Swali kwenu wanawake mlioolewa, watoto wa kike na wazazi wa kike

kila mtu anae anaetakiwa kuwa nae sasa huwezi fika nchi ya ahadi bila kukutana na watoto wa farao kwanza wakuchakaze uchoke alafu wakati unakata tamaa sasa kuona huwezi tena ndo hapo sasa anatokea anatakiwa kukufikisha nchi yako ya ahadi 😀 😀 😀 😀

should i go deeper
Shkamoo mamdogo wa DIPAAA..!! Shkamoo watoto wa farao wa kuchakazaaaa..!
 
Katika jambo la kipuuzi naweza liita la kipumbavu linalowapa stress wanawake wengi ni suala la wao kuolewa huwa nashindwa kuelewa akili zao kabisa.

Sasa ndoa ndio kitu cha kuwazia kweli what so special inside that shit called ndoa?!.
Huduma kaka huduma....hawapendi kutumia hela zao wanataka watumie zetu tuu.
 
Mamdogo, keeping all factors constant, TABIA NA MIENENDO YA WAOLEWAJI HUWA NI SABABU KUBWA SANA KUCHELEWA AU KUTOOLEWA KABISA..!! Kuolewa is NOT a one time event, ni mchakato wa malezi na tabia za muolewaji toka akiwa mdogo hadi anafikia umri wa kuolewa. Mchakato ni collection ya events tofauti tofauti. Event yoyote kati ya hizo ikiwa mbovu mtu haolewi.
Mule mule...baeleze sio wanamsimgizia mungu mambo ya ajabu ajabu
 
Mamdogo, keeping all factors constant, TABIA NA MIENENDO YA WAOLEWAJI HUWA NI SABABU KUBWA SANA KUCHELEWA AU KUTOOLEWA KABISA..!! Kuolewa is NOT a one time event, ni mchakato wa malezi na tabia za muolewaji toka akiwa mdogo hadi anafikia umri wa kuolewa. Mchakato ni collection ya events tofauti tofauti. Event yoyote kati ya hizo ikiwa mbovu mtu haolewi.
Mtu unamwelewa kwa moyo wako wote lakini unakuta yuko complicated hatari. Dharau yeye. Feminism yeye. Ego yeye. Kutojali yeye. Hakuna rangi ambayo utaacha ona...

Yaani kabisa mtu uko tayari kumuoa lakini tu ataanza dharau na ishu ambazo hazieleweki mpaka mtu unabwaga manyanga. Hapo napo mtamsingizia Mungu au ndo kurogwa kwenyewe? Halafu unamkuta kwa Mwamposa anaombewa apate mume! 😳

Na kweli kuna familia ambazo huwa hawaolewi. Na hata wakiolewa chini ya mwaka mmoja tu unawakuta ndoa zishawashinda wameshakuwa wasimbe!
 
Au yule mume wa KISULISULI...

By the way, hivi mwanaume, kweli unaweza ukamuowa yule mwanamke aliyesema anataka itungwe sheria ya wanawake waliopo kwenye ndoa walipwe?

CC mamdogo Amehlo
 
Mtu unamwelewa kwa moyo wako wote lakini unakuta yuko complicated hatari. Dharau yeye. Feminism yeye. Ego yeye. Kutojali yeye. Hakuna rangi ambayo utaacha ona...

Yaani kabisa mtu uko tayari kumuoa lakini tu ataanza dharau na ishu ambazo hazieleweki mpaka mtu unabwaga manyanga. Hapo napo mtamsingizia Mungu au ndo kurogwa kwenyewe? Halafu unamkuta kwa Mwamposa anaombewa apate mume! 😳

Na kweli kuna familia ambazo huwa hawaolewi. Na hata wakiolewa chini ya mwaka mmoja tu unawakuta ndoa zishawashinda wameshakuwa wasimbe!
ila hata wanaume aise unakuta mwanaume mjuaji kuliko maelezo kila kitu anakosa aisee
 
Haya mambo ni mapana sana hususani linapokuja suala la ndoa.

Kwanza ndoa ni makubaliano baina ya mwanaume na mwanamke kuamua kuishi pamoja na kuanzisha familia. Tunapozungumzia ndoa hapa hatuzungumzii mahusiano ya undugu na ukoo bali mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke.

Suala la kutokuolewa ama kutokuoa hilo ni maamuzi ya mtu binafsi na sio kwamba amerogwa bali ni maamuzi ya mtu huwezi kumlazimisha fulani aolewe na fulani wakati hapakuwa na makubaliano baina yao hapo utoleta upendo bali ni uadui baada ya ndoa na mwishowe talaka zisizo na ulazima.

Ukiona mtu anachelewa kuolewa ama kuoa hujue hajapata mtu wakiendana ama kukubaliana nae kufunga ndoa usimuhukumu.

Kwasababu wengi wetu tumekuwa tukichaguwa wapenzi tunaowapenda pengine wao wenyewe hawatupendi apo lazima kuwa na tatizo hasa la ndoa
 
Ushirikina unasingiziwa mengi sana asee 🙌, Yaani mtu ana danga alafu bado nayeye yupo hapa anajifanya kuchangia kwamba nae anahisi ushirikina ndo unafanya mtu asiolewe, Wanawake wanapaswa kubadilika kitabia ili wavutie kuolewa nje na hapo wataishia kuwekwa miguu juu na kuchapa ndala.
 
Back
Top Bottom