Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Shkamoo mamdogo wa DIPAAA..!! Shkamoo watoto wa farao wa kuchakazaaaa..!kila mtu anae anaetakiwa kuwa nae sasa huwezi fika nchi ya ahadi bila kukutana na watoto wa farao kwanza wakuchakaze uchoke alafu wakati unakata tamaa sasa kuona huwezi tena ndo hapo sasa anatokea anatakiwa kukufikisha nchi yako ya ahadi π π π π
should i go deeper
Halafu akifikisha 38.5 years of age bila kuolewa hata kwa kutoa nuksi, analalama kuwa hajaolewa kisa karogwa..!!!Nakubalian na wewe huyo mmoja ambae namjua ajaolewa kwaza mchafu mvivu kila kitu anataka afanyiwe kuamka saa sita au tano na akiamka agusi kitu chochote kile zaid ya kula
Shkamoo mamdogo wa DIPAAA..!! Shkamoo watoto wa farao wa kuchakazaaaa..!
Huduma kaka huduma....hawapendi kutumia hela zao wanataka watumie zetu tuu.Katika jambo la kipuuzi naweza liita la kipumbavu linalowapa stress wanawake wengi ni suala la wao kuolewa huwa nashindwa kuelewa akili zao kabisa.
Sasa ndoa ndio kitu cha kuwazia kweli what so special inside that shit called ndoa?!.
Mule mule...baeleze sio wanamsimgizia mungu mambo ya ajabu ajabuMamdogo, keeping all factors constant, TABIA NA MIENENDO YA WAOLEWAJI HUWA NI SABABU KUBWA SANA KUCHELEWA AU KUTOOLEWA KABISA..!! Kuolewa is NOT a one time event, ni mchakato wa malezi na tabia za muolewaji toka akiwa mdogo hadi anafikia umri wa kuolewa. Mchakato ni collection ya events tofauti tofauti. Event yoyote kati ya hizo ikiwa mbovu mtu haolewi.
Mtu unamwelewa kwa moyo wako wote lakini unakuta yuko complicated hatari. Dharau yeye. Feminism yeye. Ego yeye. Kutojali yeye. Hakuna rangi ambayo utaacha ona...Mamdogo, keeping all factors constant, TABIA NA MIENENDO YA WAOLEWAJI HUWA NI SABABU KUBWA SANA KUCHELEWA AU KUTOOLEWA KABISA..!! Kuolewa is NOT a one time event, ni mchakato wa malezi na tabia za muolewaji toka akiwa mdogo hadi anafikia umri wa kuolewa. Mchakato ni collection ya events tofauti tofauti. Event yoyote kati ya hizo ikiwa mbovu mtu haolewi.
factors ni nyingi, ukute ana sifa zote ila ni mnene sana, nani atamuoa?na wale wasio na magubu hawana heka heka sio wahuni na bado hawajaolewa inakuaje
Haaaaaah πHuduma kaka huduma....hawapendi kutumia hela zao wanataka watumie zetu tuu.
Au kimbaumbau sana.factors ni nyingi, ukute ana sifa zote ila ni mnene sana, nani atamuoa?
kwani hakuna wanene walio olewa? kuwa chikonda au chibonge is not an issue kuna wapenda mifupa kuna wapenda nyamafactors ni nyingi, ukute ana sifa zote ila ni mnene sana, nani atamuoa?
Au yule mume wa KISULISULI...Mtu unamwelewa kwa moyo wako wote lakini unakuta yuko complicated hatari. Dharau yeye. Feminism yeye. Ego yeye. Kutojali yeye. Hakuna rangi ambayo utaacha ona...
Yaani kabisa mtu uko tayari kumuoa lakini tu ataanza dharau na ishu ambazo hazieleweki mpaka mtu unabwaga manyanga. Hapo napo mtamsingizia Mungu au ndo kurogwa kwenyewe? Halafu unamkuta kwa Mwamposa anaombewa apate mume! π³
Na kweli kuna familia ambazo huwa hawaolewi. Na hata wakiolewa chini ya mwaka mmoja tu unawakuta ndoa zishawashinda wameshakuwa wasimbe!
heeeeeeeππππAu kimbaumbau sana.
Nani atamuoa?
well played.Au kimbaumbau sana.
Nani atamuoa?
ila hata wanaume aise unakuta mwanaume mjuaji kuliko maelezo kila kitu anakosa aiseeMtu unamwelewa kwa moyo wako wote lakini unakuta yuko complicated hatari. Dharau yeye. Feminism yeye. Ego yeye. Kutojali yeye. Hakuna rangi ambayo utaacha ona...
Yaani kabisa mtu uko tayari kumuoa lakini tu ataanza dharau na ishu ambazo hazieleweki mpaka mtu unabwaga manyanga. Hapo napo mtamsingizia Mungu au ndo kurogwa kwenyewe? Halafu unamkuta kwa Mwamposa anaombewa apate mume! π³
Na kweli kuna familia ambazo huwa hawaolewi. Na hata wakiolewa chini ya mwaka mmoja tu unawakuta ndoa zishawashinda wameshakuwa wasimbe!
Hahha ambane nani akitaka aende tu maisha yenyew magumu hayaπππAtakuwa amefanga vyema huyo mtoto wa mtu...ajichanganye kweli na wewe mbane kwenye plaiz yaani asitoke kabisa
Ukimpata huyo utakimbia nyumba πππila hata wanaume aise unakuta mwanaume mjuaji kuliko maelezo kila kitu anakosa aisee
ukipika akwambie umekosea, kufua akwambie hutakatishi ye kila kitu anajua woooi alafu ukute ni yule akikosea hawezi sema am sorry ila kosea wewe sasaUkimpata huyo utakimbia nyumba πππ