza mkawa km mtu 10
Once nilivyoingia hostel niliona tabu na aibu..ila khaaa kumbe kila kitu ni mazoea tu..just in fewdays nika adapt.....
Wenye wezele
Wenye viflat
Wenye saa 6,
Wenye ndala...
Wenye makovu..
No one cares[emoji850][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haha! Ukiweka za uongo hunidanganyi Mimi bali unajidanganya wewe..πNikwambie ukweli ama niwe fake kidogo? π₯΄
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kinyopeeeee!!!!!mojaaaa
Mie niko Mpilipili hapa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kinyopeeeee!!!!!mojaaaa
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Basi tuache tu manake kwa hapa JF nitakudanganya tu πHaha! Ukiweka za uongo hunidanganyi Mimi bali unajidanganya wewe..π
AaaiiUnadhani nashindwa sasa..[emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2]hukoo ni domicile Ila Niko DSM
Uongo ni tabia za wakorofi..πBasi tuache tu manake kwa hapa JF nitakudanganya tu π
Karibu sana Pugu kwetu[emoji2][emoji2][emoji2]hukoo ni domicile Ila Niko DSM
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app