Swali kwenu wanawake mlioolewa, watoto wa kike na wazazi wa kike

Swali kwenu wanawake mlioolewa, watoto wa kike na wazazi wa kike

[emoji3][emoji3][emoji3]Tulia
Ukweli unauma eeh[emoji23][emoji23][emoji23], mnaifanya ndoa kama stage ya kurukia maisha au mapambio mkimaliza hao mnaruka. Achaneni na ndoa tafuteni maisha, ohoo[emoji23][emoji23]
 
Ukweli unauma eeh[emoji23][emoji23][emoji23], mnaifanya ndoa kama stage ya kurukia maisha au mapambio mkimaliza hao mnaruka. Achaneni na ndoa tafuteni maisha, ohoo[emoji23][emoji23]
Wew si ndo msemaji mkuu wew Leo hii tutafute Hela ama kweli wew huaminiki 😂😂
 
Niko poa kabisa kukumiss tu mdogowangu vikoba vitaniua dadaako had nimesahau nduguzangu 😀😀
😂😂😂 naviwaue tu maana akili zenu sio za binadamu wa kawaida. Kusahau ndugu zako hapo ushapata kiben ten wewe😂😂😂, kitakumaliza.
 
Katika jambo la kipuuzi naweza liita la kipumbavu linalowapa stress wanawake wengi ni suala la wao kuolewa huwa nashindwa kuelewa akili zao kabisa.

Sasa ndoa ndio kitu cha kuwazia kweli what so special inside that shit called ndoa?!.
Because you are so special that's why unaona ni Jambo la kipuuzi
 
kila mtu anae anaetakiwa kuwa nae sasa huwezi fika nchi ya ahadi bila kukutana na watoto wa farao kwanza wakuchakaze uchoke alafu wakati unakata tamaa sasa kuona huwezi tena ndo hapo sasa anatokea anatakiwa kukufikisha nchi yako ya ahadi 😀 😀 😀 😀

should i go deeper
Ukisha chakaa ndiyo mnyonge anatokea anakuoa sio?
Wanaume tunakazi kuna umuhimu wa kuoa bikra tena sana
 
😂😂😂 naviwaue tu maana akili zenu sio za binadamu wa kawaida. Kusahau ndugu zako hapo ushapata kiben ten wewe😂😂😂, kitakumaliza.
🤣🤣🤣🤣Kha nimecheka
 
Hellow

Inapokuja swala zima la kuolewa kwa mtoto wa kike kunakuwa na mitazamo tofauti kuanzia mzazi mpaka mtoto mwenyewe wakike anakuwa na mtazamo tofauti

Ipo hivi kuna familia ina watoto wa kike 3 na wa kiume mmoja wa kike wote hawajaolewa mama yao anasema watoto wake wamerogwa ili wasiolewe kisa wanamuonea wivu ashatafuta na mganga na mganga kawaagua kawapa dawa ya kumfanya wanaume waliopo nao kwenye mahusihano wanawaoa tena this year

Hili limetokea baada ya siku mmoja kuulizia ndoa ya mtoto wa Dr fulani ambaye ni ndugu wa familia ambaye yeye amehozesha watoto wake wote na huyu ndio wa mwisho ambaye ndoa yake ilitakiwa ufungwe mwezi uhuu wanane ndipo mama huyo akaongea huyo karoga watoto wa wenzie wotee wasiolewe waolewe wake tu

Kitu kinachonipa wasiwasi ni kuwa na yeye Mpaka kaolewa kwenye familia yetu je aliroga?

Swali lipo hivi kuna mahusihano gani ya kuolewa na kuroga? Naomba mtujibu hapa
Leteni visa vya kweli
 
Mamdogo, keeping all factors constant, TABIA NA MIENENDO YA WAOLEWAJI HUWA NI SABABU KUBWA SANA KUCHELEWA AU KUTOOLEWA KABISA..!! Kuolewa is NOT a one time event, ni mchakato wa malezi na tabia za muolewaji toka akiwa mdogo hadi anafikia umri wa kuolewa. Mchakato ni collection ya events tofauti tofauti. Event yoyote kati ya hizo ikiwa mbovu mtu haolewi.
naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom