na wale wasio na magubu hawana heka heka sio wahuni na bado hawajaolewa inakuajeHawo wamejiroga mwenyew unakuta limwanamke gubu gubu maneno machafu, viwqnja muda wote in short hana haiba ya uanamke
Nakubalian na wewe huyo mmoja ambae namjua ajaolewa kwaza mchafu mvivu kila kitu anataka afanyiwe kuamka saa sita au tano na akiamka agusi kitu chochote kile zaid ya kulaMamdogo, keeping all factors constant, TABIA NA MIENENDO YA WAOLEWAJI HUWA NI SABABU KUBWA SANA KUCHELEWA AU KUTOOLEWA KABISA..!! Kuolewa is NOT a one time event, ni mchakato wa malezi na tabia za muolewaji toka akiwa mdogo hadi anafikia umri wa kuolewa. Mchakato ni collection ya events tofauti tofauti. Event yoyote kati ya hizo ikiwa mbovu mtu haolewi.
bamdogo but we are not talking about individual ππMamdogo, keeping all factors constant, TABIA NA MIENENDO YA WAOLEWAJI HUWA NI SABABU KUBWA SANA KUCHELEWA AU KUTOOLEWA KABISA..!! Kuolewa is NOT a one time event, ni mchakato wa malezi na tabia za muolewaji toka akiwa mdogo hadi anafikia umri wa kuolewa. Mchakato ni collection ya events tofauti tofauti. Event yoyote kati ya hizo ikiwa mbovu mtu haolewi.
sasa huyo apambane na hali yakeNakubalian na wewe huyo mmoja ambae namjua ajaolewa kwaza mchafu mvivu kila kitu anataka afanyiwe kuamka saa sita au tano na akiamka agusi kitu chochote kile zaid ya kula
Safi!Mamdogo, keeping all factors constant, TABIA NA MIENENDO YA WAOLEWAJI HUWA NI SABABU KUBWA SANA KUCHELEWA AU KUTOOLEWA KABISA..!! Kuolewa is NOT a one time event, ni mchakato wa malezi na tabia za muolewaji toka akiwa mdogo hadi anafikia umri wa kuolewa. Mchakato ni collection ya events tofauti tofauti. Event yoyote kati ya hizo ikiwa mbovu mtu haolewi.
Mamdogo, the issue is not about HOW MANY IN ONE FAMILY. Sometimes, mmojawao anasababisha wenzie wasiolewe. Yaani waowaji wakiona mkubwa au yeyote ana tabia zisizomwezesha kuolewa wanaamua kuona haiwezekani wengine wakose tabia za huyo mwenye kasorobamdogo but we are not talking about individual ππ
according to mtoa mada anazungumzia familia nzima, by any means haiwezekani familia nzima wakawa na tabia mbaya, gubu,uchoyo n.k ya kuwafanya wasiolewe
the whole family unakuta amna alieoa au kuolewa wakisogea sana mmoja ndo anavalishwa pete then inaishia hapo...
au unakuta familia nzima kila mtu kazaa nyumbani, familia ya watu sita wote ni masingle mom, na kam kuna wanaume pia nao hivyohivyo
Nakazia,π€£π€£π€£π€£ Wanadamu bwana kwa kumsingizia mungu mambo ya ajabu....eti wakati wa mungu haujafika wakati wewe mwanamke breki pumbu π€£π€£π€£π€£π€£, kuongea sana wewe nyodo kibao alafu usipoolewa oh wakati wa mungu hujafika. Tulizaneni. Waoaji wapo ila ndio hivyo hatuoi tako wala sura.
umekuja palepale sasa unaweza kuta hiyo changamoto imeanza zamani from wazee huko inaenda wakirithi unadhani nini kinatokea? kama sio ile familia wachafu wale ndo maana hawaolewagi, ile faimilia wachoyo wale ndo maana hawaolewi eeh ile familia wana midomo kuanzia mama mpaka watoto ndo maana wanazalia nyumbaniMamdogo, the issue is not about HOW MANY IN ONE FAMILY. Sometimes, mmojawao anasababisha wenzie wasiolewe. Yaani waowaji wakiona mkubwa au yeyote ana tabia zisizomwezesha kuolewa wanaamua kuona haiwezekani wengine wakose tabia za huyo wmenye kasoro
Tena wee ndio umenifanya nije nilivyooona comment yako tuu nikasema hapa besty lazima nimchokozeπ€£π€£π€£π€£Umekuja eeh π€£π€£π€£
πππMuda wowote kuanzia Sasa mpunga unaliwa kunamtoto wa mtu kajichanganya hukuTena wee ndio umenifanya nije nilivyooona comment yako tuu nikasema hapa besty lazima nimchokozeπ€£π€£π€£π€£
Vipi pilau linalika mwaka huu au bado kuna mgogoro wa ardhiπ€£π€£π€£π€£
Ila na nyie musiroge bwana...huku makazini tunarogwa, ndugu wanaturoga na nyie tena wapenzi wetu mtuendes kwa sangoma kweli tutakuwa watu au misukule?
Wee ulionaga wapi mwanamke akaenda deeperπ€£π€£π€£ wacha mambo yako wewe.kila mtu anae anaetakiwa kuwa nae sasa huwezi fika nchi ya ahadi bila kukutana na watoto wa farao kwanza wakuchakaze uchoke alafu wakati unakata tamaa sasa kuona huwezi tena ndo hapo sasa anatokea anatakiwa kukufikisha nchi yako ya ahadi π π π π
should i go deeper
π€£π€£π€£Wee ulionaga wapi mwanamke akaenda deeperπ€£π€£π€£ wacha mambo yako wewe.
Mambo ya kusingizia wakati ya mungu ndio nayakataa....haiwezekani wewe ulishapewa muongozo wa jinsi ya kupata mume alafu wewe umeleta ujana maji ya moto unakosa mume uanze tupa lawama kwa mungu.
Tatizo nyie warembo mkiwa young full nyodo mara hivi mara vile....unfortunately for u ladies times does not favour beauty.
au basiWee ulionaga wapi mwanamke akaenda deeperπ€£π€£π€£ wacha mambo yako wewe.
Mambo ya kusingizia wakati ya mungu ndio nayakataa....haiwezekani wewe ulishapewa muongozo wa jinsi ya kupata mume alafu wewe umeleta ujana maji ya moto unakosa mume uanze tupa lawama kwa mungu.
Tatizo nyie warembo mkiwa young full nyodo mara hivi mara vile....unfortunately for u ladies times does not favour beauty.
Ni kweli, mamdogo, kuolewa haanzi kuangaliwa muolewaji peke yake. Wengine huenda kutafuta stori/taarifa za vizazi kadhaa huko nyuma. Kuna ishu za magonjwa ya kurithi, kuna tabia common kwenye familia na ukoo. Kuna wasioweza kuishi kwenye ndoa, yaani wao wanachotafuta ni kutoa nuksi tu, kwamba ameshawahi kuolewa. Sasa wengine unakuta kwenye ukoo wao wa kuolewa na kutoa nuksi wapo wengi kuliko waliopo kwenye ndoa.umekuja palepale sasa unaweza kuta hiyo changamoto imeanza zamani from wazee huko inaenda wakirithi unadhani nini kinatokea? kama sio ile familia wachafu wale ndo maana hawaolewagi, ile faimilia wachoyo wale ndo maana hawaolewi eeh ile familia wana midomo kuanzia mama mpaka watoto ndo maana wanazalia nyumbani
Atakuwa amefanga vyema huyo mtoto wa mtu...ajichanganye kweli na wewe mbane kwenye plaiz yaani asitoke kabisaπππMuda wowote kuanzia Sasa mpunga unaliwa kunamtoto wa mtu kajichanganya huku
Basi nini twende deeper kama unavyotakaau basi
ππ
π π π πmbona kutoa nuksiNi kweli, mamdogo, kuolewa haanzi kuangaliwa muolewaji peke yake. Wengine huenda kutafuta stori/taarifa za vizazi kadhaa huko nyuma. Kuna ishu za magonjwa ya kurithi, kuna tabia common kwenye familia na ukoo. Kuna wasioweza kuishi kwenye ndoa, yaani wao wanachotafuta ni kutoa nuksi tu, kwamba ameshawahi kuolewa. Sasa wengine unakuta kwenye ukoo wao wa kuolewa na kutoa nuksi wapo wengi kuliko waliopo kwenye ndoa.
hapana imetoshaBasi nini twende deeper kama unavyotaka