Swali kwenu wanawake mlioolewa, watoto wa kike na wazazi wa kike

Mamdogo, keeping all factors constant, TABIA NA MIENENDO YA WAOLEWAJI HUWA NI SABABU KUBWA SANA KUCHELEWA AU KUTOOLEWA KABISA..!! Kuolewa is NOT a one time event, ni mchakato wa malezi na tabia za muolewaji toka akiwa mdogo hadi anafikia umri wa kuolewa. Mchakato ni collection ya events tofauti tofauti. Event yoyote kati ya hizo ikiwa mbovu mtu haolewi.
Nakubalian na wewe huyo mmoja ambae namjua ajaolewa kwaza mchafu mvivu kila kitu anataka afanyiwe kuamka saa sita au tano na akiamka agusi kitu chochote kile zaid ya kula
 
Mamdogo, keeping all factors constant, TABIA NA MIENENDO YA WAOLEWAJI HUWA NI SABABU KUBWA SANA KUCHELEWA AU KUTOOLEWA KABISA..!! Kuolewa is NOT a one time event, ni mchakato wa malezi na tabia za muolewaji toka akiwa mdogo hadi anafikia umri wa kuolewa. Mchakato ni collection ya events tofauti tofauti. Event yoyote kati ya hizo ikiwa mbovu mtu haolewi.
bamdogo but we are not talking about individual 😀😀

according to mtoa mada anazungumzia familia nzima, by any means haiwezekani familia nzima wakawa na tabia mbaya, gubu,uchoyo n.k ya kuwafanya wasiolewe
the whole family unakuta amna alieoa au kuolewa wakisogea sana mmoja ndo anavalishwa pete then inaishia hapo...

au unakuta familia nzima kila mtu kazaa nyumbani, familia ya watu sita wote ni masingle mom, na kam kuna wanaume pia nao hivyohivyo
 
Hakuna masuala ya kurogwa kwanza!

Halafu kingine wanawake ni rahisi kuolewa sana kwa tamaduni za kiafrika hususani hapa Tanzania ,ukiona mwanamke haolewa basi 80% yeye ndo chanzo .

Kwa sababu ni ukweli kwamba wanawake wengi wanaanza kutongozwa mapema mno tena na idadi kubwa wa wanaume ,kati ya hao wapo wahuni wanaotakq kuwachezea na wapo watu wa kweli ...kwa nn kuna watu kweli ndo maana kuna wanawake wanaolewa mapema hata umri wa miaka 18 na wapenzi wao wa kwanza .

Mwanamke kutokuolewa anataka mwenyewe kwa sabab nyingine 👉 Ana-maintain standard ili kupata anayemtaka japo anapigiwa miruzi sana ila hapa ana kuwa na akili zake kwa anayemtaka ,kama ana akili za kitoto atachelewa sana kupata handsome ..

Mwanamke ana nguvu ya kushawishi hata kwa acting sema wengi akili za utoto ,anaweza kutulia akawa na heshima ,uvaaji mzuri na tabia zinazopendeza.

Mwanamke ni rahisi kuolewa kwa kufanya vitu kadhaa tu basi ili kumvutia mwanamke kweny ishu za ndoa wala hamna mambo ya kichawi ila wanaume ndo balaa lazima uwe na uwezo wq kuhudumu familia yaani "fedha" ,ajabu ya kaisha unaweza kusota mpaka unazeeka haupati hata kazi ya maana kula yako tu mtihani.
 
Mamdogo, keeping all factors constant, TABIA NA MIENENDO YA WAOLEWAJI HUWA NI SABABU KUBWA SANA KUCHELEWA AU KUTOOLEWA KABISA..!! Kuolewa is NOT a one time event, ni mchakato wa malezi na tabia za muolewaji toka akiwa mdogo hadi anafikia umri wa kuolewa. Mchakato ni collection ya events tofauti tofauti. Event yoyote kati ya hizo ikiwa mbovu mtu haolewi.
Safi!
 
bamdogo but we are not talking about individual 😀😀

according to mtoa mada anazungumzia familia nzima, by any means haiwezekani familia nzima wakawa na tabia mbaya, gubu,uchoyo n.k ya kuwafanya wasiolewe
the whole family unakuta amna alieoa au kuolewa wakisogea sana mmoja ndo anavalishwa pete then inaishia hapo...

au unakuta familia nzima kila mtu kazaa nyumbani, familia ya watu sita wote ni masingle mom, na kam kuna wanaume pia nao hivyohivyo
Mamdogo, the issue is not about HOW MANY IN ONE FAMILY. Sometimes, mmojawao anasababisha wenzie wasiolewe. Yaani waowaji wakiona mkubwa au yeyote ana tabia zisizomwezesha kuolewa wanaamua kuona haiwezekani wengine wakose tabia za huyo mwenye kasoro
 
🤣🤣🤣🤣 Wanadamu bwana kwa kumsingizia mungu mambo ya ajabu....eti wakati wa mungu haujafika wakati wewe mwanamke breki pumbu 🤣🤣🤣🤣🤣, kuongea sana wewe nyodo kibao alafu usipoolewa oh wakati wa mungu hujafika. Tulizaneni. Waoaji wapo ila ndio hivyo hatuoi tako wala sura.
Nakazia,

wabongo tukishindwa kujua chanzo cha kitu tunakimbilia kusingizia uchawi...
 
Mamdogo, the issue is not about HOW MANY IN ONE FAMILY. Sometimes, mmojawao anasababisha wenzie wasiolewe. Yaani waowaji wakiona mkubwa au yeyote ana tabia zisizomwezesha kuolewa wanaamua kuona haiwezekani wengine wakose tabia za huyo wmenye kasoro
umekuja palepale sasa unaweza kuta hiyo changamoto imeanza zamani from wazee huko inaenda wakirithi unadhani nini kinatokea? kama sio ile familia wachafu wale ndo maana hawaolewagi, ile faimilia wachoyo wale ndo maana hawaolewi eeh ile familia wana midomo kuanzia mama mpaka watoto ndo maana wanazalia nyumbani
 
Umekuja eeh 🤣🤣🤣
Tena wee ndio umenifanya nije nilivyooona comment yako tuu nikasema hapa besty lazima nimchokoze🤣🤣🤣🤣
Vipi pilau linalika mwaka huu au bado kuna mgogoro wa ardhi🤣🤣🤣🤣

Ila na nyie musiroge bwana...huku makazini tunarogwa, ndugu wanaturoga na nyie tena wapenzi wetu mtuendes kwa sangoma kweli tutakuwa watu au misukule?
 
😂😂😂Muda wowote kuanzia Sasa mpunga unaliwa kunamtoto wa mtu kajichanganya huku
 
kila mtu anae anaetakiwa kuwa nae sasa huwezi fika nchi ya ahadi bila kukutana na watoto wa farao kwanza wakuchakaze uchoke alafu wakati unakata tamaa sasa kuona huwezi tena ndo hapo sasa anatokea anatakiwa kukufikisha nchi yako ya ahadi 😀 😀 😀 😀

should i go deeper
Wee ulionaga wapi mwanamke akaenda deeper🤣🤣🤣 wacha mambo yako wewe.
Mambo ya kusingizia wakati ya mungu ndio nayakataa....haiwezekani wewe ulishapewa muongozo wa jinsi ya kupata mume alafu wewe umeleta ujana maji ya moto unakosa mume uanze tupa lawama kwa mungu.

Tatizo nyie warembo mkiwa young full nyodo mara hivi mara vile....unfortunately for u ladies times does not favour beauty.
 
🤣🤣🤣
 
au basi
😀😀
 
umekuja palepale sasa unaweza kuta hiyo changamoto imeanza zamani from wazee huko inaenda wakirithi unadhani nini kinatokea? kama sio ile familia wachafu wale ndo maana hawaolewagi, ile faimilia wachoyo wale ndo maana hawaolewi eeh ile familia wana midomo kuanzia mama mpaka watoto ndo maana wanazalia nyumbani
Ni kweli, mamdogo, kuolewa haanzi kuangaliwa muolewaji peke yake. Wengine huenda kutafuta stori/taarifa za vizazi kadhaa huko nyuma. Kuna ishu za magonjwa ya kurithi, kuna tabia common kwenye familia na ukoo. Kuna wasioweza kuishi kwenye ndoa, yaani wao wanachotafuta ni kutoa nuksi tu, kwamba ameshawahi kuolewa. Sasa wengine unakuta kwenye ukoo wao wa kuolewa na kutoa nuksi wapo wengi kuliko waliopo kwenye ndoa.
 
😀 😀 😀 😀mbona kutoa nuksi
 
Katika jambo la kipuuzi naweza liita la kipumbavu linalowapa stress wanawake wengi ni suala la wao kuolewa huwa nashindwa kuelewa akili zao kabisa.

Sasa ndoa ndio kitu cha kuwazia kweli what so special inside that shit called ndoa?!.
 
Back
Top Bottom